Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,428
- 15,994
Bila shaka mmeamka salama,
Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli?
Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa kucover naambiwa niingie mfukoni? WTF is this? Kuna umuhimu gani wa kuwa na hii bima sasa? I am totally disappointed na nawaambia CCM kua nimechukizwa na hili.
cc Wizara ya Afya Tanzania