Bodi ya Mikopo Elimu ya juu: Hii ni sawa?????????????????????????? ??????

Nov 17, 2011
40
7
WanaJF,

Naomba msaada kuhusu marejesho ya mkopo toka Bodi Ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania.
Mimi ni mdaiwa wa hii bodi, nimeanza kazi mwaka 2011 December hapa jijini Dar es Salaam.

Mwajiri wangu anakata 10% ya mshahara wangu kupeleka bodi. Hii itanifanya nimalize mkopo niliosomea katika kipindi cha miezi 11 tu.
Niliwahi kusikia kwa ndugu yangu miaka kama minne iliyopita kuwa anakatwa kiasi ambacho atamaliza mkopo kwa miaka nane (8).

Ombi langu ni kutaka kujua kama kuna mabadiliko au ni mwajiri wangu ndio kaamua.

Shukurani
 
mabadiliko yapo hivi sasa wanakata 8% kwa kila mdaiwa tofauti na awali ambapo makubaliano yalikuwa ni kurejesha mkopo katika kipindi cha miaka kumi.
 
Back
Top Bottom