Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Maisha yanawezekana bt impact inakuja kama mtoto atachukua ile Rh postive kwa baba then wakat anazaliwa kwenye kukata kitovu damu ya mtoto ikachanganyikana na ya mama then mama atatengeneza antbodies agnst zile Rh postive, so kulingana na kwamba immunoglobin G inatabia ya kupita kwenye placenta then kama mama atapata mimba nyingine yenye damu ya Rh postive huyu mtoto atakufa is where now we get haemolytic disease of new born.
 
ngoja niafute BS, na UNDERSTANDING nikumbushie hii elimu coz baad aya kubadili fani nimesahau kabisa BIOLOGY niliyokuwa naenda kukomaa pande za stuent centre TABORA
 
maisha yanawezekana bt impact inakuja kama mtoto atachukua ile rh postive kwa baba then wakat anazaliwa kwenye kukata kitovu damu ya mtoto ikachanganyikana na ya mama then mama atatengeneza antbodies agnst zile rh postive, so kulingana na kwamba immunoglobin g inatabia ya kupita kwenye placenta then kama mama atapata mimba nyingine yenye damu ya rh postive huyu mtoto atakufa is where now we get haemolytic disease of new born.

true?
NINACHOJUA:
>Blood grp A- have antigens only against for antibodies of bld grp B plasma
>Blood grp B- have antigens only against for antibodies of bld grp A plasma.
>But Blood grp O Have neither antigens to both bld grp A nor B.
>KWA MAELEZO HAYO JUU MI NADHAN HAKUNA TATIZO KWA SABABU MAMA ANA BLD GRP O.
Labda tuzidi kutafuta majibu sahihi.
 
Wengi mambo haya yanasumbua japo tumepitia. Japo nimeshaoa na nina mtoto bado nami ningependa kujua. Mimi ni A RH+ na mke wangu ni O RH+ lakini daktari wakati tunapima akatuambia haina tatizo japo hatukupata muda wa kupata maelekezo mengi na kuuliza maswali, na mtoto bado hatujampima ana group gani, japo mtoto yuko fresh sana na hana tatizo lolote na katika makuzi hasumbui wala kuumwaumwa!! Swali langu ni je kwa huko mbeleni haina shida zozote?? kwa mwenye kujua tafadhali anisaidie. Baiolojia ya kidato cha tatu na yale ya ku kross kross kwingi ilishanitoka kitambo!!!
 
Jaribu kuangalia hapo juu kidogo kabla ya coment yako.
Japo majibu nazidi kuyatafuta.
 
Jaribu kuangalia hapo juu kidogo kabla ya coment yako.
Japo majibu nazidi kuyatafuta.

Nashukuru sana mkuu, nimeona, ila huyo nimeona yeye mwanamke ni O RH-ve, labda kama O-ve na O+ve hazina tofauti tabia zake!!!
Nayasubilia majibu kutoka kwako mkuu.
Thanks in advance.
 
PIA ALICHOKIELEZA Dr.Rick kinazingatiwa.
>kwakuongezea nikwamba kutokana na kwamba 85% Ya binadam wana positive rhesus factor.
>hivyo basi mama mwenye negative rhesus factor akimuoa baba mwenye positive rhesus factor
kunauwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto mwenye positive rhesus factor.
>Endapo itatokea vinginevyo basi kwa mtoto wa kwanza hakutokuwa na tatizo.
Bali kuanzia mtoto wa pili ni lazima afe.
>KUMBUKA KUWA SIKU HIZI KUNA VACCINE IITWAYO ''Anti-D' vaccination '' hii utolewa baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na wazazi wa aina uliyoisema.
KWAHIVYO BASI WATOTO WOTE WATAKAOZALIWA WATAKUWA SAFI NA salimin.
 
Duuuh ama kwahakika kuuliza si ujinga
Pia Elimu haina mwisho
Mimi nina A+ na Wife ana B nilipomwambia akampime Mtoto ana kundi gani la damu
Hospitali baada ya vipmo mtoto alikuwa &B

Wataalam hebu msaada hapo kuna shida yoyote?.
 
>Hiyo inawezekana kabisa na wala sio dhambi pia sio miujiza.
>hii inawezekana endapo wewe una
AO {unayoisema A} na Mamaa ana BO {Unayoisema B}
>Inamaana kuwa O yako imeungana na B ya Mamaa na kuunda BO.
>B ni donor{we sema tu kubwa} na O ni recessive {we sema ndogo}
>Hivyo bas B it dominate O na inasomeka kama B.
 
true?
NINACHOJUA:
>Blood grp A- have antigens only against for antibodies of bld grp B plasma
>Blood grp B- have antigens only against for antibodies of bld grp A plasma.
>But Blood grp O Have neither antigens to both bld grp A nor B.
>KWA MAELEZO HAYO JUU MI NADHAN HAKUNA TATIZO KWA SABABU MAMA ANA BLD GRP O.
Labda tuzidi kutafuta majibu sahihi.

tatizo siyo antigens mkuu ni antibodies. O hana antigens ila ana antibodies sasa akiletewa/kuwa sensitized hizo antigens ndo tatizo linaanzia hapo
 
I love JF!! Kuna madarasa na madarasa!! Thanks GT. Mengi nimejikumbushia leo kuhusu blood groups na rhesus factors. Ila kwa maendeleo ya miaka hii, wale wote mnaotegemea kuanza famili pamoja ni vizuri kupima afya ikiwemo aina za damu zenu ili mpate ushauri wa kutosha! Kuna rafiki yangu yeye watoto wote wanakufa tu wakishazaliwa na mwingine mimba at five months or less zinatoka tu!! Wanaume hawa kwa bahati mbaya ni mmoja tu ana patience na mkewe ila mwining alimfukuza mke bila hata kwenda kupima damu zao! Anyway, mwnaume alioa tena na ana watoto wawili. So sad.
 
>Hiyo inawezekana kabisa na wala sio dhambi pia sio miujiza.
>hii inawezekana endapo wewe una
AO {unayoisema A} na Mamaa ana BO {Unayoisema B}
>Inamaana kuwa O yako imeungana na B ya Mamaa na kuunda BO.
>B ni donor{we sema tu kubwa} na O ni recessive {we sema ndogo}
>Hivyo bas B it dominate O na inasomeka kama B.

Mkuu shukrani kwa ufafanuzi kama ulivyosema
wengine watakuja na michango yao mizuri
kuboresha thread hii.
 
Blood groups.jpg
.......................
 
Hahahahahaa! Mkuu unajua umegusa pabaya? Watu hatupimi damu bana, nomaa! Ninachojua wife ana AB(-). Ila kama kuna ka ukweli fulani! Maana wife ni jembe kweli kweli!

Ha ha ha haaa! Hilo nalo neno. Maana ha wewe unaju habari za mwenziyo tu za kwako? Kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom