Big Brother Africa III

Twende mbele turudi nyuma.... Big brother si maadili yetu na niliyoyaona juzi saa nne na nusu usiku nilichoka. wanaume wanaoga na wanawake humohumo -i felt embarassed before my kids

..don't watch it with your kids,especially during those hours!
 
Strategies siyo lazima ziwe za kujidhalilisha tu. Ingeweza ikavutia pia kwa watazamaji kuona mtu anayeweza kucheza karata clean na kuibuka kidedea kama Cherise aliyeshinda BBA, Waafrika siyo lazima tuendelee kuwapa faida na kuprove the hypothesis za hao Eurocentrics kuwa Africans only know sex and partying!!!

Cherish dakika za mwisho alimpenda Mwisho lakini bahati mbaya aliwahiwa na Tapuwa wa Zimbabwe, kama unakumbuka siku ya Mwisho alimpa mwisho KISS ya nguvu, na hata alipoulizwa na BB alikiri kuwa ana feeling juu ya Mwisho, lakini bahati mbaya amewahiwa.

Alafu jambo lingine lazima tukubaliane kuwa SEX is a natural act, huwezi kushindana na hormones, zilitengenezwa ili zifanye kazi hiyo. Kwa hiyo so long you leave, and you are a heathy person, at one point or another you will experience this feeling, especially when there are stimulants (oposite sex) around. Haijalishi upo Big Brother, watu wanakuona au umejificha, feeling kichwani zipo kama kawaida. Kumbuka kwa nini Daladala Dar ziliamua watu wanaosimama wapeane migongo, kwa sababu at any time you can triger down the hormones.
 
...Daaah kuna KAUKWELI hapa bwana....lakini mbona huyu LATOYA wetu KIU yake imekuwa kali sana,mwanangu huu USONGO ndani ya wiki moja tu????,,,mi nafikiria ana andaa COUNTER ATTACK huyu,na kwa GAME hili wacha afanye.
 
Huyu Latoya wenu atatolewa mapema sana, naona kaenda kutafuta mabwana mle.

Weak strategy.......
 
Kwa mfano watu wote tumeumbwa na Hormone ya kuogopa, lakini umeshaona kuna watu wanogopa sana na wengine kidogo. Kwa mafano mkiwa watu watatu au wanne mkapita sehemu yenye mbwa mkali, alafu akajitokeza ghafla anabweka kuja kwenu, kuna watakao toka mita na wapo watakaosimama. Wote wana Hormone ya uwoga lakini tunareact tofauti.

Nilikuwa na ndugu yangu akiona kiboko tu hata kama ni shule anaachia mkojo, Tukawa tunashangaa. Hata Hormones za ngono zipo hivyo hivyo wengine wanareact fast na wengine slowly.

Mimi nadhani waTz tukubli kuwa mtoto anaishi jinsi alivyo na kwa hiyo tutume meseji za kumsapoti, siku akimegwa hapo ndio pa kutuma kwa wingi, kwani atakuwa ameonyesh ubinadamu wa kweli hasa ukizingatia umri wake.
 
nop siungi mkono wasemao kuwa hiyo ni natural thing sijui hormones n stuffs...huyo toka mwanzo kaingia in de building kashow she is there with the tactic ya kutumia ngono n mapenzi kuwin watazamaji...so it has nothin to do with kusema eti imetokana na hormones!!atleast ingetokea after sometime ingeeleweka lakini ndani ya siku chache tu???hata kuku na mbwa wenyewe hawako hivyooo tusidanganyane
 
hata kuku na mbwa wenyewe hawako hivyooo tusidanganyane

Lakini kumbuka kuwa Mbwa na kuku wameumbwa tofauti, wao wanawakati wa kuwa heat, wakati huo ukifika mathalan Mbwa hutoa aina fulani ya Harufu ambayo inaweza ikawa detected 50 Km kutoka alipo, na Mbwa madume huja kumfuata, and the she dog has no option ila kugawa.

Wataalam wanaasema kuwa hamu ya kufanya ngono ni sawa tu na hamu ya kula, na kiu ya maji. Utofauti wake hayo mengine mawili usipoyatimizia mahitaji utakufa lakini ukikosa ngono HUFI. Lakini nguvu ya demand ipo sawa. Kwa hiyo tusimuonee mtoto wa watu! Hata operation ya Makamba baadaye Kondoro Inafeli kwa sababu kumekuwa na demand kubwa, na watu wanasikia kuna kukamatwa lakini bado wanaenda sokoni kununua, hapo Vipi? panaeleweka kweli. That is why some states legalized prosititution.
 
Huyu atamegwa ile mbaya nakuambieni na hafiki mbali....na akitoka kwenye jumna lile atakutana na akina Liumba watammega weee na kumuacha.....ndio celebrity wa Bongo walivyo......

Bora asifike mbali ili atupunguzie kutudhalilisha Watanzania.
 
Huyu Latoya wenu atatolewa mapema sana, naona kaenda kutafuta mabwana mle.

Weak strategy.......

Latoya wenu wangapi?

TODAY'S TANZANIAN TABLOID FRONT PAGE HEADLINE "MWAKILISHI WA TANZANIA BBA3 NI MAHARAGE YA MBEYA". What dat means b dat she is so 2 speak a loose canon.The headline equates her to beans from Mbeya which are the easiest beans to prepare. Most other beans take alot of energy and time to get cooked.I hope y'all get it.Needless to say she is not making TZ too proud at d mo.COME ON GAL.I GOT FAITH IN U!I BELIEVE YOU WILL COME AROUND.someone confirm she had her nipples sucked or something during truth or dare.....WWWWWHY?KWANINI?

Got this somewhere ikanifurahisha sana!
 
Nasikitika sana kwa sababu inaonekana watakao mtoa Latoya ni waTanzania, Jamani huu ni mchezo tu, tum-support huyu mtoto, BBA I (Mwsho) alishika nafasi ya 2, BBA II (Richard) alishika nafasi 1 na BBA III (Latoya) akishinda tutakuwa tumejenga jina sana katika Ukanda wa Sub Saharan Countires.
 
na akitoka na mimba je?
 
huyo msichana ana hulka ya umalaya tu.
hapo tu anajua kuwa ulimwengu mzima unamuona na anafanya uharo huo, je akiwa chaka hakuna anayemfuatilia anakuwaje?
 
huyo msichana ana hulka ya umalaya tu.
hapo tu anajua kuwa ulimwengu mzima unamuona na anafanya uharo huo, je akiwa chaka hakuna anayemfuatilia anakuwaje?

Kuna dadake anafanya kazi Vodacom analia tuu and cursing.Anajuta even why she had such a gal for a sis ila nadhani ni mnafiki tuu mana kinamuuma hapo hapo anaomba watu tumpigie kura Mdogo wake!
 
Kuna dadake anafanya kazi Vodacom analia tuu and cursing.Anajuta even why she had such a gal for a sis ila nadhani ni mnafiki tuu mana kinamuuma hapo hapo anaomba watu tumpigie kura Mdogo wake!

kevo huyo dada hana tofauti na marasta wa bongo ambao nyama hawali ila mchuzi wake wanakunywa.
hana lolote asubiri mimba ya nje ya ndoa.
 
Kuna dadake anafanya kazi Vodacom analia tuu and cursing.Anajuta even why she had such a gal for a sis ila nadhani ni mnafiki tuu mana kinamuuma hapo hapo anaomba watu tumpigie kura Mdogo wake!

ila akirudi na mamilioni ya bba ndo atakua mstari wa mbele oohh m proud of my lovely adorable sister n ol other kind of blah blah za kujipendekeza!
 
Nasikitika sana kwa sababu inaonekana watakao mtoa Latoya ni waTanzania, Jamani huu ni mchezo tu, tum-support huyu mtoto, BBA I (Mwsho) alishika nafasi ya 2, BBA II (Richard) alishika nafasi 1 na BBA III (Latoya) akishinda tutakuwa tumejenga jina sana katika Ukanda wa Sub Saharan Countires.

Hata kama hajiheshimu na kufanya umalaya uliokithiri tumsupport tu! Ni kweli huu ni mchezo tu, lakini umalaya atakaofanya huko BBA 3 si mchezo bali ni reality.
 
Strategies siyo lazima ziwe za kujidhalilisha tu. Ingeweza ikavutia pia kwa watazamaji kuona mtu anayeweza kucheza karata clean na kuibuka kidedea kama Cherise aliyeshinda BBA1. Vilevile kuna Ofuneka wa BBA2 aliyeweza kwa kiasi kikubwa kutoka na strategy ya service provision to others in the house badala ya kuwa jamvi la wageni kama wengine.It is not necessarily true kuwa utakavyojifanya hamnazo ndiyo utashinda.Tukumbuke hili shindano lina mambo mengi ndani yake zaidi ya burudani na ku portray mahusiano ya kingono!! Kuna watu wanakusanya data zao hapo na research on different aspects on human psychology. Waafrika siyo lazima tuendelee kuwapa faida na kuprove the hypothesis za hao Eurocentrics kuwa Africans only know sex and partying!!!

Nadhani ingekuwa jambo jema endapo kama jamii ingeweza kuwasaidia candidates for BBA kwa kuwapa mawaidha na mikakati ya ku survive in the BBA House - na hasa wazazi/walezi wangeweza kusaidia vijana hawa kwa kuwapa wosia kama inavyofanyika kwa mtu anayeenda kuishi maisha mapya - ya aina yeyote ile.Hii ingepunguza aibu.Mwaka huu kwa mfano, most of the BBA participants wako in their 20s - japo ni watu wazima bado wana utoto mwingi sana... wanahitaji kuongozwa.
Kwa kiasi kikubwa the way these people are behaving is a reflection of total failure on parents and jamii katika ku parent!
Kazi tunayo!

Ofuneka labda mwanzoni baadae alikua anamtaka sana richard lakini tayanna akawa hampi nafasi,angalia youtube[richard fingers ofuneka] tayanna ikiwa amelala pembeni.Nasema tena ni zamu yetu tuwe wavumilivu safari hii tumeshika makali wengine wameshikilia mpini.
 
That's bull shit by considering the fact that she is representing Tanzanians on one side whilst representing herself on the other side there are other BBA III contenstant who fakes in order to impress big brother while other its just her natural behaviour. May be that Latoya is thinking of being famous like previous BBA contestant like Abby? May be! I don't know but Latoya is like any other women. You know she might have a boyfriend in TZ but when evicted from the house she come back again to revive her love and do you know what she will tell her boy friend? All lie stories like that was just a play not real.... Oooh please forgive me with the M NET representative on her side its real shit man. Let the Uganda guy cast his dick into her pussy she needs that at moment.( Sorry mods but that is the truth and we are watching it.)
 
Back
Top Bottom