Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

Mkuu tabia ni ya mtu binafsi wala sio kabila, kila tabia nzuri au mbaya unayoijua hapa duniani kila kabila lina mtu wa tabia hiyo, kikubwa omba Mungu akuongoze katika maamuzi yako, maandiko matakatifu yanasema mke mwema utoka kwa Mungu, basi mwombe Mungu akuongoze katika maamuzi yako yeye anamjua huyo unayetaka kumwoa kabla hajazaliwa.
 
Jamani asanten sana kwa shauri zenu nyingi ila swal langu ni hivi hii jamii kwan bado inajuhusisha na vitendo vya ukeketaji?
 
Ni wazuri sana ingawa wakifika mijini huwa wanakuwa na huruma sana. Ni wepesi wa kutoa kila wanapoliliwa. Hawapendi wenzao waumie wakati suluhisho wanalo mikononi mwao.

hahahaha, umenikumbusha mbaali mzee,

kuna kabila niliambiwa wao husema "ya nini kumnyima mwenzako kitu ambacho wewe munguamekupa bure!" hahah
 
daa kaka utajutia wewe,mwenzio nasema yashanipata tena juzi juzi tu,hawajui kukataa af wana sura ya kipole ukambiwa amefanya kitu kibaya unabisha mpaka misuli inakusimama.hawana lolote hao,sikujui ila nakuonea huruma sana
 
Nakumbuka nilisha wahi kuulizia tabia za hawa mabinti wa ki-iraqw (wambulu) na kupata majibu yanayofanana kutoka kwa watu wa 5 tofauti wenyeji wa manyara, ila kwa kuwa nilimpenda sana huyu mwiraq nikapotezea na kuamini kuwa ni rumous, kilichonikuta bandugu i felt like killing her, tena kama wewe sio wa kabila lake ndio kabisaaa! they can hardly reject your proposal at a first place, just Hit and if possible run...
 
chukua tu, ila ujue kabisa hutakua peke yako, na wanajua kweli za kupiga zero grazing... hasa binamu
 
Jamani asanten sana kwa shauri zenu nyingi ila swal langu ni hivi hii jamii kwan bado inajuhusisha na vitendo vya ukeketaji?

Whaat? Unatuuliza sie wakati binti unaye ...
Tukuulize wewe sasa...usituambie unasubiiri baada ya ndoa ndio m duu
Au na wewe umeshadanganywa ubikra te te te...
 
Duh hao watu wana huruma balaa kwenye mambo ya mapenzi...kwa kuwa mke sikushauri.
 
Kiiraqw....Bashnet huko bwana..
ukishikwa shikamana hamna la zaidi..!!
wanasema wanagawa kama lawalawa...usikatishwe tamaa mkuu, ni maneno tu hayo!!

Huu ni ukweli!

Kingine, ukiamua kujilipua naye hakikisha hawi na nguvu kiuchumi au independent kwa namna yoyote.

Atakuletea mchepuko hadi kwenye fensi ya nyumba!
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
looooo!!! hawa kina katarina sifa yao kubwa hawajuagi kusema hapana ukimuomba atakuambia hakuna shida kwani ni sabuni itaisha? halafu ukimfumania atajitetea ni ndugu yangu jamani tumbo moja lakini kila mtu na baba yake na mama yake shida ika.
 
Acheni kutusema vibaya wapendwa,mbona tuko sawa kabisa tabia ya mtu moja haiwezi kufanana na tabia ya kabila zima kila mtu na tabia yake ukilinganisha na wazazi wake pamoja na mazingira aliyolelewa.
 
Kama upempenda peleka mahari umiliki. Vinginevyo utaishia kuomb msaada jf wenzio wanaweka ndani
 
Kila Kabila Likiletwa Hapa Lazima Likosolewe; Ajabu Wengi Ya Wakosoaji Hawajawahi Kuwa Na Mahusiano Na Hilo Kabila
We Kama Umempenda, Muoe
Achana Na Stori Za Vijiweni
Jigo
 
Kawaida mbona hata Mi nimeoa mkurdi wa ki-Iraq licha mama m-Turkey njia moja......dunia kijiji kimoja ukabira umepotea
 
Back
Top Bottom