Bongo Star Search (BSS) na mshindi mzungu!!

Nimekuwa nafuatilia hii finale na ninacho kiona ni kwamba majaji wanalazimisha mshindi. Maneno kama mnwaacha mastar mnawapigia wengine kwa kuwa ni wazungu!
 
Hapa haitolewi: Siasa si tu mtu kulilia u-DC. This BSS has become political now listen!

Ni kweli Payne (Mzungu) ana kipaji na sauti nzuri lakini je ni haki kukubaliwa kuingia katika mashindano haya? Workpermit yake strictly inasema nini! maana this getting engaged in a business tena akishinda atapewa 30M. Hapa si suala la ubaguzi bali ni watu kutokujua sheria ya uhamiaji na kuifuatilia. Watu wakilalamika wana haki. Nasema Payme hakuwa residence permit na workpermit kufanya burudani kibiashara hapa tz kama wale Wazaire wa Ngwasuma n.k
Na strictly speaking hakuwa mkali kama Salum aliyesukiwa zengwe la kukoseshwa mmiliki wa wimbo na kutolewa chapchap! Tunaelewa kinachoendelea.
 
Ki ukweli kauli ya majaji hasa madame inaleta hofu na mashaka kwenye fainal ya bss2010 "amemwambia mshiriki anaeimba taarabu kuwa yeye ni mshndi wake kufa kupona"Alikua anataka kumaanisha hata kma wananchi wakimchagua tofauti na huyu yeye anabadilisha.HAFAI
 
Watendaji wa JF hebu tafadhali toeni hii habari ktk jukwaa hili.
Tafadhali sana coz kama mtu atashindwa kupeleka thread mahali husika atakuwa anayataka matusi yangu ambayo huwa natoa mapya kila siku...
Hili ni jukwaa la siasa na huyo Salama sidhani kama ni mwanasiasa.


So plz toa huu ushuzi hapa

Kila kitu kinafanywa siasa.
 
QUOTE=Zipuwawa;Kama ni mzungu akafie mbali wanadharau sana hao Wazungu! Wewe ukisema Nchi haina ubaguzi wao mbona wabaguzi?

Husilipe ubaya kwa ubaya. Lipa ubaya kwa uzuri.
 
Wajinga sana hawa wangeacha basi wapige kura wenyewe baada ya kuwaachi watazamaji. Mziki nii kuburudisha sasa mzungu hicho kitu amefanikiwa kukifanya na watu wamefurahi sana ,nawashanga hawa majaji mbaya wanatukana watanzania et washamba wajinga sana hawa majaji .
Binafsi wameniboa sana bora mzungu ashinde tu
 
Ki ukweli kauli ya majaji hasa madame inaleta hofu na mashaka kwenye fainal ya bss2010 "amemwambia mshiriki anaeimba taarabu kuwa yeye ni mshndi wake kufa kupona"Alikua anataka kumaanisha hata kma wananchi wakimchagua tofauti na huyu yeye anabadilisha.HAFAI

hamna madame hapo......yuko bange
 
Majaji wote wajinga hawana maana kabisa mana toka wanaaza mzungu alikuwepo ,leo et wanamuona hafai kisa watanzania wanampigia kura. Tenamungu amujalie ashinde mzungu.
Kama wanataka si bora wawe wanapiga kura wenyewe na mana hakuna maana kuwaambia watanzamaji wapige kula alafu wenyewe et hawataki!!!!!!!!!!!!
 
Mzungu yuko kazini wenyewe wanaponda kumbe mwezao anaangali watazamaji wanataka nini . Ni kweli anaburudisha sana sana. Kibali wapi wewe sa kama hana sasa hadi leo mbona anafanya muziki bongo. Tatizo waaendeshaji wa shindano lenyewe wahuni tu mcheki huyo lita analembua macho tu pale mezani kama kalishwa mlongi. Kura kwa mzungu
 
Yani analembua macho km kapewa goal la kwanza zito .kalewa rita analembua tu macho . Wapuuzi wale hawana maana mungu amujale mzungu ashinde tuuuuu na kura tumempa tena sanaaaaaa
 
Preta says:
jamani sijui ni masikio yangu au ni kitu gani....master jay kasema sisi watanzania ni washamba shauri tunamshangaa mzungu kuimba kiswahili?....au nimelewa>

Preta hiyo ndiyo trick ya kumuondoa mtu katika mstari yaani wanafanya mambo ya kitoto kabisa eti kumponda waziwazi na kumbagua ili wakimtanganza kati ya mshindi wa kwanza au wa pili basi msiwalaumu maana watasema wao walikuwa hawampendi. So low kwa Master J na wenzake. BSS imeingia mchanga!.

Si kwamba mzungu hafai hapana ni kwamba lazima tuwe watu wa kufuata utaratibu huyu ni foreigner kaja hapa na kazi tofauti na hii kwa nini aruhusiwe kushiriki na kuwaminya Watz wengine amabao ndio wenye haki? Narudia tena wale Wazaire wanaofanya muziki wana RP na WP zinazowaruhusu kufanya biashara hiyo!

Nauliza je Payne alipewa working permit na Immigration dept kuja hapa Tazania kufanya biashara ktk muziki & starehe?
 
Maisha ni kuiga ila sio kila kitu,jf msipende kuunga mkono hadi uboya co issue
 
Mzungu kachakachuliwa...mshindi wa tatu Ni joseph Pyne,.james Martin nafasi ya 2 na mshindi ni MARIAM MOHAMEDI
 
What is the secret behind his success?
1 race?
2 language?
3 choice of song? Or
4 just a talent?
Wadau tujadili nini kimefanya 'mzungu' huyu kupendwa na wabongo.
Je matokeo yake yamechakachuliwa?
 
Back
Top Bottom