Bilion 1.3 zatumika kuitangaza Tanzania nje

Mazee hiyo Kenyan.org ni site tu ya mtu binafsi(mkenya) ambaye ameamua ku-watermark video zake anazozi-upload pale Youtube kwa dhumuni la kutangaza tovuti yake, faida iliyokuwepo ni kutokana na hiyo site kutumia jina la nchi kwa hiyo kuweza kuitangaza Kenya na wakati huohuo kuitangaza tovuti yao.

Sijui kama hiyo ni kazi ya serikali ya Kenya, au ni kazi ya Mkenya binafsi, ila ninalosema ni kuwa kwa kufanya hivi ame-attaract attention ya mtu yeyote atakayependa wimbo huu kuiweka Kenya akilini mwake. Tunahitaji hizi njia unconventional kuitangza nchi yetu.
 
Plat,
Mkuu nadhani huelewi tunachozungumza hapa...
Matangazo ni muhimu isipokuwa unatangaza kitu ambacho wewe mwenyewe unakifanyia marekebisho kwenda na wakati..

Na gharama ya kutangaza inaendana na kipato kinachotokana na biashara hiyo.. nikiwa na maana huwezi chukua Billioni 1.3 kutangaza Utalii toka mfuko wa Ikulu wakati wizara ya Utalii ina bajeti na mahesabu yake hilo kwanza...
Na unapozungumzia NIKE hata siku moja sijaona NIKE wakijitangaza CNN ama taarifa za habari isipokuwa mara nyingi kama sio zote wame target michezo mikubwa ktk vipindi vya michezo..Thinking of sports = Think Nike ndio kamchezo kenyewe.. sio kuonyesha vifo vya Iraq na Ubabe wa Mugabe mara tangazo la Tanzania na simba wake linaingia.

Na hao nike kila siku wanakuja na KIPYA sio The big five sijui Simba, Nyati na Tembo na kadhalika toka Uhuru hadithi ndio ile ile...Tunazidiwa hata na mzungu ambaye kavumbua kuwakatisha viuno wanyama hawa ktk circus - Nafikri it's more interesting kumwona Simba akiyarudi Bongo Flava kuliko kumtazama akifukuza swala..
Now, Ukirudi kwa Jamaica utakuta hawa jamaa wanaspend kweli lakini kutoka mfuko wa Utalii na Taasisi zinazihusiana na Utalii na wanaingiza kishenzi.. Biashara ni biashara mkuu wangu huwezi kumuuza Bi Kidude ktk sector ya Warembo isipokuwa
Sidhani kama wanafika millioni 2 lakini kwa mwaka wanapokea karibu hesabu sawa ya Watalii..pato la per capita tu wanatuacha nje kichizi!
Hata Bi. Kidude siku hizi amebadilisha mapigo ya sanaa zake anakwenda na vijana wa Hiphop na ni ujinga na Ulimbukeni kujaribu kumuuza Bi. Kidude kati ya wanawake Warembo...
Get the Point!
 
Back
Top Bottom