Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wakuu habari za mwaka mpya ?

Kuna kitabu natafuta sidhani kama nitapatia jina kinaitwa "THE CORE GENIUS".

Sijui kakiandika nani naomba kwa mwenye soft copy atutafutie.
 
1.Bible
2.think and Grow Rich
3.Poor Dad Rich Dad
4.Why we want You to be Rich
5.The Note book
6.I Can I must I will (not yet done....)

Why!?

Sikuzaliwa nikipenda kusoma vitabu kabisa tena nilikua naona ni adhabu

baba yangu ni msomaji wa vitabu sana nimezaliwa nimekuta kuna library nyumbani

so baba akija akikukuta unaangalia tv atakuuliza swali lolote la shule,Ukimjibu sahihi bila kukosea (umepona)

ila akikuuliza swali la shule halafu ukawa hujui unajiuma uma,Ana zima TV anakushika mkono anakupeleka Library

Anakugombeza anakwambia unakaa kuangalia TV wakati kichwani hamna kitu,Anakupa kitabu usome,

anaweza kukwambia shika hiki kitabu soma mpk page 20 then summarize kwenye hii paper ulichosoma uniletee chumbani

Ukimaliza unafanya hivyo (it was hard for me) ila i used to cope with that Life Mwishowe nikajikuta nadondokea kwenye

Usomaji wa vitabu bila hata kuambiwa na mtu au kupigiwa kelele.
wengine sasa :

1. kwanza shule kayumba , ukiona lugha ya malkia kuna "has been , were , should , would . unaona kama hukumu ya jehanam.

2. ukisema uandike havisomeki vizuri, R na L zinagongana juu ya kichwa hujui uweke ipi uache ipi , HU na U unaona zina sound sawa.

3. Tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunashindana na wazazi wetu kuangalia movie za JUMA KHANI (mabanda ya mapicha)

4. Nimepita hapa nimetamani sana kuwa kama nyie ndugu zangu , ila nipo na mpango wa kufanya kama wewe ulivyokuwa mdogo " kusoma vitabu na kusummarize , naona kabisa nita improve "

wanafunzi%2B(1).JPG
 
Kusoma vitabu ni kitu ambacho mtoto anatakiwa afundishwe tangu mdogo na inatakiwa iwe in a way ambayo anaenjoy.
Watoto wanajifunza zaidi kwa vitendo kuliko maneno. Mzazi ukiwa na tabia ya kusoma vitabu na kuweka japo library ndogo/bookshelf ndani watoto watajifunza kupenda vitabu.
Personally sikuwahi kupenda kusoma vitabu mpka nlipofika form 1.
Form 1 nlipata manzi mtoto wa mashavuni wale wa "kingledha" kingiii.
Yule dada alikua anasoma sana novels. Katika harakati za kumnyatia ikabd tu na mimi niwe mdau ili tuwe karibu.
Hapo ndo nkaanza kupenda kusoma vitabu hasahasa novels. Nlipenda tangu hapo mpaka leo na sijawahi kujuta.
Yeye alikua anapenda zile fiction za ajabu kama ma vampires na werewolves, but mimi nkatokea kupenda fiction ambazo ziko realistic na unaweza kucompare na life ya kawaida. Nlivobobea nkapenda zile vitabu mtunzi anaandika in a way unatakiwa usome between the lines uelewe.
My all time favorite novels
1. Hundred years of solitude
2. Love in the time of cholera
3. The american marriage
4. The cooked seed
5. Blaze
 
So another year has come. Happy new year Bookworms.

Lately I don't have that much time to read. I work 12 hours a day, 6days a week. I take one day off a week basi.

I don't find time to read. But there is no such thing as being too busy to do something right? So, I make time to read, during my lunch break and during my commute. Pia before bed for two hours or more. Na pia nimekuwa a bathroom reader mzuri sasa..Lol.

2022 nilisema nitasoma kuhusu Adventure , Astronomy and Cosmology. Nimefanikisha kusoma vichache sababu ya changamoto mbalimbali ikiwemo na muda.

1.The Siege and Conquest of the North Pole by George Bryce.
2.The grand design by Stephen Hawking
3.Pop science-Great History of Time by Stephen Hawking
4.A Universe From Nothing by Lawrence Krauss.
5.The Big Bang by Simon Sinh
6.Future of Humanity by Michio Kaku
7.Shogun by James Clavell
8. Musashi by Eiji Yoshikawa.

Tbr, Our Mathematical Universe by Max Tegmar

Vingine nilivyovisoma nimeviandika humu na vingine nimepata recommendation humu ni,
1.Angela's Ashes by Frank McCourt.
2.I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
3.Confession of an Economic Hitman (recommended by you).
4.I have No Mouth and I must Scream by Harlan Ellison.
5.Why Has Nobody Told Me This Before by
6.Burry My heart at Wounded Knee by Dee Brown
7. Leave The World Behind by Rumaan Alam
8. The Brothers Karamazov by Dostoyevsky.
Currently reading, The Girl on the Train by Paula Hawkins.
Inawezekana kuna vingine vimesahaaulika.

2023, sijaweka bado malengo yoyote. Vipi kuhusu wewe?

Cc Step_Rocker

So be it. So be it.
 
2022 I read
1. Tiny Habits BJ Fogg
2. Money Maste the Game Tonny Robbins
3. Rules of Money Richard Templar
4. Tao Te Ching (sijaelewa kbs)
5. The Psychology of Money
6. The Four Agreements Don Miguel
7. Screw it Lets Do it Richard Branson
8. Principle by Ray Dalio sikukimaliza lost interest in the middle nikakiacha.

