Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

Pamoja na madhaifu yote ya Blandina Nyoni, kwangu mimi she is an iron lady, no nonsense lady!. She never bow down to any pressure over her dead body!. Akiwa Accountant General alimgomea CAG kuwa auditors wanakuja kufanya ukaguzi with malice aforethougts kuwa kuna wizi hata kabla ya ukaguzi. Akahamishiwa Malialisili ndiye aliyeving'oa vile visiki kama kina Severe!. Kwa miaka yote akiwa PM maliasili ndipo wizara ikawa top exihibitor wa DITF for 3 consecutive years!. Sasa kaletwa Afya kusafisha mauza uza!. Na atasafisha vilivyo!.
waswahili walisema kuchamba kwingi kutoka na ****, naona alipitiliza kuchamba
 
Inavyoonekana mpaka sasa Blandina Nyoni hawezi tena kuwa effective kama katibu mkuu wa wizara ya afya baada ya kukorofishana na chama cha madaktari nchini; hivyo basi litakuwa jambo la busara kwa Jakaya kumuondoa hapo na kumpeleka mahala pengine atakapotumia zaidi taaluma yake ya uhasibu!! Iwapo serikali itapuuzia ugonvi huu kati ya huyu mama na madaktari, nidhahili kuwa wananchi ndio watakaoathirika kwa huduma duni zitakazotokana na madaktari kutokuwa na amani kazini mwao.

mkuu uliona mbali!!
 
Jamani sasa kama Mama Nyonihafai kwa kuangalia issue moja tuu then you need to be serious once more.
Kama hafai ebu pick somebody else tutoe kasoro zake apa!
Sio issue moja tu!! Hii issue imecost lives za watanzania wengi sana. Nchi imepata hasara ya nguvu kazi ambao walitegemea serikali yao ingewaokoa. Angeweza kuepusha shari kama angeenda kuonana na madaktari. Simjui Blandina wala utendaji wake ila kwa suala hili amenishangaza sana kwanini hakulitatua. Jamaani maana ya kuwa kiongozi ni " Mtumishi wa watu". Sasa mtumishi unashindwa kuwasikiliza hao unaowatumikia!! Baada ya huu mvutano asingeweza tena kuendelea kufanya kazi kwenye sekta ya afya. Bora apangiwe wizara ingine akachape hiyo kazi mayomsifia anaweza.
 
nimewahi kujipima ukimwi mara kadhaa nasikitika kujua nilikua natumia vifaa feki.
 
Ila huyu mama kaitafuna nchi aiser mivyeo yote hiyo kwa muda wote huo?
 
Pascal Mayalla njoo umtetee zaidi.
Ule utetezi wangu bado unasimama, she is smart, intelligent, hardworking, no nonsense iron lady!.
Na kwa taarifa tuu, sikumtetea huyu tuu, hata
Andrew Chenge, nilimtetea humu Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants
Nilimtetea Prof. Mahalu Prof. Costa Mahalu aanza utetezi, awataja mzee Mkapa na rais wa sasa Kikwete!
Nilimtetea Mgonja Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake
Nilimtetea Amatus Lyumba Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake
na wengine wengi.


Nature yangu mimi ni mpenda haki.
P.
 
Hii dhana kuwa kila penye tatizo suluhishi ni kuondoa watendaji wenye umri wa makamo na kuweka vijana haina mashiko hasa ukizingatia utendaji usio na viwango wa watendaji vijana wa sasa.
 
Back
Top Bottom