Boss la DP World Ndani ya Kidimbwi Beach

Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha.

Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki.

Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu.

Ukifika counter waambie wakupe order ya Boss la DP World
Ondoa huu uchafu. Acheni kuposti utopolo. Jikiteni international forum kuiunga mkono Israel dhidi ya magaidi Hamas.

Nimekuamuru mara moja ufute huu upuzi lasivyo mimi na wewe.

Unasubiri nini sasa? Ambaaa mara international moja kammon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom