Birthday and deathday

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
697
1,598
Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?

According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote).

Kama vile tunavoshare siku za birthday na mtu fulani au watu fulani meaning siku,mwezi na mwaka vikawa sawa basi na deathday ni same hivyohivyo.

Kwa uwelewa wangu naona kuna list ya watu ambao wanazaliwa leo ,wengine muda ni sawa na wengine ni tofauti na kuna wengine wengine wanakufa leo, wengine muda sawa na wengine wanatofautiana.

Meaning kuna watu wanoingia na kutoka kila siku kwenye hii dunia.
 
Unawatafuta wapinga Kristo!
Wakija tutawapa mistari ya Bible.

Tangu Mungu aanze kufuta watenda maovu kuna watu aliwabakisha.

Angalia wakati wa Nuhu na Safina,

Wakati wa Sodoma na Gomola

Hata wakati wetu ukifika still kuna watu wataachwa hai kuja kusimulia matendo Makuu ya Mungu kwa Vizazi vijavyo
 
Je siku, mwezi na mwaka uliozaliwa unaweza kupredict siku,mwezi na mwaka utakaokufa?

According to my research watu wengi hufariki mwezi ule waliozaliwa (sio wote)...
Nimeifurahia picha yako, Ina ubora na ujumbe zaidi kuliko nyuzi uliyoandika.
 
Mkuu hivi unadhani kila mtu atakufa kwenye hii Dunia?

Wengine watabaki kushuhudia matendo Makuu ya Mungu wakati wa unyakuo.

Ndiyo.......Yu Hai 💪
heeeeeee................

kumbe sio kila nafsi itaonja umauti tena jamani
 
heeeeeee................

kumbe sio kila nafsi itaonja umauti tena jamani
Jitahidi kutenda mema uwe mmoja wao wa kuja kusimulia vizazi vijavyo kuhusu matendo ya Mungu Mkuu


Uje kuwa Nuhu wa safina ama Ruth wa Sodoma na Gomola 😜
 
Back
Top Bottom