Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

Mtumwa=mfanyakazi wa kuajiriwa
Ila treatment za hawa wafanyakazi zinabadilika kutokana na majira na kuelevuka kwa jamii. Hivyo huu sasa tulionao ni utumwa wa hiari, hapo kale ilikuwa utumwa wa mabavu. Utumwa tunao na tutaendelea kuwa nao tofauti ni treatment tu. Wengine ni lazima kuvaa nguo za kitenge siku fulani, wengine ni lazima kufunga tai, hii inategemea upo chini ya bwana gani tu.

Watumwa wa hiari hata kwenye biblia wamezungumziwa na wanatoa ushauri kabisa kwamba akifikisha miaka hamsini umwache huru aende zake, isipokuwa amekulazimisha kubaki. Serekalini ukifika 66 unaachwa uende ukawe huru. Hivyo kwa sasa duniani kundi kubwa ni la watumwa wa hiari.

Utumwa tutaendelea kuwa nao na ukifika miaka fulani utaachiwa ukawe huru.
 
Kama ikishindwa kutumia akili kuielewa hiyo biblia utabaki kusema hivyo hivyo
soma maandiko ya biblia yako hapa chini

Kumbukumbu la Torati 28:53
53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako

Ezekieli 23:20
Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

2 wafalme 2:23-25
3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.

1 samweli 15:3
3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’
 
Kwenye paragraph ya sabato
ellen g white hakusupport utumwa ume misunderstand context nadhani ya maandiko yake wasabato walio support utumwa walifutwa ushirika wa kanisa

soma hii nimecopy somewhere ROY BRANSON anaandika...

Ellen G. White: Racist or Champion of Equality?
By Roy Branson​
How does one resolve the apparent contradiction in the following statements from Ellen G. White?
"Christ came to this earth with a message of mercy and forgiveness. He laid the foundation for a religion by which Jew and Gentile, black and white, free and bond, are linked together in one common brotherhood, recognized as equal in the sight of God."[Ref 1]
"The colored people should not urge that they be placed on an equality with white people."[Ref 2]
Was Mrs. White inconsistent? Was her true position equality of race? If so, why did she urge in volume nine of the Testimonies, "Let the white believers and the colored believers assemble in separate places of worship"?[Ref 3]
In order to understand Mrs. White's statements urging segregation at the turn of the century, it is necessary to recreate their context. What were her racial views as a whole? What were Adventist contemporaries saying about race? What were the changing social and political conditions of nineteenth and early twentieth century America? Finding answers to these questions leads one to conclude that to her contemporaries Mrs. White could never have appeared to be a racist. In fact, throughout much of her life, radicals on race relations would have assumed that she was one of their own.
Today, denouncing slavery and its advocates does not seem revolutionary. But the majority did not oppose slavery in mid nineteenth-century America. So many good and regular members of the Methodist denomination condoned slavery that the church split in 1844. A year later, slavery divided the Baptists. These denominations provided most of the members for the Seventh-day Adventist Church, which at that time was working largely in the North. In 1857 the New Side Presbyterians could no longer agree on the Christian attitude toward slavery. So many Christians defended slavery in 1861 that three denominations were torn apart: Old Side Presbyterians, Lutherans, and Episcopalians.
While many fine Christians defended slavery or insisted that it was an economic or political issue, certainly not a moral one, Mrs. White called slavery "'a sin of the darkest dye.'" [Ref 4]
Furthermore, she demanded its public defenders be disfellowshiped from the Advent Movement.
A Strong Position
"'You have never looked upon slavery in the right light, and your views of this matter have thrown you on the side of the Rebellion, which was stirred up by Satan and his host. Your views of slavery cannot harmonize with the sacred, important truths for this time. You must yield your views or the truth. Both cannot be cherished in the same heart, for they are at war with each other. . . . Unless you undo what you have done, it will be the duty of God's people to publicly withdraw their sympathy and fellowship from you, in order to save the impression which must go out in regard to us as a people. We must let it be known that we have no such ones in our fellowship, that we will not walk with them in church capacity.'"[Ref 5]
At a time when slavery was an open question for Americans, Mrs. White declared that Adventists holding pro-slavery views were anathema. It would have been possible to denounce slavery in the strong terms Mrs. White used and still have stopped short of being an abolitionist. In fact, Adventists were abolitionists at a when most opponents of slavery advocating other solutions. Some attacked the existing system of slavery advocated dispersion of blacks throughout the country. Others proposed separating American blacks into Africanized states" in the deep South.[Ref 6] Until 1833, most opponents of slavery supported colonization of American blacks in Africa, Central America, or the Caribbean Islands. At different times in its history, the American Colonization Society boasted a its officers such men as Secretary of the Treasury William H. Crawford, Speaker of the House of Representatives, Henry Clay, and former Presidents James Madison and James Monroe.[Ref 7] President Lincoln called a group of free blacks to the White House in August, 1862, and urged them to support colonization. Right to the end of the war, he thought colonization would help relieve the racial problem in America. [Ref 8] A further indication abolition was not synonymous anti-slavery sentiment was the fact the official position of the Republican Party was not abolition of slavery but its nonextension into new States. [Ref 9]
Even in the North, abolitionists were considered extremists. A few days after Pennsylvania Hall, built especially for abolitionist meeting Philadelphia, was first opened, a pro-slavery mob burned it to the ground. William Lloyd Garrison, commemorated today by a statue in Boston, was mobbed by Bostonians trying to tar and feather him for abolitionist agitation. As one historian has said, "To be an abolitionist in Boston, Philadelphia, or Cincinnati meant courting social ostracism, business ruin, and physical assault." [Ref 10] North and South, abolitionists were considered almost as extreme as demonstrators in American cities today. "The abolitionist movement never became the major channel of Northern anti-slavery sentiment. It remained in 1860 what it had been in the 1830's the small but not still voice of radical reform.[Ref 11]
Among the variety of anti-slavery groups, Adventists identified themselves with the radical, abolitionist minority. Sojourner Truth, one of the black heroines of abolition, visited a Millerite camp meeting in 1843, though she did not agree them. Years later she settled in Battle Creek. There she had Seventh day Adventist friends, and early Battle Creek College students often visited her. At least one edition of her biography printed by the Review and Herald for its author, Frances Titus.
Joseph Bates the former sea captain who had so much to do with Adventists, accepting the Sabbath, first supported the American Colonization Society, later helped found the abolitionist society in his home town. [Ref 12:]
