Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Usalama wa Taifa ...mko wapi? KINGA NI BORA KULIKO TIBA.........tokeni maofisini huko fanyeni kazi na wananhi mambo mengi mtagundua kabla hayajatokea.
 
nawapa pole watani wangu kwa janga baya lililowapata huko arusha taarifa ya chanel ten ya samoja imesema watu wanne wanasadikiwa wamefariki dunia. siasa za namna hii ni hatari kwa ustawi wa demokrasia
 
Poleni sana. Lakini sio muda wa kuanza kushutum vyama kama hun uhakika. Thnx man kwa taarifa.
 
kama ni ccm kwanini wasipige bomu mwanzo au katikati ya kampeni ili wawatishe watu wasihudhurie mikutano ya cdm?kwanini wasubiri hadi mikutano iishe na huo wa mwisho hadi amalize kuhutubia?wana gain nini hapa,maana logic ni kuwa wapigwa mabomu ndo watapata sympath ya watu na hivyo kuweza kupata kura kiulaini hapo kesho.swali ni NANI ANAHUSIKA HAPA?MAANA HILO BOMU LIKO KISIASA ZAIDI,KULIKO YALE MENGINE.
Its logic kuwa ungepiga katikati ya kampeni viongozi wa chadema wangekuwa na fursa ya kuja na kuwapa moyo wapiga kura na hali kurudia kawaida lakini ukipiga leo viongozi hawana fursa nyingine ya kuongea na wapiga kura so wale waoga kama wewe hawatenda kupiga kupiga kura ila majasiri kama mimi tutaenda tuu hata kaama kufa tutakufa mbele ya sanduku la kura!!you get my logic ccm walijifunza mbinu hizi chafu Urusi na China!!
 
tutatawala daima na milele na kwa mujibu wa jeshi lisilokuwepo kwenye katiba
 
hii habari nimeiona katika mtandao wa mayocoo mwenye habari atujuze jamani plz plz
 
Kisa la kumpa nchi Dhaifu linatugharimu watanzania. Jumatatu Said Mwema atapandishwa cheo na Dr Kikwete kuwa Field Marshal maana Kaluhanda alishapata promo kwa kumuua Mwangosi
 
Mashuhuda wanasema bomu lililolipuka lilikuwa limerushwa likiwa kwenye mfuko wa malboro

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:

Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu
Kama hili tukio ni la kweli!!!!(maana tumezoea kusikia ripoti za udaku), basi tukiwa kama great thinkers tunatakiwa kufikiria kwa upana na kujiuliza maswali ya kawaida kabisa........" kama ni tukio la kisiasa, ni chama/watu gani watakaofaidika na hili tukio?????? NAONA PUBLIC THYMPACY MECHANISM waziwazi. Anaetafuta kuhurumiwa Mimi simjui ila watajionyesha tu humu. Imagine!!!! Vifo vya watu kwa faida za kisiasa,,,,,, WANASIASA NI JANGA LA TAIFA
 
Usalama wa Taifa ...mko wapi? KINGA NI BORA KULIKO TIBA.........tokeni maofisini huko fanyeni kazi na wananhi mambo mengi mtagundua kabla hayajatokea.

sio usalama wa taifa ni usalama wa mafisadi!!!
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba bomu limelipuliwa tena Arusha. Watu wawili wameuawa. Tunaomba update zaidi Kwa wale walioko eneo la tukio.
 
Mkuu kuweni makini hasa maeneo yaliyotengwa kupigia kura hyo kesho kwani milipuko kama hii na mauaji hutumika sana kuharibu malengo husika,ukizingatia team fulani wamezidiwa kila sehemu lazima mbinu za kimafia zitumike,hizi sio dalili nzuri kabisa kwa Taifa letu
 
Ni kwenye Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA leo hii.Nawatafuta Viongozi pamoja na Mbunge kwenye simu muda huu sijawapata ila nimeongea na Mungi ambaye ni member wa hapa JF muda huu.Ameniambia majeruhi ni wengi,watu wamezirai.Naendelea kutafuta updates

Haijulikani Mlipuko huo umetokeaje hadi muda huu maana alishindwa kunieleza kutokana na kelele na taharuki zilizokua eneo hilo

Walengwa pale walikuwa Mbowe na Lema na walikuwa mita chache sana na lilipoangukia bomu!
 
Mashuhuda wanasema bomu lililolipuka lilikuwa limerushwa likiwa kwenye mfuko wa malboro

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

hakuna aliyekamtwa so far? au litayeyuka kama kama la Olasiti? ukiona mtu hakamatwi nyooshea kidole dola wanahusika!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom