BONGO MOVIE is Going to DIE! Kama mwendo ndo huu

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Kwa kuangalia Mwenendo wa Filamu Zetu na Jinsi wasanii wetu ambavyo hawaangalii Mbele na wanachojali ni Pesa pekee.

Na hata siku Moja hawajaangalia Wenzao wanafanya nini katika Soko kuanzia la Kitaifa mpaka Kimataifa. FILAMU ZA KITANZANIA nazipa Mda tu zitaangamia kama NIGERIA

CHUKULIA MFANO: RAY

Juzi juzi tu hapa Ametoa Movie inayoitwa SOBBING SOUND... Katika wakati huo huo anajiandaa kutengeneza filamu kwa ajili ya RAMADHANI. sasa Mimi najiuliza hivi RAY anafanya Video shooting kwa Kufikiria Mwenyewe kama Wenzetu Walioendelea kifilamu au Kwa Matukio.? Mf ukitokea utapeli basi ataigiza UTAPELI? n.k

IMG_0008.JPG


Sasa hapa ndo utaamini wanatafuta Pesa bila Kuangalia Je atakuwa Wapi Miaka 5-10 ijayo....

IMG_0229.JPG


Tunaweza kusema Labda mitaji hatuna lakini kama Mtu unapenda kufanya Filamu utakuwa tayari kujitoa Muhanga ili ufike Mbali kimaigizo na Kiteknolojia Kwa kutumia Pesa ulizopata kununua Vifaa na Kwenda Kujifunza Elimu ya Filamu. Lakini kwa Wenzetu ni Ndoto kwenda kuSOMA wanaona wamefika na Wameshakuwa kama HOLLYWOOD.

Kuna Vitu vingine kama KUTENGENEZA FAKE BLOOD kwa kutumia Chocolate powder and red dye and blue dye ambavyo unaweza kupata Elimu hii YOUTUBE na Kupata Materials kwenye SUPERMARKET zetu. Lakini hili kwa Filamu zetu nyingi mpaka damu za wanyama zinatumika. Sasa badala ya Mtu kuAct Filamu Vizuri anafikiria DAMU ya Mnyama na kushindwa KUIGIZA Vizuri

LEO hii utashangaa Matangazo ya VODA,ZANTEL,TIGO yanatengenezwa na Makampuni ya NJE kama INDIA. Wakati kuna Makampuni ya Filamu Tanzania ambayo kama Yangekuwa yanateknolojia Nzuri Yangetengeneza hayo Matangazo


USHAURI KWAO
Najua Wamefanya Filamu Nyingi na wamepata Pesa. Sasa Waende Kutafuta Ujuzi zaidi na Si kununua MAGARI ya Bei mbaya na NYUMBA za bei mbaya wakati ukipewa hata kazi ya Kutengeneza TANGAZO KAMA LA EPIC BONGO STAR SEARCH KAMPUNI YAKO HAIWEZI

Mi nauhakika hata Kama M-bongo mmoja au wawili wakienda Kusomea VISUAL EFFECTS/SPECIAL EFFECTS watabadili tasnia ya Filamu Tanzania...ingawa haitatosha watahitajika pia Sound Engineers na Wengine
 
Nani apoteze mamilioni kukutengenezea filamu halafu wewe ukakodishe kwa buku, au kununua kwa buku mbili Ubungo?
Siwashauri tena na tena, kama unataka kutazama real blood angalia hukohuko holiwudi.
UNYAMA UNYAMANI!
 
Nani apoteze mamilioni kukutengenezea filamu halafu wewe ukakodishe kwa buku, au kununua kwa buku mbili Ubungo?
Siwashauri tena na tena, kama unataka kutazama real blood angalia hukohuko holiwudi.
UNYAMA UNYAMANI!

Kama unaependa kazi yako utailinda. JIULIZE movie mpya imetoka Leo BOX OFFICE. Unapata CD yake lini hapa BONGO?? Ndo ujue kuwa Watu kazi zao wanazilinda

A BUDGET OF $1MIL they Get 5-10times the money they spent..........
 
tatizo ni wavivu wa kufikri kabla ya kufanya kitu... movie za bongo siku hizi zimekuwa kama sino za bongo flava
 
SIDHANI KAMA KUNA MBONGO ANAWEZA HII.
213425186_33_315_307.jpg


TUNAJUA HIZI TU
IMG_2548_1475.JPG


NGOJA TUJARIBU KUTAFUTA PESA/Elimu kwa ajili ya KUINVEST KWENYE MOVIE.. Tuepukane na UOZO huu wa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom