Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

tumeona baraza jipya limetangazwa bila uwepo wa mwakyusa au aliyekuwa naibu wake.hii inamanisha nini?is it true kwamba mwakyusa hakuwa mchapa kazi mhh mhh siamini.napata ushawishi kwamba watendaji wake wamechangia kumuangusha.au inawezekana rais kaanza safisha safisha kuanzia mawaziri hadi watendaji.tusubiri tuone!!tunywe gahawa:tea::tea::tea::tea::tea:
Kuna mawili,ukute KIKWETE ameamua kumsafishia njia fisadi mwenzake,mama Blandina Nyoni ili aibe vizuri,maana waziri na naibu waziri wote ni wapya.au KIKWETE ameona kuwa pamoja na ufisadi na mapungufu aliyokuwa nayo mama nyoni,yeye ndio alikuwa ana-run the show kwenye hiyo wizara,sasa wale waliokuwepo kuzuga ni vema wakapumzishwa.

Mimi nionavyo huyu mama ni bora aondolewe pale,kwani ile ni wizara nyeti sana.Walemavu wanalalamika kila siku,maalbino wanauliwa hovyo,huduma za afya zinazidi kudorora.aweke katibu mkuu mwenye utaalam wa afya au background ya huduma za jamii sio yule mhasibu,kila kitu kwake yeye ni pesa tu.
 
sioni kama mwezi mmoja unatosha kupima uwezo wa katibu Mkuu mzima..................................Kwanza kama alitoa mwezi mmoja ujue ya kuwa angalau ana viwango ambavyo angependa jamii impime navyo hili anastahili pongezi................................halafu sina uhakika kama kazi ya katibu Mkuu ni kupangia wafanyakazi vituo vya kufanyia kazi...................................Ninahisi hujui majukumu ya Katibu Mkuu...........................................Pengine haya malalamiko utafanikiwa zaidi ukimwandikia yeye kama katibu Mkuu ili ayachunguze.....................Haitoshi kutuhumu juu ya watoto wa vigogo itabidi uambatinishe majina yao na ushahidi wa takwimu za ajira zao...................................Best wishes
Huyo Mama ni mchovu sana. Kilaza wanaita. Apumuzike kulinda Heshima yake kabla hajafukuzwa. Haoni Bosi wake Prof Mwakyusa ametemwa. Asome alama za nyakati mapema.
 
Kuna wafanyakazi wa kitengo kilichopo chini ya wizara ya afya wanathibitisha kwamba NYONI hafai kwenye kiti chake. waliniambia majuzi kabla sijasoma hapa. hivyo naweka kete zangu kwa mtoa hoja kwamba huyu mama anaweza akawa nI TATIZO.

apelekwe maliasili alipopaweza na kuweza kutogundulika kwa ufisadi alioufanya

Msanii,

Blandina Nyoni hafai hafai kabisa!

Ni lazima atahamishwa hiyo Wizara as soon as Dr Haji na Dr Lucy wanaanza kazi hapo. Ni mtu anayetanguliza maslahi yake kwa kila kitu na ukienda kinyume chake wewe ni adui mkubwa::: Kwa taarifa tu, wakati nipo SoftTech tulikuwa tunakutana sana kwenye "formal" meetings na mara nyingi nilikuwa najiuziri kama kweli aliteuliwa halali kuwa "Katibu Mkuu".

Siwezi kuandika mengi hapa, lakini anafahamu "kubembeleza" at any cost hili mambo yake yaende sawasawa!
 
kwa kuwa mabosi wake wote wawili (mawaziri)wamepoteza nafasi zao, hana budi kujiondoa mapema.duh kwa heri mama!!!
 
Huyu mama pale wizarani kila kitu anataka afanye yeye wakati professional yeye ni mhasibu. hadi uhamisho wa Wanavyuo katika vyuo vya matabibu na manesi lazima yeye ajue na apitishe barua kwa mkono wake
 
Nina Vijana rafiki zangu wamewai kufanya kazi na huyu mama. Wanasema ana matatizo na mapungufu yake kama walivyo viongozi wengi tu serikalini lakini huyu mama anawazidi utendaji wa kisasa watendaji wengi sana

Rafiki yangu alinimbia kama kuna kijana atashindwa kufanya kazi na huyu mama basi hawezi kufanya kazi na bosi yeyote katika serikali . Mabosi wengi wenye umri kama wa huyu mama ni wazito. Huyu mama yuko sharp. Kama itachukua mwaka ku alocate kazi za madaktari basi ujue angekuwepo mwingine ingekuwa miezi 18.
Hapo naunga mkono huyu mama ndiye alifungua njia kwa wahasibu serikalini kwa kuwapeleka shule kwa wingi bila zengwe, pia alisomesha wahasibu wengi ya kwa wakati huo walikuwa pre-service. Haya yote aliyafanya wakati huo akiwa wizara ya fedha. Naomba wanaosubiria ajira kada ya afya wawe wavumilivu, nataraji siyo dhamira yake kuna mambo flaniflani hapo wizarani yana mkwamisha.
 
it seems her performance was better alipokuwa wizara ya fedha.kwa sasa amechakachua wizara ya afya.i think kikwete ameliona hilo.ni vyema na haki kumrudisha wizara aliyoizoea na inayoendena naye.
 
Kuna wafanyakazi wa kitengo kilichopo chini ya wizara ya afya wanathibitisha kwamba NYONI hafai kwenye kiti chake. waliniambia majuzi kabla sijasoma hapa. hivyo naweka kete zangu kwa mtoa hoja kwamba huyu mama anaweza akawa nI TATIZO.

apelekwe maliasili alipopaweza na kuweza kutogundulika kwa ufisadi alioufanya

Huyu mama ni tatizo kubwa kwa nafasi aliyopewa kishikaji.
 
we know that the major success in our health system is due to the AIDS(misaada) and plans from developed world and United Nations(WHO) .

mkuu hii ni kweli kwani ukienda hospitali utasikia hili jengo ni la mfuko wa clinton,hii mashine ni msaada wa Egpaf,vitanda vimeletwa na bank ya KCB,madaktari wamejitolea kutoka cuba n.k yaani inashangaza hivi kodi zetu zinatumika kwenye suala lipi.
 
kidogo kidogo naanza kukubali rasmi kwamba mama ameshindwa kumanage priorities za wizara na wadau wake wakuu, na amekua bize kuuza sura na taarifa kama vile yuko maliasili na utalii

Hivi lile sakata la kuhamisha madokta kwa vitisho bila kufuata sheria limeishaje?
 
Mkuu nimeona jana taarifa ya habari tbc madaktari wakimtaka awaombe radhi kwa kukurupuka kwake....ati atawafutia usajili, kwani yeye ni council board ya madaktari? anachemka huyu mama. kweli ni kilaza.
 
Inavyoonekana mpaka sasa Blandina Nyoni hawezi tena kuwa effective kama katibu mkuu wa wizara ya afya baada ya kukorofishana na chama cha madaktari nchini; hivyo basi litakuwa jambo la busara kwa Jakaya kumuondoa hapo na kumpeleka mahala pengine atakapotumia zaidi taaluma yake ya uhasibu!! Iwapo serikali itapuuzia ugonvi huu kati ya huyu mama na madaktari, nidhahili kuwa wananchi ndio watakaoathirika kwa huduma duni zitakazotokana na madaktari kutokuwa na amani kazini mwao.
 
Stupid fool,maskini akipata ****** ............ angekua kuku ningemchinja nimtafune mpaka mifupa
 
Inavyoonekana mpaka sasa Blandina Nyoni hawezi tena kuwa effective kama katibu mkuu wa wizara ya afya baada ya kukorofishana na chama cha madaktari nchini; hivyo basi litakuwa jambo la busara kwa Jakaya kumuondoa hapo na kumpeleka mahala pengine atakapotumia zaidi taaluma yake ya uhasibu!! Iwapo serikali itapuuzia ugonvi huu kati ya huyu mama na madaktari, nidhahili kuwa wananchi ndio watakaoathirika kwa huduma duni zitakazotokana na madaktari kutokuwa na amani kazini mwao.
amefanya kosa sana kugombana na madaktari!hayuko makini.
 
Sasa kama fungu la mishahara halijatengwa atoe ajira tuu? Kila kitu ni mpango, huenda kama mishahara haikuwa kwenye bajeti wakafanya bajeti review kwenye Bunge la January 2011
Great thinkers acheni post zenye chuki binafsi, Blandina she is doing a lot according to the situation prevailing around her!
 
Back
Top Bottom