Bingu alishaandaa kaburi lake ndani ya jumba la kifahari?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
mutharika_mausoleum-550.jpg

Mutharikas-ndata-house-550.jpg

04_12_cs7v2b.jpg

Jakaya Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Malawi, marehemu Profesa Bingu wa Mutharika, wakati wa maziko yaliyofanyika shambani kwa marehemu eneo la Ndata, wilayani Thyolo.
 
Mataito ya waafrika utayaweza; eti Ngwazi Professor Bingu wa Mutharika hadi kwenye kaburi.
 
Ngwazi maana yake nini?

Waafrika mataito ndo yenyewe haswa. Wewe huoni siku hizi hadi wahandisi na wanasheria wanaweka taito zao kwenye majina yao....eti advocate (adv.) Bwa'Nchuchu....eng. Kichuguu....lazima watu wajue bana.
 
Mataito ya waafrika utayaweza; eti Ngwazi Professor Bingu wa Mutharika hadi kwenye kaburi.

Huyu jamaa bora ametangulia mapema. Angeiharibu ile nchi kabisa. Na haya mambo ya kujiandalia kaburi yanaanzia wapi? Alikuwa ni Chief naye?
 
Na haya ndo maneno yake kutoka kwenye bible
2 Timothy 4: "[SUP]7[/SUP] I have fought the good fight, I have finished the race, I have kept the faith. [SUP]8[/SUP] Now there is in store for me the crown of righteousness, which the Lord, the righteous Judge, will award to me on that day-and not only to me, but also to all who have longed for his appearing. "
 
Na yale amgunia 30 ya dola ameyaacha maskini
Nenda ukapate hukumu unayostaili under the fair judgement toka kwa mola.
Hakuna kuhonga uko!
Tatizo ni kuwa huwa hatupati feedback ya haya mambo uko tuendako
 
HUU NI UMANGUNGU WA KIAFRIKA...ATI NAYE NI NGWAZI!...KAZIKWA NA PADRI MZUNGU

bingu-burial-550.jpg

mutharika_mausoleum-550.jpg

Grand ... The mausoleum where Mutharika was buried on Monday

Mutharikas-ndata-house-550.jpg

White House ... Mutharika's home on his Ndata Farm in the tea-growing district of Thyolo
 
Sijui Mungu gani anayemzungumzia...labda yule wa British Legion. Maana sijui kama kuna Mungu anaruhusu wizi na rushwa.
 
Huyu jamaa bora ametangulia mapema. Angeiharibu ile nchi kabisa. Na haya mambo ya kujiandalia kaburi yanaanzia wapi? Alikuwa ni Chief naye?
Mkuu mbona viongozi wenu wanaoharibu nchi hamuwaombei watangulie? Au labda malawi ndiyo una uchungu nayo zaidi wa kuaharibiwa kuliko nchi yako?
 
Na haya ndo maneno yake kutoka kwenye bible
2 Timothy 4: "[SUP]7[/SUP] I have fought the good fight, I have finished the race, I have kept the faith. [SUP]8[/SUP] Now there is in store for me the crown of righteousness, which the Lord, the righteous Judge, will award to me on that day-and not only to me, but also to all who have longed for his appearing. "

Yeah man, Mandela licha ya kuishi gerezani miaka 26, ameongoza nchi kwa miaka 5, mafao ya uongozi wake ndiyo yanayomfanya aishi mstarehe hadi leo, hawa wengine licha ya kuchuma miaka yote ya maisha yao na baada ya kushika usukani wa kuongoza nchi ndio wakingaji wakubwa wa kodi za wananchi, pesa hizi zitawafikisha wapi kama si machungu ya maisha yao baada ya kuachia ngazi?
 
HUU NI UMANGUNGU WA KIAFRIKA...ATI NAYE NI NGWAZI!...KAZIKWA NA PADRI MZUNGU

bingu-burial-550.jpg

mutharika_mausoleum-550.jpg

Grand ... The mausoleum where Mutharika was buried on Monday

Mutharikas-ndata-house-550.jpg

White House ... Mutharika's home on his Ndata Farm in the tea-growing district of Thyolo
04_12_cs7v2b.jpg

Hiyo limasheni laonekana jipya kabisa limehitimishwa kwa kufukiwa jeneza lake kabla hajaonja raya ya kustarehe ndani yake, pesa hiyo aliyotumia kujenga hapo angejenga chuo au barabara angehesabika shujaa kwa vizazi.
 
kila kitu tutakiacha,
hata kwenye kaburi itasalia mifupa mitupu.

04_12_cs7v2b.jpg

Hiyo limasheni laonekana jipya kabisa limehitimishwa kwa kufukiwa jeneza lake kabla hajaonja raya ya kustarehe ndani yake, pesa hiyo aliyotumia kujenga hapo angejenga chuo au barabara angehesabika shujaa kwa vizazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom