Kuna mawili,ukute KIKWETE ameamua kumsafishia njia fisadi mwenzake,mama Blandina Nyoni ili aibe vizuri,maana waziri na naibu waziri wote ni wapya.au KIKWETE ameona kuwa pamoja na ufisadi na mapungufu aliyokuwa nayo mama nyoni,yeye ndio alikuwa ana-run the show kwenye hiyo wizara,sasa wale waliokuwepo kuzuga ni vema wakapumzishwa.tumeona baraza jipya limetangazwa bila uwepo wa mwakyusa au aliyekuwa naibu wake.hii inamanisha nini?is it true kwamba mwakyusa hakuwa mchapa kazi mhh mhh siamini.napata ushawishi kwamba watendaji wake wamechangia kumuangusha.au inawezekana rais kaanza safisha safisha kuanzia mawaziri hadi watendaji.tusubiri tuone!!tunywe gahawa:tea::tea::tea::tea::tea:
Mimi nionavyo huyu mama ni bora aondolewe pale,kwani ile ni wizara nyeti sana.Walemavu wanalalamika kila siku,maalbino wanauliwa hovyo,huduma za afya zinazidi kudorora.aweke katibu mkuu mwenye utaalam wa afya au background ya huduma za jamii sio yule mhasibu,kila kitu kwake yeye ni pesa tu.