Mhando Godfrey
Member
- Dec 9, 2016
- 69
- 30
Wadaiwa sugu?
naomba kujua maana ya neno SUGU
we inakuhusu nini au ulkuwa mzamini wao.mkuuJe wote walio kopa wana Ajira za kuwawezesha kulipa hayo madeni au ndo hawa mamalishe na wauza mitumba huku mtaani?
maajabu haya utayaona Tanzania pekee...
mtu alishindwa kulipa ada ya chuo, akamaliza, hajaajiliwa, kamaliza hajakaa hata miaka miwili eti ni mdaiwa sugu!!
kamaliza 2013/2014 anakuaje sugu, huo usugu maana yake ni nini sasa??
haa haa kwel noma sana...
uko sahihi kwa 100%Kwa hiyo mnatuaminisha kuwa mlipewa mikopo kwa masharti ya kupewa ajira ndipo mlipe! Dawa ya deni kulipa.Mtakopa hata chumvi huku mtaani mtagoma kulipa,hamtaaminika kwa yeyote mtaanza kunung'unika jamii haitupendi.
Mlisomeshwa kwa fedha za wasio jua kusoma na kuandika hawajawahi kukopeshwa na serikali wanataka muungane nao kufanya kazi wanazofanya kwa ubora Zaidi yao wajifunze kwenu waone faida ya kusoma.
Wakiwekwa nao mtaanza sema wanadhalilishwahii list nina waaiwasi nayo...imepikwa haiwezekan hakuna mwanasiasa hata mmoja au wao walipewa notice mapema wakalipa!
Jambo hili cyo ww peke yko mwenye stutus hiyo.hata mm iko hivyo.Wakuu ina maana huyu ndo kakosa kabisa auu? Maana sielewi elewiView attachment 1244492
Ila boss batch 2 sina sikia imeshatoka?Jambo hili cyo ww peke yko mwenye stutus hiyo.hata mm iko hivyo.
Ndo majibu ya batch ya pili hayoIla boss batch 2 sina sikia imeshatoka?
Aiseee,,,,hv kuomba tena mchakato huwa ni mpya kabisaNdo majibu ya batch ya pili hayo