huyu mungu hapa chini mbona mkatili kuliko sana!!!! waafrika mnasikitisha sanaIli kujifunza biblia vizuri inahitaji ufunuo kutoka kwa Mungu akufunulie.Ukisoma ufunuo 4:anazungumzia kanisa la Laodikia kanisa lililo vuguvugu.Mungu ameahidi kulitapika kwa sababu si moto wala so baridi.pia ameeleza kuwa nyakati za mwisho mafundisho ya uongo yatapata nafasi kubwa na roho ya udanganyifu itatawala.
Hivyo basi katika watu wa kipindi hiki mafundisho mengi ya uongo kwa kuwa watu wanatafsiri biblia kwa akili zao.
Kipindi cha utumwa kilikuwepo hata kabla ya kristo labda tu mfumo ndo ulikuwa tofauti.Lakin je,Yesu watumwa aliowazungumzia ndio hawa weusi sawa na Wamarekani wanavyoonesha?Jibu ni si kweli. Mfano kama umeajiriwa wewe ni mfano wa mtumwa.Timiza majukumubya boss(bwana)wako kwa ufasaha na utii.pia baadhi ya maeneo bibilia inasema waovu ni watumwa wa dhambi,watumwa wa shetani.Mungu atusaidie kutambua roho za uongo zinazojinasibu kumtukuza Mungu kumbe ni wapingakristo.Mungu atusaidie .Amen
Mungu huwa hana mchezo na watu wanaomkosea.anawaadhibu kisawasawa.Adhabu yao kubwa ilikuwa ni kuuawa.NDIO.unakufa ukimdhihaki ama kumkosea Mungu sharti ufe.Ila ukitii maagizo yake utasamehewa.Tii utaona Mungu akitenda makubwa juu yakohuyu mungu hapa chini mbona mkatili kuliko sana!!!! waafrika mnasikitisha sana
2 wafalme 2:23-25
3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.
1 samweli 15:3
3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’
mungu katili namna hii simtakiMungu huwa hana mchezo na watu wanaomkosea.anawaadhibu kisawasawa.Adhabu yao kubwa ilikuwa ni kuuawa.NDIO.unakufa ukimdhihaki ama kumkosea Mungu sharti ufe.Ila ukitii maagizo yake utasamehewa.Tii utaona Mungu akitenda makubwa juu yako
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.
View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.
Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2
9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.
EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;
Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake
SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9
"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."
View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.
HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?
2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?
3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??
View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??
Naomba kuwasilisha
Utumwa ulikuwepo kabla ya kuja Yesu na Biblia yake hapo ndio utaona ya kwamba Biblia ilitungwa kuwapumbaza watu na kuhalalisha Utumwa kwani waliona njia sahihi ya kumteka binaadam kiakili ni Iman
mungu katili namna hii simtaki
bibli ni kitabu cha ovyo kuwahi kuandikwa
1.Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba Kanisa katoliki,wasabato na waprotestant walipotosha maandiko ya Mungu kuhusu utumwa ???Ili kujifunza biblia vizuri inahitaji ufunuo kutoka kwa Mungu akufunulie.Ukisoma ufunuo 4:anazungumzia kanisa la Laodikia kanisa lililo vuguvugu.Mungu ameahidi kulitapika kwa sababu si moto wala so baridi.pia ameeleza kuwa nyakati za mwisho mafundisho ya uongo yatapata nafasi kubwa na roho ya udanganyifu itatawala.
Hivyo basi katika watu wa kipindi hiki mafundisho mengi ya uongo kwa kuwa watu wanatafsiri biblia kwa akili zao.
Kipindi cha utumwa kilikuwepo hata kabla ya kristo labda tu mfumo ndo ulikuwa tofauti.Lakin je,Yesu watumwa aliowazungumzia ndio hawa weusi sawa na Wamarekani wanavyoonesha?Jibu ni si kweli. Mfano kama umeajiriwa wewe ni mfano wa mtumwa.Timiza majukumubya boss(bwana)wako kwa ufasaha na utii.pia baadhi ya maeneo bibilia inasema waovu ni watumwa wa dhambi,watumwa wa shetani.Mungu atusaidie kutambua roho za uongo zinazojinasibu kumtukuza Mungu kumbe ni wapingakristo.Mungu atusaidie .Amen
..ahahahaaaathe worst book ever written,the bible
Mkuu nimeelewa hoja yako lakini Tunaona wazi kabisa MUNGU mwenyewe akitoa maagizo kwenye kitabu cha walawi kwamba WANUNUE WATUMWA sasa unaposema biblia haijahalalisha unatumia vifungu gani mkuu?? Ina maana unapingana na maagizo ya Mungu juu ya waisraeli kuhusu kununua WATUMWA kama ambavyo wamarekani walinunua babu zetu kwenda kuwatumikisha huko mashambani??Utumwa upo na hauna mwisho.
Paul amefundsha Hekima Namna ya kuishi.
Mf: Mimi Ni nimeajiriwa..
.tayar hapa Mimi Ni mtumwa napaswa kutii.......je; viip Paul angesema watumwa wasiwanyenyekee matajir wao?? Nafikir leo maada ingehusu mengne.......uzuri wake Paul hakuishia hapo akawashaur na matajir kuwa wafanyien haki....je! Vipi hapa Paul angesema msiwafanyie haki? Nafir pia ukristo usingekuwa na maana yeyote.