Even within this extreme reformist segment of American society some were more radical than others and Adventist stood with the more activist. "Abolitionists" were also divided on the matter of devoting time and energy to assisting fugitive slaves.[Ref 13:] Prominent Adventists had no such qualms. John Preston Kellogg, the father of John Harvey Kellogg and W. K. Kellogg was one of the incorporators of the Seventh Day Adventist publishing association and a member of the Seventh day Adventist Church to the end of his life. He used his farms in Michigan to harbor slaves fleeing their former owners. [Ref 14] John Byington. the first president of the General Conference of Seventh day Adventists had earlier left the Methodist Episcopal Church because it did not take a stand against slavery. At his farm in Buck's Bridge, New York, he maintained a station of the Underground Railroad, illegally transporting fugitive slaves from the South to Canada. [Ref 15]
Anyone who thinks these men were aberrations with the Adventist Church should remember that Mrs. White herself said that, "the law of out land requiring us to deliver a slave to his master, we are not to obey." [Ref 16] While even some of the abolitionists refused to go so far as breaking the fugitive slave law, Mrs. White advocated disobeying this Federal statute. She did this on the basis that this law conflicted "with the word and law of God." She may have had in mind Deuteronomy 23:15: "Thou shalt not deliver unto his master the servant which is escaped from his master unto thee."
Lincoln's Position
When the North elected Lincoln the fugitive slave law was still the law of land. In his first inaugural address Lincoln went out of his way to promise he would enforce that law specifically. He also reminded the country that they had not voted for abolition. Quoting from his campaign speech, he pledged anew that "I have no purpose, directly or indirectly s. to interfere with the institution of slavery in the states where it exists. I believe I have no lawful right to do so. and I have no inclination to do so." [Ref 17]
Even when war broke out. Lincoln refused to proclaim emancipation. In fact he ordered Union officers to stop harboring fugitive slaves escaping to advancing Union armies. Abolition leaders such as Wendell Phillips, Henry Sumner, and William Garrison exploded into attacks on Lincoln and his administration. [Ref 18]
Mrs. White too complained that "thousands have been induced to enlist with the understanding that this war was as to exterminate slavery; but now that they are fixed, they find that they have been deceived that object of this war is not to abolish slavery." [Ref 19]
Not only had American citizens been alienated, but potential allies as well. "I was shown that if the object of this war had been to exterminate slavery, then, if desired, England would have helped the North. But England fully understands the existing feeling in the Government, and that the war is not to do away with slavery but merely to preserve the Union." [Ref 20] Failure of the North to declare emancipation of slaves its goal had not only led to the undermining of morale and loss of allies but even worse, to outright subversion. "There are commanding officers who are in sympathy with the rebels. While they are desirous of having the Union preserved, they despise those who are anti slavery… It seems impossible to have the war conducted successfully, for many in our own ranks are continually working to favor the South, and our armies have been repulsed and unmercifully slaughtered on account of the management of these pro-slavery men." [Ref 21]
Mrs. White statement could most likely have been applicable to General George B. McClellan, General in Chief of the Union Army, who was persistently attacked by abolitionists for not strongly opposing slavery and for not executing the war more vigorously. [Ref 22]
Mrs. White rose to the heights of indignation when Northern leaders indifferent to the causes of abolition returned slaves to their former owners and simultaneously issued pious proclamations for national fasts and prayer Such hypocrisy must be condemned. "I was shown that these national fasts were and insult to Jehovah. He accepts no such fasts....
"Great men professing to have human hearts have seen the slaves almost naked and starving and have abused them and sent them back to their cruel masters hopeless bondage.... They have deprived them of their liberty and free air which heaven has never denied them, and then left them to suffer for food and clothing. In view of all this, a national fast is proclaimed! Oh, what an insult to Jehovah!" [Ref 23]
Clearly, Mrs. White stood with that abolitionist minority in the North which condemned those who hesitated or equivocated on the emancipation issue.
REFERENCES:
1 Testimonies, vol. 7. P. 225
2 Ibid., vol 9. P. 214
3 Ibid., p. 208
4 Ibid., vol 1. P. 359
5 Ibid., pp. 359, 360
6 Robert F. Durden. "Ambiguities in the Anti-Slavery Crusade of the Republican Party," The Anti-Slavery Vanguard (1965), pp. 375, 376
7 P. J. Staudenraus, The African Colonization Movement. 1816- 1865 (1961)
8 John Hope Franklin, From Slavery to Freedom, p. 281
9 Durden op. cit. P. 365
10 Frank Thistlewaite, America and the Atlantic Community (1959), p. 116
11 Martin Duderman, "Northern Response to Slavery", The Anti-Slavery Vanguard, p. 395
12 Joseph Bates, The Autobiography of Elder Joseph Bates (1868), pp. 232, 233, 236-238
13 Larry Gara, "Who Was an Abolitionist?" The Anti-Slavery Vanguard, p. 39
14 SDA Encyclopedia (1966), pp. 650, 1060.
15 Ibid., p. 181
16 Testimonies, vol. 1, p. 202
17 Roy P. Basler, Collected Works of Abraham Lincoln, vol. 4, (1953), p.263
18 Franklin, op. cit. P. 273
19 Testimonies, vol. 1, p. 254
20 Ibid., p. 258.
21 Ibid., p. 256.
22 J.G. Randall, Lincoln the President, vol. 2 (1945), pp. 108-125, especially pp. 123, 124.
23 Testimonies, vol. 1, p. 257.
Tumia kichwa chako sio una copy na Ku paste from enclopedia unatujazia Uzi na kutuchosha we soma kule alafu lete huku km summary
 
