Big Brother Africa III

...why worrying about 'uasilia' wake sababu tu anaishi Mombasa?

past contestants, Mwisho Mwampamba ana uasili ya ugiriki, kama Richrad alivyo na uasilia wa uholanzi, na aliishi Uganda.

...Bongo ni multi cultural na interracial society. Au mpaka ashinde ndio anakuwa mtanzania mwenzetu?
 
Hivi Richard aliwahi kuishi Kenya?
Nilimfananisha sana na watu wa Kenya kwa namna anavyoongea.




.

Babake Richard (Mzee Vicent ni Mganda, walihamia Tanzania wakati wa vita ya kwanza ya Iddi Amini (1972). Huyu mzee ni fundi mzuri sana wa fridge.
 
latoya BBAIII

GENDER: Female AGE: 21
LOCATION: ,Tanzania
HOMETOWN: Mombasa
OCCUPATION:
DESCRIPTION: The bubbly 21- year- old secretary loves to dance. A lover of fun, her fondest memory is the time she spent with her first love.

Ni Mombasa Ukonga hivi wewe hujui kuna kitongoji kinaitwa Mombasa pale Ukonga?
 
Mimi naomba wenzangu mnitumie mtandao ninaoweza kuona picha za ngono za wabongo.nazipenda sana.zikikosa basi hata waafrika wa Kenya,uganda na nigeria

Mmmmhhh kweli JF tumevamiwa...kaaaazi kwelikweli
 
Yeye huyu anachokumbuka sana maishani ni "First Love". Jana nasikia 'nyonyo' zake zilikuwa exposed. Ngoja tuone baada ya majuma matatu atakuwa katika hali gani maana uchangamfu wake umezidi kuwa mkubwa tu!

..she's a free spirit, it seems.
 
...why worrying about 'uasilia' wake sababu tu anaishi Mombasa?

past contestants, Mwisho Mwampamba ana uasili ya ugiriki, kama Richard alivyo na uasilia wa uholanzi, na aliishi Uganda.

...Bongo ni multi cultural na interracial society. Au mpaka ashinde ndio anakuwa mtanzania mwenzetu?

..babake richie alizaliwa na mama mtutsi,baba msauzi. check jina utapata clue!

..mamake richie ni mzaramo [mkwere?], so it goes!
 
DSTV wameshambuliwa na virus flani hivi... Decorder zinazorota! Anyone to inform them? Ukibonyeza OK, kisha ukabonyeza HouseMates katika Channel 198 basi kimbembe kinafuatia... Remote inasinzia kabisaa hadi u-reboot

..inaonekana software wanayotumia/inayotumika kwenye decoder zao ni wasiwasi.

..itakuwa ya bei rahisi.
 
Kwa jinsi nilivyomuangalia huyo Latoya, kuna kazi. Inaelekea anajua kuwa waafrika wanapenda mambo ya ngono hivyo ameamua 'kujiuza' kama silaha ya kuhakikisha anaendelea kubaki.
Mambo anayoyafanya yanamfanya aaonekane 'too easy'
 
nilisema mie...haya sasa kazi kwetu kumpigia kura mwakilishi wetu atuwakilishe vyema wa tz ili akishinda aje hapa tumpokee kwa maandamano na raisi nadhani ikiwezekana siku hiyo atampokea na ataenda ikulu "kupongezwa" kwa kazi nzuuuuuri aliyoifanya humo ndani
 
Kwa jinsi nilivyomuangalia huyo Latoya, kuna kazi. Inaelekea anajua kuwa waafrika wanapenda mambo ya ngono hivyo ameamua 'kujiuza' kama silaha ya kuhakikisha anaendelea kubaki.
Mambo anayoyafanya yanamfanya aaonekane 'too easy'
Huyu atamegwa ile mbaya nakuambieni na hafiki mbali....na akitoka kwenye jumna lile atakutana na akina Liumba watammega weee na kumuacha.....ndio celebrity wa Bongo walivyo......
 
inabidi latoya apunguze mapepe kidogo

naona muda wake mwingi anautumia kuwinda!!!

otherwise tuko pamoja naye kama mtanzania mwenzetu
 
Huyu mdada ameambiwa siri ya ushindi ni kujishaua na kujilengeshalengesha kwa wanaume mana mh!anatisha aangalia asije akafanya yote hayo na asipate ushindi akawa kaishia kuchezewa tu

hivi wakiingia humo jumbani wanakua wamepimwa afya??
 
At least Taifa litapata cha kujivunia. Sisi ni watu wa kumegwa. Kwa ajili hii nimeukana uraia wangu.
 
Mkuu Kilamia,

acha hizo zako bwana yaani utaukana uraia wako kwa sababu ya umapepe wa Latoya? Si ndiyo akirudi bongo ataonekana Hero na huku wengine twamwona Zero
 
Back
Top Bottom