Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 700
- 1,611
Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?
According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote).
Kama vile tunavoshare siku za birthday na mtu fulani au watu fulani meaning siku,mwezi na mwaka vikawa sawa basi na deathday ni same hivyohivyo.
Kwa uwelewa wangu naona kuna list ya watu ambao wanazaliwa leo ,wengine muda ni sawa na wengine ni tofauti na kuna wengine wengine wanakufa leo, wengine muda sawa na wengine wanatofautiana.
Meaning kuna watu wanoingia na kutoka kila siku kwenye hii dunia.