Bingu alishaandaa kaburi lake ndani ya jumba la kifahari?

kuoza ni kule kule hata akizikwa wapi....

Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
 
Hata wakimuweka madawa asioze inasaidia nini? Bado atanyauka, angalia maiti za wafalme na malkia misri, miaka 3000 zimenyaukaaaaa hazina hata maana.....

Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.
 
Hapo sasa, ingekua jambo la maana kama wangeweza kuzuia wasife, lakini binadamu akishakufa hata wakiwatia madawa ni kazi bure

Wengine hupuliziwa dawa hawaozi ila miili yao hukauka tu. Lakini ukweli unabaki kila mtu kuwa ni udongo na kurudia kuwa udongo tu.
 
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.

Kwa kawaida dawa hizo hukausha na hubaki hivyo, lakini ikishapita miaka mingi mwili ukiguswa hupukutika kama jivi ndivyo ilivyo kwa baadhi ya miili ya zamani ya Mapope iliyozikwa ndani ya makatakombe ya St. Peters, Vatican city, Rome
 
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.

Ni dhahiri kuna tofauti ya kuoza mzoga na kubaki mifupa tu na hii ya kukauka na kubaki na taswira ya mtu yule kwa miaka nenda rudi.
 
Kuna tofauti za kuoza. Rais wa kwanza wa Malawi Kamuzu Banda hajaoza mpaka leo, na inasemekana walimweka madawa ya kutokuoza kwa miaka 90, na ikiisha miaka hiyo wakipenda wataweka tena dawa nyingine.

Hata uwe mummified vipi, bottom line huna uhai
 
Sijui hawa viongozi wetu wanalijua hili kua ipo siku watakiwacha kila kitu na hakuna kitakachowasaidia ila amali zao...
nawaonea huruma sana wanapowafanyia wananchi ubaya..
 
Na yale amgunia 30 ya dola ameyaacha maskini
Nenda ukapate hukumu unayostaili under the fair judgement toka kwa mola.
Hakuna kuhonga uko!
Tatizo ni kuwa huwa hatupati feedback ya haya mambo uko tuendako
Kaka hapo kwenye red ni ya kweli lakini?kama ni kweli anakuwa sawa na yule raisi wa Tunisia aliyekimbia na kuacha makabati yaliyojaa dolali,si ajabu hata hapa petu yapo,kama mdau mmoja alivotoa uzi wake hapa kuna haja ya kuwa kwenda ku scan huko mipesa mitaa ya masaki,Mbezi na Kifungiro (Lushoto),Bagamoyo na ile mitaa ya kuanzia Chalinze mzee hadi mto Wami
 
Sijui hawa viongozi wetu wanalijua hili kua ipo siku watakiwacha kila kitu na hakuna kitakachowasaidia ila amali zao...
nawaonea huruma sana wanapowafanyia wananchi ubaya..

Nilipokuwa shule ya msingi wakati wetu kulikuwa na vipindi vya radioni kila siku kutegemeana na madarasa, na kila shule ilipewa ratiba ili wanafunzi wahudhurie vipindi hivyo.
Kitu kimoja kati ya vingi ambacho hakitoki masikioni mwangu ni pale nilipkuwa nasikiliza hadithi katika kipindi cha kiswahili kutoka kitabu kama sijachanganya Alflela Ulela,
"Zaidi mtu apatavyo ndivyo atamanivyo."
 
What a monstrosity of a palace.

It is indeed a monstrosity. Yet, in an address on the burial day, the late president's brother, Mr Peter Mutharika castigated people like you and me for that thought. He claimed it to have only 5 bedrooms.
 
Ni kweli mwendo ameumaliza lakini je ni kweli aliilinda imani na taji atavishwa?

Atajuana na mungu wake maana mambo yalivyokuwa yanakwenda anajua vizuri mheshimiwa Nkwanzi Bingu wa Mutharika, the Professor.
 
Kweli
Safari ni Safari haijalishi
unaondoka na usafiri gani mkuu.

MIMI NIKIFA HILI LANITOSHA

Kaburi_la_Meya_wa_Kwanza_wa_Moro_shambani_kwake_Mkundi.jpg
 
Pichani kaburi lake likiwa ndani ya jumba lake la kifahari kwenye shamba lake, ameandaa jumba la kifahari atakapostaafu lakini Mungu akamwambia naitaka roho yako kabla hujastarehe kwenye jumba hili ulilojenga kutokana na kodi za wananchi.

Sio mbaya tukielimishana kidogo CS, kimsingi sio Mungu (Jehova) aliyechukua roho yake; mhusika mkuu katika mission hii anaitwa MAUTI. Huyu ni roho kamili na ana akili na utashi, sio tukio. Mara zote hufuatana na KUZIMU ambayo nayo ni roho na inatumika kama ghala la kuhifadhi wanaovunwa duniani.

Tujiepushe kumsingizia Mungu na mauaji. John 10:10...The devil (thief) came to steal, kill and destroy.

Ukisoma Revelation 6:5 utaona kuwa muuaji hapa ni shetani.
 
It is indeed a monstrosity. Yet, in an address on the burial day, the late president's brother, Mr Peter Mutharika castigated people like you and me for that thought. He claimed it to have only 5 bedrooms.
Mdogo wake naye kanyang'anywa tonge mdomoni. Walitaka kurithishana nchi kama wanavyorithishana uchief
 
Mdogo wake naye kanyang'anywa tonge mdomoni. Walitaka kurithishana nchi kama wanavyorithishana uchief

Na bado vigogo wa DPP (chama cha akina Bingu) wanahama DPP kwenda chama cha mama Banda cha PP. Pigo lingine kwa Peter Mutharika!
 
Back
Top Bottom