Loading.....
Member
- Nov 1, 2011
- 20
- 0
nahitaji blackberry curve yeyote ile hata 8310 poa tu, nipe bei, isiwe ya kichina, new or used, napatikana Dar Mikocheni, nitakufuata popote ulipo,isiwe nje ya dar, ila kibaha, bagamoyo naweza kuifuata kama bei ikiwa nzuri.