meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
- Thread starter
- #81
huyu mama hawezi kazi ameshindwa kuwashauri mawaziri wake vizuri.Haji mponda kila anachoulizwa hajui,lucy nkya hajui kutofautisha MAT na baraza la madaktari Tanzania.yaani kumejaa vichekesho na ulimbukeni.wizara ipo kwa ajili ya kupiga mihuri kwa wale wanaonda india tu!!!shame.ajira za mwaka huu ambazo zilitegemewa kuanza mwezi wa kumi zimechelewa kuliko mwaka jana yaani badala ya kuimprove mambo yanakua mabaya.this is why i personally recommend kwamba huyu mama hafai!!!!!!!Meningitis... kwakweli Nyoni kashindwa kazi sasa....