Umasikini upo na utazdi kuepo milele na milele.
Ndio maana Bible inasema Tuwasaidie.
Je! Biblia ingesema tusiwasaidie kisa Ni masikini ..Bible ingekua na maana gani?
Ni mhimu kufikiria maana ya utumwa. Na kwann kuweko na utumwa?
Kama ww umechukua mtumwa yeye akakutii (kama yasemavyo maandiko) afu wee ukashindwa kumfanyia haki( Ni nani hapa kavunja Agizo na wajibu!?)
Bible haijaruhusu biashara ya utumwa hyo ieleweke ivo.....hata hao waliotumia Bible kumfundsha mtumwa jinsi ya kutii ....na wao kushindwa kumfanyia haki mtumwa (basi yeye ahusika katk hyo dhambi)
Nimekusoma mkuu ila labda tuanzie hapawatumwa wamekuwepo kipindi chote kama mfumo wa dunia kwa kipindi kirefu.
wakati wa Wana wa Israel wakitoka misri hadi wakati wa Uislam.
Kila mtu wa kila rangi sio mtu mweusi tu amewahi kuwa mtumwa wa mwenzake.
Mtumwa kwa kipindi cha agano la Kale hasa wakati wa wana wa Israel alikiwa ni kama mfanyakazi wa ndani au houseboy tu.
na ilikiwa ni makosa kumnyanyasa. Na siku akimaliza Muda wake wa kukutumikia anaweza kuamua kwa hiyari yake mwenyeww kuendelea kukutumikia kwa kula kiapo maalumu.
Utuwamwakati wa Roman empire ulikuwa mbaya sana na watumwa walinyanyaswa kama mbwa koko, hauna tofauti na ule wa waafrika. Mfano inasadikiwa kaisali augustus aliwaua watumwa wake karibu elfu tatu. Watumwa walikuwa ni wengi mno karibu nusu ya population yote. Hivyo ukiona Paulo anasema watumwa wawatii mambwana wao ila wasiasi inareflect uhalisia wa watumwa wa wakati huo na uwepo wa watumwa wengi waliokuwa wakristo.
mkristo awe mfungwa,mtumwa,tajiri,masikini,mtawala, mtawaliwa hali zote hazina uhusiano na Uzima wa Milele alioahidiwa iliwa atadumu kuwa muaminifu.
Ndio maana Paulo alimwambia Herode AGRIPA, Natamani na wewe Uwe Kama mimi (mkristo) Ila usiwe mfungwa kama mimi.
Kwa maana nyingine ufungwa wake hapo kaisalia hauna uhusiano na uzima alioandaliwa. Hata mfalme agripa, akimkubali Yesu anaweza Kwenda mbinguni akiwa mfalme kama ambavyo paulo mfungwa angeenda.
Pia Luka alijitolea kuwa mtumwa wa Paulo ili amsaidie kumuhudumia humo melini akielekea Rumi kwa Mujibu wa sheria za wakati huo.
maoni mkuu zitto junior ila wwngine wanawwza kueleza vizuri zaidi.
naamini uwepo wa muumba lakini sio yehova/yesu wa bibliaSawa.Haya mambo yanaenda kiimani zaidi.Ili uelewe unatakiwa usiwe biased.Kwanza ili uelewe kuhusu Mungu lazimanuamini kuwa Yupo na anatenda kazi.Kama huwezi kuelewa hilo maana yake huwezi kuelewa.Wewe upo nje ya Mungu hivyo huwezi kuelewa yaliyo ndani ya Mungu.Kama ungekuwa ndani ya Mungu ungeelewa yaliyomo kwa Mungu.Kama unataka kujua yaliyomo kwa Mungu Karibu Kwa Mungu.Nawe utaona mambo makubwa ajabu.
hahaaa utaitwa " mpinga kristo soonMimi nimkristo na hata mpango wa kuhama dini sina, na nimepokea kipaimara usharika Fulani dayosisi ya kati, ninachojaribu kuongelea hapa ni wazi Paulo alijitolea kulishauri kanisa LA kristo ila hakuwa mtume, mtume gani hana ujumbe mpya zaidi ya kurefusha maelezo waliyoeleza watangulizi wake kwa ufupi?? Paulo ni mshauri sio mtume, je kila ushauri unafaa kufatwa??? Mtume anajihami kama adui kwanini?? Hii ni wazi aliandika kwa Akili ya kibinadamu na ndio maana alikuwa muoga anawafungia watu kuhoji utume wake aisee
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kama ikishindwa kutumia akili kuielewa hiyo biblia utabaki kusema hivyo hivyothe worst book ever written,the bible
Mungu gani anawaza kuuwa tu huyo"... Yaani mtu kataniwa kipara tu..basi yeye kapanicMungu huwa hana mchezo na watu wanaomkosea.anawaadhibu kisawasawa.Adhabu yao kubwa ilikuwa ni kuuawa.NDIO.unakufa ukimdhihaki ama kumkosea Mungu sharti ufe.Ila ukitii maagizo yake utasamehewa.Tii utaona Mungu akitenda makubwa juu yako