Big Brother Africa 2009: The Revolution

This is Kanumba introduces himself to one of the new housemates..." My name is Stephen Kanumba I am from Tanzania, I am actor, I am here for you teeh teeh kaaaazi kweli kweli mastaa wa Bongo bwana
 
No ladies or what only guys? Let's wait and see may be our rep. will be a lady who knows?

There are two housemates from Kenya
 
lugha baba lugha kule inaongelewa lugha lol.

Kama vile ulijua mwana ..... Kanumba ufunguzi tu leo kashachemka kinoma .....pardon za kufa mtu .....mpaka ikabidi apige ok ok ....yaani chaka bovo ... Kuna jamaa mmoja alimwambia .... so you are a man of your words ......? pardon za kufa mtu halafu sasa brother ni HB wa kufa mtu kwahiyo kila Camera zionyesha yeye ni wa kwanza kuonekana ..... lakini sasa ..... ngeli muda wangu .....bongo kiswahili kinatulemaza
 
mwacheni nae auze sura jamani ndio masoko yenyewe hayo

Mi na-doubt kama haya ni masoko kwake au ni kuua jina as kashindwa ku-communicate, kitu ambacho ni weakness kubwa sana hasa kwa mtu anayetaka kupenetrate kwenye soko la kimataifa. Wewe ngeli inampa shida then unategemea nini..?? Mtu neno "strategy" my God..!! anashindwa kujua maana yake anaishia kuongea kwenye Diary Room kuwa ni "complex word" - what a shame...!!!

"Pardon", "please repeat your question", "you mean........". "so, you are asking........", "n.k". za kumwaga....!!!

Kwa kweli mimi namshauri ndugu yangu Kanumba, akirudi aende English course, if he really means kuzama kwenye soko la kimataifa la filamu..!! Otherwise, interview zitamtoa jasho, atashindwa kujiuza. Pia asome sana magazeti ya nje plus kupenda kusearch ma-data ya mastar wa nje ili ajue how to live kama celebrity. Wewe kaulizwa common question kwa celebrities kuwa, ni Actor/Actress gani wa kimataifa unayemzimia; jamaa kajing'ata ulimi mpaka nimemuonea huruma. Natamani kesho ifike mapema ili atoke before aibu haijaongezeka...!!! Na huyo jamaa atakayeiwakilisha Tz kwa kweli inabidi awe mtu mwenye exposure ya adabu, la sivyo tuna-add more shame kwa nchi..!!!

Duuuuhhhh, Kanuuuuumbaaaa, the Great, leo umenichosha kabisa....!!!
 
Duuuuhhhh, Kanuuuuumbaaaa, the Great, leo umenichosha kabisa....!!!

Mkuu Kishazi, kukusoma tu na mimi hoi
Hawa ndio wale wanafunzi wangu waliokimbia umande, sasa tabu kweli kweli. Bora hata Multi Choice wangempeleka na mkalimani, ili apige kimatumbi kwa kwenda mbele. Tatizo hata kimatumbi wakati mwingine ni vigumu kwa vijana hawa kujieleza, yaani kumwaga mipointi kwa kimatumbi bado wanafunzi wangu wanachemka
 
Lakini unajua mwaka jana nilishangaa sana yule mtoto Latoya maana alikuwa anaflow vizuri sana, na nilishangaa kuambiwa ni Form IV na kazi yake ni secretary tu. I think yule mtoto anaweza kufanya vizuri kwenye Movie industry sijui kwanini akina Kanumba hawakumpa Contract. Kwanza ukiona alivyocheza na wale wanaume akina Ricco bahati mbaya tu tulimwona ni maharage ye Mbeya ukweli ni kuwa ile strategy akiileta kwenye sanaa ya movie ataweza kuuza. Nadhani ile kutolewa mapema watu waliona hana jina na hana lolote, lakini kwnadhani kuugiza na kuzungumza (hasa kwa kiingereza) anamzidi Mwisho Mwampamba mshindi namba 2 BBA I.
 
Lakini unajua mwaka jana nilishangaa sana yule mtoto Latoya maana alikuwa anaflow vizuri sana, na nilishangaa kuambiwa ni Form IV na kazi yake ni secretary tu. I think yule mtoto anaweza kufanya vizuri kwenye Movie industry sijui kwanini akina Kanumba hawakumpa Contract. Kwanza ukiona alivyocheza na wale wanaume akina Ricco bahati mbaya tu tulimwona ni maharage ye Mbeya ukweli ni kuwa ile strategy akiileta kwenye sanaa ya movie ataweza kuuza. Nadhani ile kutolewa mapema watu waliona hana jina na hana lolote, lakini kwnadhani kuugiza na kuzungumza (hasa kwa kiingereza) anamzidi Mwisho Mwampamba mshindi namba 2 BBA I.

