Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Kada,

MKJJ, kajiweka katika nafasi kama Hakimu Lyamuya. Unless you have personal grudge with MwanaKijiji, your comments above clearly shows us the rotten mentality that has been circulating in minds of Watanzania Watendaji who are afraid to govern using principles and bend to influencial powers and supremacy!

Na wewe labda unaanza kuwa na ka-grudge na Kada. Mwenzio kauliza tena nadhani kwa nia njema kabisa halafu wewe unataka kupindisha dhumuni la yeye kuuliza alichouliza. Hata mimi nilikuwa na swali hilo hilo lakini haina maana hata kidogo kuwa mentality yangu na mimi imeoza.
 
Dua, nadhani hili watakujibu mawakili wenyewe, inaelekea hujui kama mawakili ni maafisa wa mahakama.

Wakili yeyote ambaye anaweza ku-volunteer, ampatie maelezo ya kina kwanini mawakili ni maafisa wa mahakama.

Acha kamba zako hapa kwani wanalipwa na mahakama. Pale ni sehemu wanakwenda kufanyia kazi na wala sio maafisa wa mahakama.
 
Acha kamba zako hapa kwani wanalipwa na mahakama. Pale ni sehemu wanakwenda kufanyia kazi na wala sio maafisa wa mahakama.

Huna ulazima wa kujua kila kitu, fahamu tu kwamba leo umefaidika kujua kuwa mawakili ni maafisa wa mahakama, inatosha.
Unaweza ukatafuta ukweli toka popote unapodhani 'hutafungwa kamba'
 
Mimi nasubiri kwa hamu magazeti ya kesho kwani na uhakika Fatma Karume hawezi kukaa kimya.
Alafu namtafuta Mwafrika wa Kike jamani, maana yeye ndiyo alikuwa anapenda quotation "well behaved women never make history!"
Haha! huyu dada is definitely not well behaved lakini kaweka historia!:D
 
Hiyo ndiyo Tanzania nchi ya amani inayoongozwa kwa utawala wa sheria (nahisi sheria za porini). Inapotokea mlalahoi kaidharau mahakama/hakimu kidogo tu hata kucheka mahakamani ataenda lupango kwa masaa, siku, wiki kama sio miezi kadhaa. Lakini inapotokea wenye nchi na watoto wao kutenda hayo sheria haichukui mkondo wake. Tumeyaona hayo hata kwa ndugu zake Dito kufanya fujo kubwa sana mahakamani wakapigwa picha na waandishi wa habari afande Tibaigana akatangaza kuwatafuta watu ambao picha zao zilipamba magazeti mpaka leo hawajapatikana na hata kesi aliyosema ataifunugua naona kaifungulia kwenye briefcase yake. Watu wanapochoma moto vituo vya polisi na ofisi za serikali ni kwa sababu ya kuchoshwa na mambo kama haya (double standards), kwamba sheria inafanya kazi kwa walalahoi tu na si kwa vigogo na familia zao.
Hakimu Lyamuya atueleze ni kwa nini hakumchukulia sheria huyu mtoto wa Karume badala yake akaenda kushtaki kwa bosi wake? Au alienda kuazima kifungu cha sheria huko kwa bosi wake?
 
Huna ulazima wa kujua kila kitu, fahamu tu kwamba leo umefaidika kujua kuwa mawakili ni maafisa wa mahakama, inatosha.
Unaweza ukatafuta ukweli toka popote unapodhani 'hutafungwa kamba'

Udanganyifu kama huu ndio unapotosha watu wengi sana pamoja na wewe. Mawakili wanalipwa na waliowakodisha kuwatetea kwenye sheria mahakamani. Wanakwenda mahakamani kuwatetea wateja wao hilo haliwafanyi wao kuwa maafisa wa mahakama.

Nenda mahakamani utawakuta maafisa wa mahakama wanatoa vielelezo kwa wale ambao wamefika mahakamani kwa kesi zao.

Fatma Karume ni mwajiriwa wa Imma and Karume ....... anapokwenda mahakamani anakwenda kumtetea mteja wake na sio mtu asiyemfahamu au kumfahamu ambaye hajamkodisha. Hawezi kuwa afisa wa mahakama hapa umeteleza.
 
Kwa wanasheria jamani hebu tupeni vitu, kwani mawakili wanaruhusu kugombana na hakimu, au ndiyo hivyo vibweka vya watoto wa IKULU.
 
NDUGU WANA JF mawakili by operation of law ni maafisa wa mahakama kuu na kwa sababu hiyo wanakuwa automatically maaafisa wa mahakama zote zilizo chini.

hii ni kwa mujibu wa kifungu katika sheria ya mawakili inaitwa advocates act. ningependa kuwawekea kifungu hicho hapa ili muweze kukisoma na kuwafahamisha wengine!!!