Kama utumwa ulikuwepo tokea awali sasa biblia ilitumikaje kupumbaza watu maana utumwa upo tokea enzi na enzi.sasa hapo umemisunderstood au unataka kuonesha chuki za dhahiri juu ya kitabu kitakatifu.
Waliona Iman ndio njia bora ya kumpumbaza mwanaadam hasa ambae hajitambui wakatunga maandiko hayo
 
Mtumwa=mfanyakazi wa kuajiriwa
Ila treatment za hawa wafanyakazi zinabadilika kutokana na majira na kuelevuka kwa jamii. Hivyo huu sasa tulionao ni utumwa wa hiari, hapo kale ilikuwa utumwa wa mabavu. Utumwa tunao na tutaendelea kuwa nao tofauti ni treatment tu. Wengine ni lazima kuvaa nguo za kitenge siku fulani, wengine ni lazima kufunga tai, hii inategemea upo chini ya bwana gani tu.

Watumwa wa hiari hata kwenye biblia wamezungumziwa na wanatoa ushauri kabisa kwamba akifikisha miaka hamsini umwache huru aende zake, isipokuwa amekulazimisha kubaki. Serekalini ukifika 66 unaachwa uende ukawe huru. Hivyo kwa sasa duniani kundi kubwa ni la watumwa wa hiari.

Utumwa tutaendelea kuwa nao na ukifika miaka fulani utaachiwa ukawe huru.
Ndio maana mi sipendi kuajiriwa kutotaka kuwa mtumwa hiyo ya mavazi naiona sana ule ni utumwa mambo leo
 
naamini uwepo wa muumba lakini sio yehova/yesu wa biblia
Anhaa sawa nimekuelewa.kama ndo imani yako basi itakusaidia maana iman ndo kila kitu.Hata ungesema kuwa unamkubali Yehova lakin iman yako ipo chini ni sawa na bure kabisa bora usiamin.Maana bible imesema chagueni moja sasa kuwa moto au kuwa baridi.Hivo kwa chaguzi lako kwako upo sawa ila kwangu upo wrong.
 
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.

View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.

Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2

9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9

"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."

View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?

2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?

3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??

View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??

Naomba kuwasilisha
ahsante kwa mada fikirishi na sensitive;
nitajaribu kwa uelewa wangu kujibu hii hoja yako.
ni kweli biblia imezungumzia juu ya utumwa, ila muhimu kuelewa muktadha huo lazima uangalie mazingira ya kipindi hicho. nikweli kipindi hicho kumiliki watumwa ilikua ni alama ya utajiri na kuheshimiwa hivyo ilikua ni sehemu ya ufafanuzi wa kufikisha ujumbe fulani kwa hadhira ili ipate kuelewa vizuri zaidi. (mfano)
pia utumwa umetumika kama alama ya adhabu kwa wale waliomuasi Mungu. kama ni msomaji wa biblia hata wana wa israel walishawahi kuishi utumwani Misri. hivyo hoja ya kuhalalisha utumwa wa mtu mweusi kwa biblia si halali kwa muktadha huu kwakua haukua mpango wa Mungu.
 
Nimekuelewa sana mkuu kuwa Biblia haikusupport huu utumwa ambayo inatupeleka kujiuliza maswali yafuatayo ma ntashkuru ukinisaidia kunielewesha

1.kwa maelezo yako ina maana kanisa lilipotosha maandiko kwa miaka 200+ ya utumwa??

2.Na kama walipotosha je kuna mengine mangapi wanapotosha bila sisi waumini kufahamu?

3.Na pia kama walipotosha je nini hatma ya sisi wakristo kama viongozi wetu wanaweza kutulisha uongo hivi kwa maslahi yao?

4.La mwisho je kwanini Mungu aliruhusu kanisa lake lipotoshwe kuhusu neno lake kiasi wakaingia mkenge wa kusupport biashara hii haramu ya watumwa

Natanguliza shukrani
 
Nimekusoma mkuu ila labda tuanzie hapa

1. Definition ya MTUMWA agano la kale ni ipi
2. Kama mtumwa ni sawa na mjakazi je ni kwanini MUNGU na Musa walitofautisha watu hawa wawili kila walipowataja yaani MTUMWA na MJAKAZI, je kama ni maana moja kwanini walitofautishwa?

Ubarikiwe
mtumwa kwa agano la kale kwa mujibu wa bibilia nadhani ni vizuri kumdefine kwa sifa.
Pia Kijakazi nimetolea mfano maana kijakazi ni housegirl, hapo nilimaanisha kama shamba boy ila sifa ya mtumwa anayezungumziwa kwenye pentateuch hauna uhusiano hata kidogo na mtumwa huyu wa kwenye triangle trade au wale wa kwwnye roman empire au yoyote yule.

