Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,740
- 14,637
Bob marley mmoja aliye furuta bhange ni bora kuliko ukoo wenu wote yaani wa baba+mamando shida ya kuandika mashairi mtu ukiwa umevuta bangi.
Bob marley mmoja aliye furuta bhange ni bora kuliko ukoo wenu wote yaani wa baba+mamando shida ya kuandika mashairi mtu ukiwa umevuta bangi.
Napenda sana bangi.., saaana, na nazipuliza sana tu hadi umri huu.., ukivuta bangi kwa starehe inakupa hekima sana kama bobuYule mwingereza (Bob) mvuta bangi hapo aliimba kifalsafa zaidi!!
Tafsiri utakvyo mziki ni mziki tu!
Umeifafanua vizuri sana mkuu, nimeanza kuelewa ni nini hasa alimaanisha huyu jamaa. Licha ya kuwa wengi wanadai jamaa alikuwa mvuta bangi, lakini naona alikuwa anatoa ujumbe uliotulia kwa jamii.Inawezekana nisiwe right. No Woman, No Cry ni wimbo unawaomba wanawake wasilie. Wimbo huu unahusu mwanaume kukulia kwenye maisha ya ghetto na kuweza kumshawishi mwanamke ampende kwa vile mambo yatakuwa mazuri hapo baadae.
Wengine wanadai Bob aliimba huo wimbo kwa aili ya rafiki yake V. Ford ambaye alikuwa mtungaji wa nyimbo. Huyu rafiki yake Bob alikuwa maskini na alikuwa anaishi maisha ya ghetto. Wanasema wakati V. Ford akiwa amelazwa hosipitalini kwa ugonjwa wa cancer, mke wake (V. Ford) alikuwa pembeni mwa kitanda chake akilia na V. Bob alimwambia "no woman, no cry" which inspired Marley to write the song.
Wapo wengine wanaosema kuwa jina la wimbo lina maana kuwa kama huna mwanamke, basi huwezi kulia. Wengine wanadai mwanamke kwenye No Woman, No Cry ni malkia wa Uingereza alivyoitawala Jamaica. Kwamba, kama sio yeye basi Wajamaica wasingelia.
Mbona mnapata shida sana wakati jibu ni jepesi alimaanisha hakuna mwanamke hakuna kilio
Huwezi jua alimaanisha nini sababu wewe sio mzalendo, gamba!!!!!!