ADVOCATE ACT (CAP 341)
PART IX
SECTION 66. Any person duly admitted as an advocate shall be an officer of the High Court and shall be subject to the Jurisdiction thereof.

NAOMBA KUWASILISHA!!
 
huwezi ukasema kama ungekuwa bongo ungemuweka lupango ! wewe nani ?? ina maana hata huku nje mtu akikosea basi random personal achukue kazi ya polisi ??

Kada,
Inabidi ujenge hoja ili wadau wakuelewe. Unachoandika ni kama kupoteza muda tu. Watanzania wa leo si kama wa mwaka '47. I can assure you one thing" Time will Tell" and remember " A good storyteller is a person who has good memory and hopes other people haven't" Nafikiri una-enjoy kuandika bila kujali unachokiandika.
 
Kada,

MKJJ, kajiweka katika nafasi kama Hakimu Lyamuya. Unless you have personal grudge with MwanaKijiji, your comments above clearly shows us the rotten mentality that has been circulating in minds of Watanzania Watendaji who are afraid to govern using principles and bend to influencial powers and supremacy!

Kishoka what kind of principles are you talking about our "BANANA REPUBLIC's" judicial system; a corrupted system; i pray if i was on such a position of karume's daughter, i cud have done the same! kos no principles! do you believe that these guys and gals (mahakama judges) are counting far away dates because they are occupied? No, is only that they cannot solicit bribe from karume's daughter! OUr judicial system is equally as rotten as karume daughter! A little case like this can take 5 years why?
 
NDUGU WANA JF mawakili by operation of law ni maafisa wa mahakama kuu na kwa sababu hiyo wanakuwa automatically maaafisa wa mahakama zote zilizo chini.

hii ni kwa mujibu wa kifungu katika sheria ya mawakili inaitwa advocates act. ningependa kuwawekea kifungu hicho hapa ili muweze kukisoma na kuwafahamisha wengine!!!

ADVOCATE ACT (CAP 341)
PART IX
SECTION 66. Any person duly admitted as an advocate shall be an officer of the High Court and shall be subject to the Jurisdiction thereof.

NAOMBA KUWASILISHA!!

Kuelewa lugha ni kitu muhimu, ukiangalia kwenye kiingereza neno Officer linatafsiriwa kama 'a person holding a position of authority'. Tukirudi kwenye mada yetu kwenye legal profession:

Legal Profession
Any person enrolled as an advocate under the Advocates Act, Chapter 341 of the Laws of Tanzania [R.E.2002] and listed as a member of the Tanganyika Law Society, established pursuant to the Tanganyika Law Society Act Chapter 307 of the Laws of Tanzania [R.E 2002] can practice law as an Advocate and shall be subject to the disciplinary rules and etiquette as promulgated under the said laws, and subject to the Ethics Committee of the Law Society and the Advocates Disciplinary Committee established under the Advocates Act CAP 341.

Any LL.B degree holder who has attended internship and Pupilage in two years can apply to sit the Bar exam which is held three times a year. The Bar exam is an oral interview conducted under a panel of the Council for Legal Education, which is composed of representatives of the Chief Justice of the United Republic of Tanzania, the Attorney General of the United Republic, the Dean of Faculty of Law, of the University of Dar Es Salaam, and two representatives of the Law Society. A successful candidate is sworn in and enrolled as an Advocate of the High Court of Tanzania and sub-ordinate Courts thereto. Advocates do not have the right of audience before the Primary Courts in Tanzania.

Kwa maana hiyo kuwa ofisa wa mahakama kuu hakumpi uhuru au uwezo wa kuwa na authority kwa jaji na maendeleo ya taratibu za kimahakama. Yeye anakuwa msemaji na authority yake inaishia kwenye kutetea mteja wake na siyo vinginevyo. Vile vile ni lazima afuate taratibu zilizowekwa kama inavyoonyesha hapo juu. Uofisa wake hauna mamlaka yoyote katika utendaji na uendeshaji wa shughuli za mahakama.
 
Kada kwa vioja!Unataka tuone huyu hakimu hajakosea kwa vile ni mtoto wa Makamu mwenyekiti wa Chama chako?

ninachomaanisha ni kwamba, hata kama mtu mwalifu sio ANYBODY RANDOM anaweza kumhukumu, ndicho nilichomaanisha. sasa mtu from nowhere aje amhukumu kama nani, najua amefanya kosa tena kubwa, lakini mtu unaposema unamuweka lupango, wewe kama nani ??
 