2023 I will read
Mostly business books and habit changing books and a novel
1. Small Business Bible by Steven D. Strauss
2. Atomic Habits by James Clear
3. Compound Interest by Darren Hardy
4. Subtle Art of Not Giving a F#ck- Mark Manson
5. 7 Habits of Highly Effective People (re reading)
6.The E- Myth
7. Unscripted MJ DeMarco
8. Tuesdays with Morie
Naomba pdf ya small business bible
 
Hii ni list yangu 2022
1. The Holy Quran: Text, Translation amd Commentary -Abdullah Yusuf Ali
2. Principles - Roy Diallo
3. Judge’ List - John Grisham
4. the Prince - Nicollo Machiavelli
5. 5 Love Languages - Gary Chapman
6. Think Like an Entrepreneur , Act Like A CEO - Beverly Jones
7. Why Men Die First , How to Lengthen Lifespan - Marianne Legallo
8. Atomic Habits - James Clear
9. Think Again - Adam Grant
10. The Psychology of Money - Morgan Howal
11. 12 Rules for Life - Jordan Peterson
12. THe Colder War, How the Energy Trade Slipped from America’s Grasp - Marin Katusa
13. The Almanack of Naval Ravikant, A Guide to Wealth and Happiness - Eric Jorgensen
14. Maqasid al Shariah, the Philosophy of Islamic Law - Jasser Anda
15. The End of Power from Boardrooms to Battlefield and Churches to States - Moses Naim
16. Al Qisas Anbiyaa (Stories of the Prophets from Adam A.S to Jesus A.S to Muhammad SAW) - Al Rabghuzi
17. Becoming Steve Jobs - Brent Schedler and Rick Telzeh
18. Gravel Heart - Abdulrazak Gurnah
19. Dottie - “”
20. Afterlives - “”
21. Paradise - “”
22. By the Sea - “”
23. Memory of Departure - “”
24. The Sheikh CEO - Dr Yasser Jarvar
25. For God, Country and Coca Cola : the Definitive History of the Coca Cola Company - Mark Pendergest
26. Ali, A Life - Jonathan Eig
27. Leaders Eat Last - Simon Sinek
28. Why Has Nobody told Me This Before ? - Dr Julie Smith
29. Ikigai: the Japanese History to a long and happy life - Hector Garcia and Frances Miralles
30. Why we Sleep: Unlocking the Power
Of Sleep and Dreams - Mathew Walker

2023:
John Grisham - Boys from Biloxi
Prince Harry - Spare
 
So another year has come. Happy new year Bookworms.

Lately I don't have that much time to read. I work 12 hours a day, 6days a week. I take one day off a week basi.

I don't find time to read. But there is no such thing as being too busy to do something right? So, I make time to read, during my lunch break and during my commute. Pia before bed for two hours or more. Na pia nimekuwa a bathroom reader mzuri sasa..Lol.

2022 nilisema nitasoma kuhusu Adventure , Astronomy and Cosmology. Nimefanikisha kusoma vichache sababu ya changamoto mbalimbali ikiwemo na muda.

1.The Siege and Conquest of the North Pole by George Bryce.
2.The grand design by Stephen Hawking
3.Pop science-Great History of Time by Stephen Hawking
4.A Universe From Nothing by Lawrence Krauss.
5.The Big Bang by Simon Sinh
6.Future of Humanity by Michio Kaku
7.Shogun by James Clavell
8. Musashi by Eiji Yoshikawa.

Tbr, Our Mathematical Universe by Max Tegmar

Vingine nilivyovisoma nimeviandika humu na vingine nimepata recommendation humu ni,
1.Angela's Ashes by Frank McCourt.
2.I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
3.Confession of an Economic Hitman (recommended by you).
4.I have No Mouth and I must Scream by Harlan Ellison.
5.Why Has Nobody Told Me This Before by
6.Burry My heart at Wounded Knee by Dee Brown
7. Leave The World Behind by Rumaan Alam
8. The Brothers Karamazov by Dostoyevsky.
Currently reading, The Girl on the Train by Paula Hawkins.
Inawezekana kuna vingine vimesahaaulika.

2023, sijaweka bado malengo yoyote. Vipi kuhusu wewe?

Cc Step_Rocker
Paula umekionaje hicho Bury my heart at wounded knee?
 
Hiki kitabu kimekuwa kinakusanya vumbi kwenye shelf yangu kwa miaka sasa kwasababu nakiona kama folklore fulani za wahindi wekundu.

Maadam wadau mmekitaja nitakivutia pumzi nikisome.

Nitawapa mrejesho pia.

Tafadhali usiondoke Lycaon pictus na soulmate Paula.
Tutasubiri. Ila tu nikuambie hutajuta, na nikutahadharishe kuwa kinaweza kukuliza.
 
Wakuu natafuta hivi vitabu mwenye softcopy anisaidie
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    9.3 KB · Views: 43
  • download.jpeg
    download.jpeg
    5.5 KB · Views: 51
Paula umekionaje hicho Bury my heart at wounded knee?
What a heartbreaking read.
Okay, It is the most eye-opening non fiction book I have read. It taught me a lot about the “civilised” Western world tunayoiona leo.

So it's about what the European immigrants did to Native Americans. It was terrible how Native Americans have historically been treated. How the Native American population treated was very painful to read.

They were killed when they didn't comply na vile US walitaka.
They (the US) took away their land. You see, they robbed them of almost all their land and broke literally every single treaty they made with the indigenous people.
Native Americans weren't considered human na hadi sasa they keep getting ignored.

Thank you, Lycaon Pictus.
 
Back
Top Bottom