Big Brother Africa 2009: The Revolution

aliishia kuosha vyombo wakati masela wakijibwaga na bia na mafegi,well anakaa 24hrs atatoka tuone nicelebrity wa kwetu,ingekuwa kiswahili pale looh mambo yangekuwa mswano wengine wasingekunywa maji vile angeflow! well WEMA SEPETU ndo aningia kama mwakilishi wa tz tusubiri jamani!!
 
Nilipenda viatu na shati la kanumba bila kusahau vesti nyeupeee iliokuwa inashine mh! Kweli mastar wetu kuvaa mnajua. Nani mbunifu wenu na mimi nng'ae na ngu za zambarau na mokasi kali kali!
 
Jamanie..., hivi zile Champagne zilikuwa ni non-alcoholic? Maana jamaa baada ya kuona amechemsha kwenye intro alikuwa anazifakamia kinoma, niliambiwa kuwa walevi wanashuka sana ung'eng'e, labda alikuwa anatafuta stimu, halafu aanze ku-slide
 
Waheshimiwa vipi tunaweza kupata website yoyote ambayo tunaweza kuangalia live hii big brother Africa? Najaribu kuserach sipati kitu mimi sina dish la dstv. Help please.
 
Kwakweli nasikitika ndugu zangu inaonekana asilimia kubwa ya wabongo huwa wanaangalia matukio bila kusikiliza kinachoongelewa ama hawaelewi kiingereza and yet wanamsema kanumba. Mtu anasema ameangalia bba mwanzo mwisho na bado anauliza maswali mbona wanaume watupu, ati mwakilishi wetu kanumba, wakati kila kitu kilielezwa pale. Kanumba alienda kupokea housemate pamoja na wale wageni wengine 3, pili yule host ik ametangaza kabisa wanawake wanaingia next week. Jameniiiiiiiiiiiiii inahuzunisha maswali yanayoulizwa hapo na huyo aliyetuma taarifa naye amekurupuka tuu.
 
Waheshimiwa vipi tunaweza kupata website yoyote ambayo tunaweza kuangalia live hii big brother Africa? Najaribu kuserach sipati kitu mimi sina dish la dstv. Help please.

acha kupenda slope kaka,dstv bei chee funga kula bia mwezi huu unapata dishi lako swaafi,tena inapatikana hadi compact si lazima premium,kuna web maalum ya Big Brother saa 24,unawawatch tuu,ila ucontrol watoto basi!!(multichoice u must pay me for 'am marketing ur products)
 
Mwakilishi wetu : Ni Wema Sepetu

Umeitoa wapi hii mheshimiwa?

Tanzania nadhani haina muwakilishi mwaka huu baada ya Latoya kuharibu, check link

http://www.mnetafrica.com/bigbrother/Housemates/

  1. Zimbabwe: Itai Makumbe – looks like he'd be evicted first
  2. Uganda: Hannington Kuteesa – he's got attitude and seems so full of himself
    icon_wink.gif
  3. Kenya: Edward Muthusi aka Teddy – he thinks he's a nice guy. We'd see.
  4. Nigeria: Kevin Chuwang – he sounds confident.
  5. Botswana: Kaone Ramontshonyana – from the ghetto?
  6. Ethiopia: Yacob Yehdego – wants to be himself. We'd see.
  7. South Africa: Quinn Sieber – charming white guy – there's trouble
    icon_biggrin.gif
  8. Mozambique: Leonel Estevoa – promising fun.
  9. Ghana: George Wayoe – he's got the spirit for the game – or so it seems. Time will tell.
  10. Uganda: Phil- he does not know wat is doing!
  11. Kenya: Jeremy Ndirangu – he's got the spirit
  12. Namibia: Edward & Erastus Moongo – identical twins? There's trouble!
http://www.davidajao.com/blog/2009/09/05/big-brother-africa-4-2009-the-revolution/
 
Tanzania- Asha Ngedere & Mwajuma Ndalandefu (Identical twins) patakuwa hapatoshi BBA mwaka huu jamani. lol
 
Waheshimiwa vipi tunaweza kupata website yoyote ambayo tunaweza kuangalia live hii big brother Africa? Najaribu kuserach sipati kitu mimi sina dish la dstv. Help please.

POLE Mkuu, sijajua bado kama kuna site wanaonyesha live, lakini nakupa site ya M-net/big Brother wanaweka clips muda mfupi baada ya matukio na wakati mwingine huwa kuna maeneo kama Garden yanakuwa live. Jaribu kufuatilia kwa muda kutoka hapa mpaka tutakapo pata fununu wapi unaweza kuona live online, Enjoy. http://www.mnetafrica.com/bigbrother/
 
Guyz,

Kuna ukweli mwingi tu ktk kauli za watu wengi re: S Kanumba - 1) kimombo chake poor, japokuwa nahisi hata kueleza fikra zake (na za watu wengine) kwa kiswahili yaweza kuwa shida kwake pia. 2) Mambo ya majuu pia yamempita pembeni, au anayasikia vijiweni ambako 95% huwa chumvi nyingi. 3) H,mates na celebrity guests wengi hapo ndani wanaongea kimombo cha kisasa sana, ambacho kaka yetu kinamwacha kwenye mataa. 4) Body language yake ya sasa inaonyesha amepata wake-up call ya nguvu; pengine anajutia kukubali mwaliko, kwani gap kati yake (ki-intellectual) na wenzakae ni kubwa kidogo; japokuwa labda kimapato anaweza kuwa-match. 5) Kwenda shule ya lugha yaweza kuwa wazo zuri kwake, na pia atumie dvd's za kujifunza. Aksanteni.
 
acha kupenda slope kaka,dstv bei chee funga kula bia mwezi huu unapata dishi lako swaafi,tena inapatikana hadi compact si lazima premium,kuna web maalum ya Big Brother saa 24,unawawatch tuu,ila ucontrol watoto basi!!(multichoice u must pay me for 'am marketing ur products)
Decoder ya DStv ni Tshs 79,000/= na ukilipia $25 kwa mwezi unaweza kuona BigBrother Africa (kwa wenye kupenda). Nadhani ni nafuu kuliko kutumia internet kuangalia 'Live' maana cost kwa mwezi inaweza kuwa kubwa zaidi ya hivyo
 
Kanumba and whoever sent him to the BBA house should be sued by the Tanzanian people for shaming this nation.

I am proud of Swahili, trust me but when you represent a country in an event that is supposed to be in English then one should be able to speak the language, no?!
 
Star mates are being asked questions by Big Brother on their views about housemates guess what Kanumba said "...I can beg you big brother broing two girls...the guy from Zimbabwe will win he is cool and natural no fake him and he potray real life as is..." Kazi ipo kwa kweli

Its time for star mates to leave the house and guess what I can't wait to see them gals...
 
Ha ha ha ha ha

Steve, however, thought there was more harmony than conflict in the house and that Housemates were behaving like a “family”. He had one request to Biggie though: “Please bring them girls. At least three”.

When asked which Housemate they think will win the ultimate prize?
Steven: “Itai from Zimbabwe because he’s very natural. Not fake”

source: http://www.mnetafrica.com/bigbrother/Article/?ID=42
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom