umejuaje kama inayo bluetooth kwanza?Naomba msaada ntawezaje kutumia bloototh ktk laptop aina ya dell D630
umejuaje kama inayo bluetooth kwanza?
Naomba msaada ntawezaje kutumia bloototh ktk laptop aina ya dell D630
sasa nduguu toa mawasiliano yako basi
hizo kazi kidogo tutasolve napatikana kwenye 0717161615
Mimi nimeshawahi kukutana na Dell model moja lakini moja ina webcam na nyingine haina, hata acer. Hilo swari la kujua kama laptop ina bluetooth ni la msingi sana.
kigezo nilichotumia mi ni kwamba kwenye eneo lenye sign zinazowaka taa kuna sehemu ya bloototh pia!
yani we mpuuzi mimi najitolea kukupa suluhisho wewe unalumbana. Hubebeki ndugu?
ndugu mchango wako nimeuona na nauthamini isipokuwa sijapendezewa matumizi yako ya lugha kiukwel si vizur na nilifanya hvyo kwa kujibu swali mojawapo la mdau sizan kama ni makosa pia!
Mkuu kwa kukusaidia nenda kwenye web ya dell, ingiza pc modal yako na search drivers and utilities zote za machine yako, then angalia ya bluetooth ukipata download then install ila jua si mara zote wanapoweka taa hiyo ukadhani huwa inakuwepo (hasa kwa model hizo za zamani)!!!kigezo nilichotumia mi ni kwamba kwenye eneo lenye sign zinazowaka taa kuna sehemu ya bloototh pia!
Naomba msaada ntawezaje kutumia bloototh ktk laptop aina ya dell D630
|