Mbogela Mi ningefurahi mwakani wewe ungeomba Nafasi DStv ukatuwakilishe ktk BBA maana leo nimetizama kidogo tu Nimehisi kuchafukwa na roho.
Yule anajiita Kanumba the great kwahiyo anampa shirt lake(aliolivaa jana Makombo)mwakilishi wa Nigeia Kelvin eti kwa sababu anaamini Kelvin atakuwa Kelvin the Great shart lenyewe kriplin eti ndio Celebrity wa Bongo hata kuvaa hajui!
Aibu kweli sijui kama Tanzania kama kuna Celebrity labda Star (nyota wa maigizo) maana movie hatuzalishi kwa sababu kwanza hatuna Movie industry leo unajikwaza eti the Great Hata kenya hawakujui Celebrity ni Kama kina Jamie Fox, ice cube,Denzel washington au Will smith Hapo sijamtaja Wesley snipes na Eddie murphy Blair underwood ambao popote Duniani ktk sayari yetu hawahitaji kujitambulisha anajulikana kama ni Movies Star komeni kutuchafulia Jina la nchi yetu hatuna celebrity sie labda Hasheem kwa Baadae.
Kwani what's the meaning of big brother Africa? wasichana wanaingia vipi hapo? Badirisha jina iitwe big brother and sister africa.
Mkuu Big Brother Mwaka huu ni m-dada, na wao wanamuita Big Brother alafu wanaweka Pronoun She, nimeshindwa kuelewa elewa kama kwenye hii sentensi.Eti sauti ya BigBrother ni ya kike?
.....Source: http://www.kanumba.com/Biography.html
MY TAKE: Hii page imeandikwa na yeye mwenyewe? Nadhani Kanumba ashauriwe sasa kuwa tunapopanda ngazi ya mafanikio huwa tunagawana kile tunachochuma na wengine. Sasa hivi kama anataka kuwa star kwenye anga ya movie ni lazima awe makini. Maana yake maandishi, maneno, mavazi, ulaji, starehe zake zina impact kubwa kwenye mafanikio na career yake. Kwa hiyo ni lazima atafute wasaidizi au awe anatumia consultants kumshauri. Hii Page inahitaji editing kubwa sio kidogo, Anahitaji watu wakumshauri, Kanumba toa kazi wapo watu watakufanyia hivi vitu hata bila pesa ili mradi kukusaidia kama mzalendo.
Kwani what's the meaning of big brother Africa? wasichana wanaingia vipi hapo? Badirisha jina iitwe big brother and sister africa.