Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

saba then unajitapa mimba ni yako? game dk 90 subiri mkid then u prove,hawa watu wana akili sana,unaweza kujiona mjanja kumbe wanakucheka watu.

Usawa huu, hakuna mwanamke ambaye atanisingizia mtoto, nnafaham kila step na kila staili, ndio maana nmesema nmempa mimba, maana nilimbana bila ya yeye kujua.
 
Back
Top Bottom