Binti mpweke anahitajika

Ninae mmoja, ila mahari yake itabidi uwe houseboy wangu not less than ten years, mbali na mke wangu lakini.. usijeniharibia ndoa bure!!
 
mtaani kwangu yupo, kweli ni mpweke, anafanya kazi katika ofisi ya serikali, tene ni mzazi hasa, ana watoto wanne aliozaa na wanaume tofauti, anaweza kuapply nafasi hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom