Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

Umeongea ukweli mtupu ila sio kwa serikali yetu hii ambayo kila mtu anawamba usawa wake hamuwazii mwingine anachowaza ni yeye tu
So kama tuna hali hiyo je yatupasa kuiangalia huku jamii ikiumia na Kodi wanakatwa? Au kwa mawazo yako unadhani nini kifanyike kurekebisha hali?
Sisi wote ni watanzania na tuna haki ya kugawana sawa keki ya taifa.
 
Back
Top Bottom