TANZANIA imetumia zaidi ya Bil.1.3 kutangaza vivutio vya utalii vya taifa nje ya nchi kupitia television ya CNN na ABC kwa kipindi cha miezi sita
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania[TTB] Peter Mwenguo alisema matangazo hayo yaliligharimu taifa Sh.875 milioni kwenye television ya CNN nda Sh.156.25 milioni kwenye television ya ABC.
Alisema gharama za matangazo zinatofautiana kutoka kwenye chombo kimoja hadi kingine lakini kwenye television ya CNN tunalipa dola za Marekani 700,000 na ABC dola 125,000 katika kipindi cha miezi sita.
Source: NIFAHAMISHE Tanzania news portal