Sifa za anayeitwa mtumwa kwenye Agano la Kale.
1:Mungu alisema Kumteka mtu na Kumuuza kama bidhaa ni Dhambi ambayo adhabu yake ilikuwa ni KIFO.
hivyo hao wote walioshiriki biashara ya utumwa wa mtu mweusi walipaswa kuuwawa.
2:Ni Mungu aliyeruhusu watu wake wamiliki watumwa lakn kwa mtazamo wangu naona hawakuwa tofauti na wafanyakazi wa kawaida au shamba boyz wetu. Na nadhani Lengo ilikuwa ni kuwaonyesha wengine wajue jinsi Ya kudeal na wanadamu wenzao.
3:Kama Muisrael akampa adhabu mtumwa wake hadi kumuua, Na Yeye alitakiwa Kuuwawa. Hii haikuwa sawa kwa wakina John Newton au Triangle Slave trade.
4:Ilikuwa ni marufuku kwa mtumwa wa kike kuingiliwa kimapenzi na mabosi wke. Hii sio sahihi kwingineko kote.
5:Kwa ufupi mkuu sheria ziliwataka Kumtunza na mtumwa kama kwa heshima zote na kumchukulia kama mfanyakazi tu uliyemuajiri mwenye haki zote.
6:Utumwa kwa waisrael ulikuwa mfumo wa kuondoa umasikini pia. Mfano kama wewe nakudai, na ni masikini huna uwezo wa kunilipa kabisa, utakuja kuwa mtumwa wangu ufanye kazi hadi utakapolipa deni, ukilipa ukapenda kuishi na mimi uendelee kunitumikia hiyo option nayo ilikuwepo. Ilikuwa njia pia ya kujipatia kipato kwa masikini maana kama sina kitu.

Mtumwa kwa waisrael alikuwa ni Binadamu mwenye haki zote na sio '' a Tool to be Used' kama alivyosema Martin Luther Jr kwenye speech yake , The dilema and the challenge.

Ila bibilia inasema Baada ya kumpokea Yesu, hakuna Mtumwa wala mtu huru, popote ulipo au uwe mtumwa au sio unahadhi zawa mbele ya Mungu. Kama kuna taasisi au watu walishiriki utumwa ule wa kuhuni wa watu weusi wanastahili kuadhibiwa na Mungu kama hawakutubu bila kujali ni sabato,RC, Islam au pentecoaste.
 
Hongera kwa kufikilia kwa kina japo majibu yanaweza yakawa wazi au yasiwe wazi kutokana na uelewa wa kila mmoja wetu kwa kadri alivyopata kuelewa ..

Kwanza kabsaa naomba nikuhakikishie kuwa utumwa unaozungumziwa kwenye biblia sio wa ngozi nyeusi tu,bali mtumwa anayezungumzwa mule ni mtu ambaye hajawa na concious awareness ya kusynchronise mental ambility yake na universe(The giver of everything) ambaye ndo controller wa yote..
Mtumwa anayezungumziwa kwenye biblia siyo mwafrica wala mzungu ,ni mtu yeyote asiyeelewa chochote kinaendelea katika mfumo unaoendelea kushikilia vitu katika ulimwengu huu..

View attachment 871700

Mwanzoni kabisa tangu mwanadamu kuingiliana na beings( viumbe toka dunia za mbali) mojawapo ya makubaliano yaliyofanywa ni kuuficha ukweli ni wapi power,knowlege,Intelligence pamoja na inspiration zinatoka..

Kwa hiyo Makubaliano yaliyofikiwa ni kutoruhusu mwanadamu atakayeendelea kuzaliana kutojua ile iliyo kweli inayoshikilia nguvu yote jinsi mambo yalivyo ,..

kwa hiyo ajenda ya kwanza ilikuwa ni kutafuta kundi kubwa la watu bila kuangalia ni jamii ipi ili kuficha ukweli na kuruhusu kundi kubwa litakalobaki liwe sample space kwa kazi maalumu ambaye imepangwa kufanyika katika dunia tunayoishi..

Basi mataifa mengi Ulaya,Asia ,South America yalielewa ule mpango mapema sana hivyo yakaanza kuelimishana juu ya mpango kabambe unaoenda kuipumbaza akili ya mwanadamu juu ya imani inayoenda kuelezewa juu ya nguvu iliyopo..
yanichampishwa majarida vikiwemo vitabu vitakatifu ili hali kumpoteza mwanadamu asigundue kuwa tayari ana uwezo wa kufree mind yake na kutoka kwenye utumwa wa akili potofu juu ya utengemezi wa kitu chochote toka kwenye nguvu isiyoonekana..