Mkuu Mbogela
Nimekupata. Ukweli ni kuwa ukiwa hujawa sulebitee, akili inachemka haraka kujifunza na kujitahidi. Lakini usulebretee unanuksi nadhani, mtu anajisahau ghafla, hataki kujiendeleza na unaugua ugonjwa wa kudharau mambo makubwa kuyaona mambo ya waosha vinywa. Nadhani kuna haja ya kuwaandaa watoto wetu wa Kitanzania jinsi ya kuishi maisha ya kisulebretee hasa wakiupata kwenye umri mdogo, la sivyo mwisho ni mikasi, mitungi kila kitu.
We fikiria hiyo promo ya Kanumba BBA angepata mjanja mwingine habari ingekuwa tofauti kabisa kuanzia kesho
 
Naona BBA ya mwaka huu tofauti na BBA zilizopita imeongeza nchi washiriki, Ethiopia na Msumbiji (Wanaume) na mpaka sasa mates waliokwishwa tajwa ni wanaume tu kwa hiyo inamaanisha kwa mara nyingine tene Tanzania itawakilishwa na Mwanamama. Inawezekana kuna nchi zaidi kama zitaongezeka watakapo ingiza House mates wasichana. Mwaka huu patakuwa hapatoshi
 
Mkuu Mbogela
Ukweli ni kuwa ukiwa hujawa sulebitee, akili inachemka haraka kujifunza na kujitahidi.
We fikiria hiyo promo ya Kanumba BBA angepata mjanja mwingine habari ingekuwa tofauti kabisa kuanzia kesho

Lakini Multi Choice Tanzania walitumia kigezo gani kumchagua Kanumba kuwa awe mwakilishi wetu bondeni? hakukuwa na interview fulani hivi? inamaana waliangalia tu anafanyaje kwenye soko la ndani bila kuangalia kama atafanya vizuri nje? Kama hawakupima uwezo wake wa kucommunicate basi kuna tatizo pia Multichoice.
 
Lakini Multi Choice Tanzania walitumia kigezo gani kumchagua Kanumba kuwa awe mwakilishi wetu bondeni? hakukuwa na interview fulani hivi? inamaana waliangalia tu anafanyaje kwenye soko la ndani bila kuangalia kama atafanya vizuri nje? Kama hawakupima uwezo wake wa kucommunicate basi kuna tatizo pia Multichoice.

Jibu rahisi, sura na usulebretee
 
Nimesoma wasifu wa jamaa kutoka nchi zilizopeleka tayari watu wao ndani hawajafanya kosa kwenye suala la shule. Lakini mimi naona wanapochukua watu waliokula aua wanakula shule za juu wanapunguza entertainment, maana wanakuwa wanareason sana na wanapanga mikakati mingi, nadhani watu wenye uwezo wa kucommunicate na kushi na jamii wanatosha kuingia BBA na sio shule. Sijui wa kwetu atakuwa na shule kiasi gani, Ngoja tusubiri kesho.

Edward
Age
33
Country
Namibia
Hometown
Windhoek
Occupation
Public Relations Officer


Hannington
Age
23
Country
Uganda
Hometown
Kampala
Occupation
Student
He has a Bachelor's Degree in Information Technology


Itai
Age
31
Country
Zimbabwe
Hometown
Mutari
Occupation
Student

Student Itai is currently studying towards his Master's Degree in Peace and Governance.
 
Jeremy
Age 22
Country Kenya
Hometown Nairobi
Occupation Developer
He's currently studying towards a BSc Degree in Telecommunication and Information Technology plus accounts

Kaone
Age 26
Country Botswana
Hometown Kanye
Occupation Principal Youth Officer
He studied Communication and International Relations, and he's currently an intern principal Youth Officer.

Kevin
Age 27
Country Nigeria
Hometown Jos
Occupation Entertainer
Entertainer Kevin has a BA in English Language

Leonel
Age 23
Country Mozambique
Hometown Maputo
Single IT administrator , Leonel is proud to be the first Mozambican in Big Brother Africa.

Phil
Age 25
Country Uganda
Hometown Kampala
Occupation Marketing Consultan
Phil has a BSc in Industrial Chemistry and is single.
 
?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????

Mwandishi: haki Tarehe: Sunday, September 06, 2009 | kiungo mahususi



Steven Charles Kanumba

Mwakilishi Wetu Kwenye Shindano la

Big Brother Africa 4

2009...

Mmoja kati ya waigizaji wengi wa filamu nchini Tanzania ambao wanasaidia kuzirudisha enzi hizo ni kijana Steven Charles Kanumba(pichani)amechaguliwa na kufanikiwa kutuwakilisha rasmi kwenye shindano la big brother afrika 2009 nchini afrika ya kusini ambalo limeanza rasmi takribani dakika ishirini na tano zilizopita hivi sasa wadau mbalimbali wamejikusanya Paradise City Hotel - Savanna Lounge jijini Dar es Salaam kushuhudia uzinduzi huo rasmi uliaoandaliwa na MultiChoice Tanzania.Tanzania imeshafanikiwa kuwakilishwa na Mwisho, Richard ambaye alikuwa mshindi na Latoya.​








Steven Kanumba alizaliwa mkoani Shinyanga tarehe 8 January mwaka 1984.Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Msingi Bugoyi huko huko Shinyanga.Baadaye alijiunga na shule ya sekondari Mwadui ambapo alisoma kwa miaka miwili tu kabla ya kuhamia katika shule ya Dar-es-salaam Christian Seminary alipomaliza elimu yake ya awali ya sekondari.Baada ya hapo alijiunga na shule ya sekondari Jitegemee kwa masomo ya kidato cha tano na sita.Endelea kuperuzi Ukurasa huu kwa picha na habari zaidi​

Starmate Profile: Steve

quote_l.gif
I'm really excited to be involved- being in the Big Brother House is a career highlight for me and I will cherish the experience for the rest of my life.
quote_r.gif
25 year old Steven Charles Kanumba is one of the most established young actors out of Tanzania. Growing up in Shinyanga, Tanzania, he always wanted to act. Singing is another passion which Steve has pursued since teenage-hood when he was in the church choir. Through singing and acting, Steve has become one of the most recognisable faces on Tanzanian entertainment scene- having acted in more than 5 Nollywood films as well as some Tanzanian soapies. Steve has won some impressive awards, including Best Actor from Baab Kubwa Magazine. This young artist sees himself as a simple guy that loves movies and relaxing, and he hopes to get married soon (sorry ladies).

Some of Steve's awards include:
Best Actor (2005) RISASI Awards
Best Actor (2007) Baab Kubwa Magazine
Honorary Award (200Vinera Film Awards

source:http://bigbrotherafrica.com/forum/Thread-Starmate-Profile-Steve
 
lugha baba lugha kule inaongelewa lugha lol.

ha ha aaaah .... naskia yupo kwa siku moja tu ila mambo aliyoyafanya kule ni kama amekaa 90days. Uharibifu mtupu
Na kule sio lugha peke yake bali pia uelewa wa mambo wa jinsi dunia ilipo na inapoenda.Sidhani kama Kanumba ana uelewa huo ... sidhani,nina mashaka kwa aliyoyafanya!!
 
Wacheni kupondea nchi yenu enyi wabongo!

Mnasahau kuwa BB ni kuhave fun na kuonesha your true colors you. Hakuna kuwakilisha nchi kwa kukomaa hedi ni entertainment..so u guyz needs to RELAAAAX..ok?

Kuna siku nilikuwa naangalia BB UK kuna contestant mmoja aliulizwa a-locate nchi 7 kwenye ramani ya dunia, aliweza ku-locate nchi 2 tu and still it was all F.U.N, hivyo msilete mambo yenu ya u-desktop researcher kwenye ishu social when people need to ENJOY and RELAX.OK?
 
Kanumba anatia aibu kaulizwa ni msanii gani wa kimataifa ungependa kufanya nae movie, eti anajibu I I I love ehh eeh Angelina Jolie halafu anashindwa kuelewa international star ni any star who is not a Tanzania kazi kweli kweli?

Ni aibu! Hata maswali aliyokuwa anaulizwa alikuwa hayaelewi. Kimombo kinamgonga vibaya sana! Hata mle ndani ya Jumba alikuwa anacheka cheka tu.
 
Back
Top Bottom