Rev Kishoka unapoteza muda wa kumjibu Kada.Yeye kila kitu ni sawa tu kwake hata mlalahoi akionewa na hata Ditto kupitia mlango wa Majaji kwake sawa na ndugu wa Ditto kurusha matusi kortini na vijembe kwake sawa.Hadi sasa hakuna Tamko la Mahakama Kuu itakuwa ya Kisutu ?Mwaka huu mengi yako na yanakuja. Ditto na mlango , kufutiwa shitaka la kuua kwa makusudi,mtoto wa Mungai na bunduki kwenye baa lakini hakuna kitu, Kinje naye na bastola nje nje hakuna kitu . Ama kweli serikali hii inawajali washinda hoi .Yangu macho
 
Na wewe labda unaanza kuwa na ka-grudge na Kada. Mwenzio kauliza tena nadhani kwa nia njema kabisa halafu wewe unataka kupindisha dhumuni la yeye kuuliza alichouliza. Hata mimi nilikuwa na swali hilo hilo lakini haina maana hata kidogo kuwa mentality yangu na mimi imeoza.

hawa watu hata siwaeleni mzee nyani ! nauliza swali, mtu anafikiria vingine, baada ya kuuliza anaanza kunya kunya, si angeuliza nilikuwa na maana gani ! but all these people going after kada, nawaangalia tu kwenye kioo ipo siku nitawatolea uvivu wote !
 
Rev Kishoka unapoteza muda wa kumjibu Kada.Yeye kila kitu ni sawa tu kwake hata mlalahoi akionewa na hata Ditto kupitia mlango wa Majaji kwake sawa na ndugu wa Ditto kurusha matusi kortini na vijembe kwake sawa.Hadi sasa hakuna Tamko la Mahakama Kuu itakuwa ya Kisutu ?Mwaka huu mengi yako na yanakuja. Ditto na mlango , kufutiwa shitaka la kuua kwa makusudi,mtoto wa Mungai na bunduki kwenye baa lakini hakuna kitu, Kinje naye na bastola nje nje hakuna kitu . Ama kweli serikali hii inawajali washinda hoi .Yangu macho

kama unataka kufufua mada ya ditto kuua (which i think it wasnt a fair judgement he got) kwa nini usianzishe thread nyingine bila ya kumtumia KADA kama back up yako kufufua hiyo mada ? Lunyungu trust me, kutaka kuniua mimi hapa JF wont work, and i repeat it wont work ! UNLESS ADMN. anifungie thats the only way OUT ! so hongera kwenye kampeni yako !
 
NDUGU WANA JF mawakili by operation of law ni maafisa wa mahakama kuu na kwa sababu hiyo wanakuwa automatically maaafisa wa mahakama zote zilizo chini.

hii ni kwa mujibu wa kifungu katika sheria ya mawakili inaitwa advocates act. ningependa kuwawekea kifungu hicho hapa ili muweze kukisoma na kuwafahamisha wengine!!!

ADVOCATE ACT (CAP 341)
PART IX
SECTION 66. Any person duly admitted as an advocate shall be an officer of the High Court and shall be subject to the Jurisdiction thereof.

NAOMBA KUWASILISHA!!

Only that 'The Act' does not state that 'The Officer of court' is allowed to cause a brawl in court, or does it?
 
This goes to show that there are two judicial systems in TZ, one for WENYENCHI na nyingine kwa WANANCHI
 
Hivi hapa wa kulaumiwa nani? mimi ningekuwa ni bosi wa yule hakimu ningemrudisha shuleni akapigwe msasa maana hajui kazi yake, na wala hawezi kuwa jasiri ingawa amepewa uwezo na serikali, yuko pale kuhakikisha haki inatendeka .Sasa yeye kushindwa kukemea kile kitendo cha wakili ni wazi hakimu hawezi kazi yake, sasa tunategemea huyu hakimu atakuwa na authority yoyote na uwezo wa kuhakikisha haki inatendeka na washtakiwa wanapewa haki zao au adhabu zinazowastahili?

Wengine tulisoma na watoto wa vizito kishenzi, lakini headmaster wetu alikuwa haelewi nani mlalahoi nani mtoto wa mkubwa, ukileta ujinga hata kama baba yako mwinyi ulikuwa unapata vibao na suspension juu na wala sikuwahi kusikia mtu amemgusa huyo headmaster kwanza heshima alipewa vile vile.

Huyo hakimu kilaza huyo, wamchape viboko kabisa. Na mimi ningekuwa hakimu bongo ningemchapisha viboko huyo sijui wakili sijui fatma karume mimi sielewi.
 
Back
Top Bottom