Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

hello madam, your the most DUMBEST and IDIOT in this jf. have a nice cook.

This guy is an imbecile, immoral and without any heart. He is not worth to be called a human being. He is a devil in human form.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watu saba wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachozaniwa kuwa ni bomu katika mkutano wa chadema uliofanyika leo eneo la Soweto jijini Arusha.Source ITV
 
Nashauri msajili wa Vyama akifute Chadema. Vinginevyo yatatokea makubwa zaidi. Wamefanya kila wawezalo kuigombanisha serikali na wananchi wake.

Hivi wewe ni kijana ama Mzee? Ni wa kike ama wa kiume? Unaishi Kijijini ama mjini?
 
Bomu tena Arusha. Inavyoonekana kulikuwa na njama za kumpata ama Lema au Mbowe. Watu wameumia sana.

Nilikuwepo live mkutano uliisha salama kabisa. na watu walikuwa wameanza kuondoka kwa amani. ghafla kikasikika kishindo cha mlipuko kwa hali ilivyokuwa ilikuwa ngumu kuchukua picha . ombeni jamani
 
Too bad!
Nchi inaingia katika Historia ya aina yake katika nyanja ya siasa.

Mkuu JK
anaachia nchi kwenye machafuko mabaya akiambiwa hasikii
hii kama imetokea kwa mkutano wa chadema iweje kesho Jk anahutubia huko sumbawanga au mtwara bomu lisitupwe.



 
HAbari zenu wanaJamii.

Mwenyetaarifa na bomu lililo lipuka pale maeneo ya seweto arusha atujurishe nimekuta taarifa inaishiria kwenye ITV sasahivi na watu saba wakiwa wamejeruhiwa.
 
Bomu tena Arusha. Inavyoonekana kulikuwa na njama za kumpata ama Lema au Mbowe. Watu wameumia sana.

Ukombozi umekaribia. Mapigo ya hii nchi yatakuwa ni makubwa sana kutokana na udhalimu unaofanyika. Hakuna damu ambayo haimlilii Mungu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Dah...so sad....poleni sana wafiwa na.majeruhi

Kuna some.connections na tukio la olasiti naona...

Inabidi ukweli ujulikane tu hatuwezi kuendela namna hii
 
Huyo ni uchaguzi mdogo tu, baada ya kuzidiwa mashenzCcm yanaamua kutumia mabomu JE 2015 AMBAPO NDO TUTAMPATA RAIS TOKA CHADEMA, ITAKUWAJE?
 
mkuu, dont think kuwa kwenye kivuli cha hizi forums uko safe sana kuropoka kama taahira

Huyu Hammy-D hata kama ni shabiki wa chama cho chote nadhani anabwia unga. Hawezi kukosa akili kiasi hiki. Nadhali kutokuandika jina kwenye JF hakumfanyi mtuu kuwa mpumbavu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom