Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Siku nyingine ukiparamia wadada usiowajua ununue condom na ky jelly. Itakurahisishia maisha kwa wepesi
 
Binadamu hujifunza kutokana na makosa hivyo nami nmejifunza kitu!

hapana we hujajifunza kitu ila siye ndo umetufundisha kitu, una bahati sana Mbwa dume unajua wangukufanya nini?, unge-gagaduliwa aisee.
 
Mshukuru Mungu ilibaki kidogo wavunje duka, siku nyingine panga ukamgegede na wewe ukiwa na mabaunsa wako.
 
Sasa mnalalamikaga nn?

Malalamiko yanatokea pale mambo yanavyo kwenda kinyume na mipango. Hata wewe nadhani kuna muda uwa una lalamika. Or em I wrong?

Ila my point is hakuna haja ya kuchunguza kila mwanamke unapotaka kuwa laid, wengine ni kwa ajili ya hook up tu. Na ni kawaida sana.
 
Dah! ina maana kweli wanawake ni rahisi kiasi hicho? mke wa mtu siku moja tu anakuita honey,alilzaimishwa kuolewa au? na hii tabia imekuwa sana siku hizi walioolewa kusema wako single jamani tukifumaniwa anayeumia ni mwanaume mpaka ukajieleze kwamba alikuambia yuko single tayari marinda hamna au meno ya reception hamna,tuwe makini sana wanaue wenzangu katika tongoza tongoza sikuizi No wameigeuza kuwa Yes kama ulikuwa unatest ndo inakula kwako hapo!
 
ukome wewe Mbwa dume kama lilivyo jina lako. unakutana na
binti jana, leo appointment ya kwanza mnakutana chumbani ndani ya sita
kwa sita??

mweee..kweli tunakoelekea siko.
 
Last edited by a moderator:
Mie wa hivyo nawapenda,niPM no yake mkuu tuendeshane

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ukome wewe Mbwa dume kama lilivyo jina lako. unakutana na
binti jana, leo appointment ya kwanza mnakutana chumbani ndani ya sita
kwa sita??

mweee..kweli tunakoelekea siko.

Huu ni ushamba sasa, na sio kitu kingine. Hivi kweli ni jambo la ajabu mwanamme kuzungumza na mwanamke leo na kugegeda leo leo!?

Hapa duniani tumetofautiana. Kuna watu wanapenda complications na wengine hawapendi.

Hivyo sio ajabu haswa kwa hapa DSM kuonana leo na kupeana uroda leo leo. Sijui wadada wa humu JF mpo too local or what.
 
Last edited by a moderator:
kamera ya shigongo naona ilikuwa inakusaka kwa hamuuu...tungekuonapo kwenye magazet
 
Huu ni ushamba sasa, na sio kitu kingine. Hivi kweli ni jambo la ajabu mwanamme kuzungumza na mwanamke leo na kugegeda leo leo!?

Hapa duniani tumetofautiana. Kuna watu wanapenda complications na wengine hawapendi.

Hivyo sio ajabu haswa kwa hapa DSM kuonana leo na kupeana uroda leo leo. Sijui wadada wa humu JF mpo too local or what.

wana-pretend tu..
 
Huyo demu hana mume wala lolote. Ni mpiga dili tu. Hapa alikuwa anataka pesa zako pamoja na hao manyangau wenzake. Mshukuru shetani wako, mjini hapa

Imekaa kidili dili hivi ameona apate fedha za haraka.

Huyo siyo innocent kama alivyokuambia.
 
Wewe mshukuru MUNGU umesalimika ila baadhi ya dada ze2 kwa kudanganya wako juu.ogopa mke wa mtu
 
yaani mara ya kwanza mnakutania guest!

alafu ufunguo wa watu umerudishaje baada ya kukimbia
 
Huu ni ushamba sasa, na sio kitu kingine. Hivi kweli ni jambo la ajabu mwanamme kuzungumza na mwanamke leo na kugegeda leo leo!?

Hapa duniani tumetofautiana. Kuna watu wanapenda complications na wengine hawapendi.

Hivyo sio ajabu haswa kwa hapa DSM kuonana leo na kupeana uroda leo leo. Sijui wadada wa humu JF mpo too local or what.
wanaofanya hivyo ni wanyama kama kuku na sio binadamu
 
wanaofanya hivyo ni wanyama kama kuku na sio binadamu

You're in no position to judge anybody. Usijipe utakatifu wowote kwa kuwa nina uhakika wewe nae ni shetani tu kwenye baadhi ya mambo.

Kama sio malaya, basi may unaweza ukawa mchawi, muongo, mnafiki, mwenye wivu, mbinafsi, mlevi na mambo mengine ya aina hiyo.

Hakuna msafi duniani.
 
Back
Top Bottom