Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
kumbe blackberry ni mchumba tu
BB in keyboard nzuri ya qwerty.
Ina battery life nzuri, at least hizi BB traditional sijui za touch screen.
Integration na BB Server kama kazini kwenu wanatumia.
Imetengenezwa vizuri, ina quality feel mkononi.(most)
Kwenye mengine yote imeachwa, interface ovyo, touch ovyo, browser ovyo, Apps ovyo. Ziko overprices kwa maoni yangu.
Kuna nchi e.g India zilitishia kuifungia kwa sababu vyombo vya usalama haviwezi kusoma msg za BB kwa kuwa server zipo Canada na msg ziko encrypted, ila sasa wamewezeshwa kuzisoma hizo Msg so zimeruhusiwa.
we............................Hiyop keyboard ya blackberry ndo ilifanya mauzo yao yashuka last week,,, They say that smartphone withouk keyboar give a nice userinterface and can intergrate easly with many apps.
du, naona kama unanikatisha tamaa hivi..Ha ha ha ..tunabishana kuhusu matumizi ya smart phone wakati hizi hazina faida kwa watanzania wengi..kutoka na nchi yetu kuwa nyuma kiteknolojia na E-commerce..Jiulize kwanza unahitaji smart phone kwa ajili gani? .In Tanzania.. Internet ni gharama sana, hakuna online facilities.. Social Network users ni wachache..jiulize nyumbani kwenu wangapi au kazini kwako wangapi wanaingia JF au FB.labda ni wewe peke yako... hao wachache mpaka wakimbilie Interner Cafe za speed 256Kb/s.. Jiulize Apps ngapi tunatumia.. GPS hazifanyi kazi kwani Bongo hakuna mitaa.. Restaurants zetu hazifanyi online delivery.. In absence of E-commerce hizo simu huziitaji..Bongo walio wengi tunahitaji. Nokia za tochi ..tena zinatosha sana..tena hasa wakati huu wa mgawo wa umeme..Hivyo msibishane kwa kufuata mkumbo..subirini teknolojia itakapofika Bongo mwaka 3000..
Mkuu unaongea kinyume kabisa, BB ndo most secure mobile phone kama unataka privacy ndo maana zinatumika na makampuni mengi kutunza corporate secrets, nchi zinaibania for the same reason kwa sababu wanausalama hawawezi kusoma msg za watu, hili ni tatizo hata terrorists wa Mumbai walikuwa wanatumia BB na iliwasaidia kuficha mawasiliano.
Kampuni za zote za simu (provider) zinaweza kusoma msg zako, kwa sababu encryption iko kati yako na kampuni, tofauti na BB ambayo unaweza kufanya encryption end to end yaani kati yako na unayeongea nae kitu ambacho kinawanyima hata BB kusoma msg zako.
Simu ni Nokia tu,ukitaka ya bei rahisi ipo,ukitaka ya bei mbaya ipo,yenye application chache ipo yenye application nyingi zipo tele
Encryption ni njia za kuvuruga data ili zisiweze kusomeka na mtu yoyote asiyekuwa na funguo, na decryption ni kuzirudisha data kwenye hali yake ya kawaida (reverse ya encryption) ina matumizi mengi, ikiwemo kwenye msg, inakuwa encrypted kwenye simu ya sender na decrypted kwenye simu ya receiver hivyo mtu wa katikati (vyombo vya usalama, service provider etc) hawezi kuisoma.Kang, kindly help mi naona neno encryption kwenye simu yangu sielewi linamaanisha nini na application zake ni zipi!