Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Mkuu mimi nikiweka kitu chochote hapa kwenye hili Jukwaa la JF.Doctor huwa siweki kitu cha Joke ondosha wasiwasi kabisa hii sio joke ni kweli kabisa ukiamini au usiamini hilo silo suala langu.

Naomba ni ku challenge mkuu na hio post yako.
I am assuming I will be debating with a medical doctor or health care worker with at least a degree.

First of all let us first understand what we mean when we say somebodys blood group is A B O AB e.t.c.

Sasa kuliko ku copy na ku paste kutoka various sources za internent, ngoja nijaribu kuelezea kwaa kiswanglish.

Upimaji wa blood group ni kutokana na viashiria fulani ambavyo viko katika ukuta au sakafu ya chembechembe nyekundu za damu. i.e. red blood cells.
410px-ABO_blood_type.svg.png

Sasa wana sayansi wanatumia hivi viashiria ku determine mtu ni blood group gani.
Sasa function ya red blood cells ni nini?
Kazi kubwa ya red blood cells ni kubeba oxygen kutoka kwenye mapafu na kuipeleka kwenye tissues za mwilli for energy production na kubeba carbondioxide kuirudisha kwenye mapafu ili itoke nje.
Ubebaji huu wa hizi gases hau athiriwi na aina ya blood group yako lakini hua athiriwa na shape ya red blood cell yako.
Mfano watu wenye ugonjwa wa sickle cell hushindwa kubeba oxygen ya kutosha kwenda kwenye body tissues.

Sasa basi, tabia ya mtu au uwezo wake mfano:
good leadership, hardworkin, sacrifice for others, selfish, born to help e.t.c. are in aboslutley no way related to the surface receptors of red blood cells.
Those characterisitcs mentioned above are more attributed to nurture or up bringing of an individual rather than the type of RBC surface antigen.
Na hata tafiti za hivi karibuni zanazojaribu kulink kama kuna genetic predisposition ambayo ina affect behaviour wameona kuwa ipo although bado nurture playes a bigger role.
Na hata hapo hii genetic sequence wanadhani ipo ni mbali kabisa na genetic sequence code inayutumika kutengenezea red blood cells.

Thus your post has absolutley no scientific evidence, nor street plausability. Ni among the junk posted on the internent that are rediculously claimed to have some sort of scientific evidence wakati ni uongo kabisa na kwa bahati mbaya wanasayansi wasiokuwa wanasayansi wanawatangazia umati na kuwapotosha.

Nikijua elimu yako naweza ingia ndani zaidi ili tuweze elimishana. Asante na karibu.
Mimi nimesoma mpaka masters level kwenye field ya science lakini pia niko tayari ku accept concepts that might not be explained by science only.

Karibu.
 
Aisee!!, kuna
ukweli. Mimi ni O+, na kwa kweli nimesaidia watu sana mpaka gumzo,
lakini mimi naona kawaida na fahari kwangu. Ila sasa, nina hasira sana /
hasira zangu zipo karibu.

Haunishindi mm mkuu, yaani kamshahara kangu mara nyingi kanapitiliza tuu, na wala sijisikii vibaya hiyo study naikubali 100%
 
Hii sms imesababisha nitafute huu uzi... kumbe ni kweli bana!!!

"Watu wengi wenye Group O za damu wapo serious, hard work, maamuzi ya fasta, sio waoga, na wengi usumbuliwa na vidonda vya tumbo sababu ya hasira na huwa na upendo"

Mkuu MziziMkavu blood group huusianaje na tabia za watu???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom