Mtumwa=mfanyakazi wa kuajiriwa
Ila treatment za hawa wafanyakazi zinabadilika kutokana na majira na kuelevuka kwa jamii. Hivyo huu sasa tulionao ni utumwa wa hiari, hapo kale ilikuwa utumwa wa mabavu. Utumwa tunao na tutaendelea kuwa nao tofauti ni treatment tu. Wengine ni lazima kuvaa nguo za kitenge siku fulani, wengine ni lazima kufunga tai, hii inategemea upo chini ya bwana gani tu.
Watumwa wa hiari hata kwenye biblia wamezungumziwa na wanatoa ushauri kabisa kwamba akifikisha miaka hamsini umwache huru aende zake, isipokuwa amekulazimisha kubaki. Serekalini ukifika 66 unaachwa uende ukawe huru. Hivyo kwa sasa duniani kundi kubwa ni la watumwa wa hiari.
Utumwa tutaendelea kuwa nao na ukifika miaka fulani utaachiwa ukawe huru.