View attachment 871702

Mwanzoni kabsaa nchi chache kama Ugeruman zilielewa juu ya umuhimu wa free will ambayo ndo msingi pekee wa kuiunganisha mind ya mwanadamu na Nguvu kubwa basi ilipelekea kuwaelimishwa watu wake na kuanza kuwateka watu baki kama mataifa mengine mpaka pale elimu hiyo ilianza kutolewa kwa nchi nyingi za wenzetu ambapo kila mtu alipata kufahamu juu ya nguvu ambayo kapewa ndani yake na inaweza ikamfanya akasynchronize na higher beings na kumfanya aadvance katika kila civilization aliyokuwa anaitaka..

Ndo mana nchi nyingi za ulaya zilianza kuwa watumwa wao kwa wao (wenyewe) kabla ya kuja huku Africa make utamdanganya nani juu ya ukweli make kila mtu alikuwa tayari kashafree mind yake na kumfanya apate conciousness ya hali ya juu sana na wengi walijikuta wanaamsha pyschic powers za hali ya juu ,tena kama nchi za china huko ndo zimekuja kuidominate hiyo elimu mpaka sasa maendeleo yao ni makubwa sana na ikumbukwe kuwa unampomfundisha nguvu hii mtu mwingime akikuzidi ni shida kwani atakuwa na uwezo wa kusynchronize na universe ambayo kimsingi ndo mtoa wa kila kitu..

kwa hiyo ilipelekea nchi nyingi kupata elimu hiyo japo ilikuwa siyo kwa wote ila idadi kubwa iliapata kulewa ukweli wa kila kitu huku idadi ndogo ikiachwa iliniendelee kufanya physical work ..
View attachment 871708

kwa hiyo hayo machapisho na majarida yaliyokuwa yanaelezea au kusapoti slave ni mpango wa kuficha ukweli juu ya free will determination ambayo ndo msingi pekee wa mwanadamu katika kuraise na kushunt back negative awareness ambayo inakufanya uwe mbali wa nguvu inayoshikilia kila kitu..

Nguvu inayoshukilia kila kitu haina upendeleo kwa anayejua kuitumia,ni kitendo cha kuiamuru fanya hiki kwa kufuata sheria na taratibu ( Universal laws) ambazo ndo zinaruhusu flow pathway ya nguvu hizo..

Kwa hiyo mataifa mengi Ulaya yalipeana elimu hii na chimbuko lake ni wapi na ni kwa jinsi gani unaweza unganisha mind ya mwanadamu na universe energy field kuwa kitu kimoja kinachofanya kazi kupitia human mind power..kwa sababu kila mtu hapa duniani yuko connected na universal grid kias cha kuifanya iruhusu flow ya knowlege kwako na kuitumia utakavyo..

Tunaposema kuwa kila mind ya kiumbe yoyote yule ipo indirectly connected na universal energy field( super concious mind) ambayo haina upendeleo na mtu yoyote, just kuiset mind yako( free your mind to get complete access to universal power).
View attachment 871709

Kwa hiyo mwanadamu ulipaswa kufahamu hili jambo tangu zamani lakini wachache wamekuzika ndani ya shimo refu kisha kukutia moshi wenye ukungu mweusi kiasi kwamba ni nguvu kujifahamu mwenyewe..

View attachment 871710

Ndo mana unaambiwa ufalme wa Mbingu upo katika ufahamu wako Luke 17:21.( The kingdom of God is within you) hapa akimanisha uwezo wa kuicontrol dunia kw akuiamuru ifanye jambo lolotr upo ndani yako wewe,ndo mana tunaona nchi zilizoendelea zikiishi maisha yanayostahiki..
change your mind,be connected to the source ,forget about keeping playing and seeking help from others,you are the slave to the knower..

tuendeleeee sasa...........

Baada ya mataifa mengi ulaya kugundua kuwa uwezo wote upo katika akili ya mwanadamu ila kinachohitajika ni meditation na kufunuliwa ukweli wote juu ya wapi tumetoka na tupo hapa kwa lengo gani ,basi elimu ya kufree mind iliendelea kutolewa kwa usiri mkubwa sanaambapo tayari mwanadamu alikuwa na uwezo wa kuconnect mind yake na universal energy ( hapa tunaongelea nguvu au source ya kukuweka wewe hapa duniani..) hivyo nchi nyingi ziliamua kuachana na habari za kutesana kifikra na hatimaye kaunza kuelimishana katika viunga ( Shule maalumu) .
..
Katika kipindi cha kutoa elimu hiyo kwa siri iliwafanya waanze kutafuta mataifa mengine ambayo yangepelekwa nchini kwao kwa ajili ya kuendeleza kufanya kazi ngumu ambazo zilikosa mtu wa kuzifanya make kila mtu alikuwa bize anafundishwa elimu tambuzi ya siri juu ya jinsi akili( mind) ya mwanadamu inavyoweza kufanya mambo mazito kama itakuwa connected katika high concious field area..

Hivyo kukapelekea Bara la Africa kuchukuliwa kama sehemu ya kupata labour power( utumwa) kwani ndo sehemu pekee ambapo watu wake walichelewa kupata elimu tambuzi..

Hivyo watu wengi walipelekwa south America( Brazil), North America( U.S.A) na baadhi wakipelekwa Uarabuni ..

Kumbuka mtumwa wa kwanza ni yule aliyekuwa karibu na yule anayekuwa amefahamu mapema elimu tambuzi,na ukiangalia kweli Mwarabu alikuwa mtu wa kwanza kupata taabu sanaa, kwani ndo mtu pekee ambaye alichukuliwa akafanye kazi ngumu huko Ulaya huku wazungu wakiendelea kupewa elimu tamu yenye mambo mazito kwa siri sana.

,Ndo mana ilikuwa ni marufuku kwa mzungu kusogeleana na mwarabu na ukionekana umesogeleana ulikuwa unapewa sumu au kupigwa risasi kwani ilikuwa ni siri kubwa sana kumhuruhusu mwarabu ajue ..

Hali hiyo iliendelea mpaka pale mwarabu alipopata ufahamu zaidi juu ya kinachoendelea na kuanza mbinu za kuibia mafundisho yale mpka pale aliposamehewa kwa sharti moja tu la kutakiwa awe agent wa kutafuta ndezi wengine ili wakamliplace huko ulaya ,,.
Ndipo alipoanza kumkamata Mwafrica na kumpeleka huko kwenye soko za Watumwa..

Biashara hii iliendelea kunoga kwani nchi nyingi zilikuwa bize kupeana elimu tambuzi huku Mwafrica akigeuka kuwa mashine mbadala huku wazungu wakiendelea kupata elimu tosha mpaka mpale transition period ilipoisha ambapo sasa kila ngozi nyeupe ilikuwa tayari ishapata mwanga mwingi juu ya kutengenezea mashine ambazo zitaenda kumsaidia mwanadamu kazi( Replacement of human power) ..

Lakini kipindi hiki kilienda sambamba na Industrial revolution ( Mapinduzi ya viwanda) ,kwani baada ya mzungu kujifungia akila elimu tosha ndipo group dogo la wazungu lilikuwa linabadilisha elimu ile aiu linaifanyia kazi elimu ile kwa kuunda mashine kisa kuifanyia kazi kwa kumtumia yule yule mwafrica kama source ya Kuandaaa maligafin (raw materiol)..

Uhuru kamili wa mwafrica umekuja kupatikana baada ya super industrial revolution with machine to machine replacement ) uliokuja kumruhusu mwanadamu hasa ngozi nyeusi isiendelee kufanya kazi ngumu kwani tayari mashine zilikuwa na uwezo wa kuandaaa na kuprocess kila kitu bila msaada wa binadamu..

Conclusion........

Nahitimisha kwa kusema kuwa Bible,quran na majarida mengine yalichochea utumwa wa kifikra wa mwanadamu lakini utumwa uliokuwa unaelezewa ni free mind knowlege kwa wote lakini kutokana na upendo waliokuwa nao wenzetu walipeana elimu bila kufichana kuliko sisi ambao mpaka leo ukimwambia mtu kuwa Dini ni man made scriptures kwa lengo maalumu anakataa..

Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..

Karibuni na wengine muendele..
nmekuelewa sana chief ila sasa kama kweli kila anaefanywa mtuma hajtambui...kivp sasa kwenye mistari ya biblia hapo nimeona inasema mtumwa hapaswi kubisha wa kuuliza kitu kwa bwana wake...sasa in normal sense mtu mpaka anakua na uwezo wa kuuliza na kujudge je hajitambui uyo...lkn pia watumwa walikua nyenzo kuu ya uzalishaj kivp mtu aweze kuzalisha afu asijitambue..

Fafanua apo mkuu
 
Nimekuelewa sana mkuu kuwa Biblia haikusupport huu utumwa ambayo inatupeleka kujiuliza maswali yafuatayo ma ntashkuru ukinisaidia kunielewesha

1.kwa maelezo yako ina maana kanisa lilipotosha maandiko kwa miaka 200+ ya utumwa??

2.Na kama walipotosha je kuna mengine mangapi wanapotosha bila sisi waumini kufahamu?

3.Na pia kama walipotosha je nini hatma ya sisi wakristo kama viongozi wetu wanaweza kutulisha uongo hivi kwa maslahi yao?

4.La mwisho je kwanini Mungu aliruhusu kanisa lake lipotoshwe kuhusu neno lake kiasi wakaingia mkenge wa kusupport biashara hii haramu ya watumwa

Natanguliza shukrani
naomba nijibu kama ifuatavyo;
1. kanisa linapitia changamoto tangu awali imekua kawaida ya viongozi wa kiutawala kulitumia kanisa kupitia viongozi wa makanisa, bila shaka hata ukifuatilia kisa cha Yuda akiwa karibu na Yesu siku zoote lakini ndiye aliye msaliti kupitia uongozi mwingine.

2. ukweli wa upotoshaji katka kanisa hutegemea na misingi ya kanisa husika, kama kanisa hilo limejengwa na misingi nje ya biblia ni dhahiri kuna mengi ambayo waumini wake wamepotoshwa. hivyo kama na wewe muumini umezoea kutafuniwa na kumezeshwa basi ni tatizo lako kukubali au kukataa.

3.jibu la kwanza na la pili linajibu hoja yako.

4. ukiuliza kwann Mungu ameruhusu biashara hii ya utumwa pengine swali lako lingekua kwann Mungu alimuacha shetani tangu alipomuasi??

Tusimlaumu Mungu kwa ukaidi wetu wa kuikubali kweli yake ndio maana mpaka leo waafrika tunakosa maendelea kwa ubinafsi ambao Mungu ameukemea kwa nyakati zoote maana Kristo alitupa amri "PENDANENI'' sasa kwa ubinafsi tulionao waafrika unadhani tunaitimiza hii amri?? na je tutakomesha kufanywa watumwa???
 
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.

View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.

Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2

9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9

"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."

View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?

2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?

3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??

View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??

Naomba kuwasilisha

cc

mgen,

2013
 
Mimi nimkristo na hata mpango wa kuhama dini sina, na nimepokea kipaimara usharika Fulani dayosisi ya kati, ninachojaribu kuongelea hapa ni wazi Paulo alijitolea kulishauri kanisa LA kristo ila hakuwa mtume, mtume gani hana ujumbe mpya zaidi ya kurefusha maelezo waliyoeleza watangulizi wake kwa ufupi?? Paulo ni mshauri sio mtume, je kila ushauri unafaa kufatwa??? Mtume anajihami kama adui kwanini?? Hii ni wazi aliandika kwa Akili ya kibinadamu na ndio maana alikuwa muoga anawafungia watu kuhoji utume wake aisee

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahahah..hapo ndo nimekuona kweli we ni kipanga boy.

Mohmed ameleta ujumbe gani mpya!!?
Yohna Peter na Jakob ujumbe gani mpya wameleta!?
 
nmekuelewa sana chief ila sasa kama kweli kila anaefanywa mtuma hajtambui...kivp sasa kwenye mistari ya biblia hapo nimeona inasema mtumwa hapaswi kubisha wa kuuliza kitu kwa bwana wake...sasa in normal sense mtu mpaka anakua na uwezo wa kuuliza na kujudge je hajitambui uyo...lkn pia watumwa walikua nyenzo kuu ya uzalishaj kivp mtu aweze kuzalisha afu asijitambue..

Fafanua apo mkuu
Unaelewa juu ya usemi,Asiye fanya kazi na asile,na asiyekula na afe..??

Unajua maana ya biblical meaning ya maneno yale..??

Mtu asiyejua ukweli juu ya ile kweli ilivyo na asiambiwe maana ya kweli ile..

Meaning that,.... bible inamanisha kuwa mtu asiyejua ukweli wa mambo yalivyo na awe mtumwa kwa mtu aijuayo kweli ilivyo..huo ndo mwongozo ambao ulimwengu unaotufanya tuendelee kuwepo umeweka ...

Ndo mana Wenzetu waliyo ijua kweli ilivyo wanatutesa vilivyo na hatuoni laana yoyote wakiipata toka kwa Mungu..

Manake ni nini.....!!

Hata universe( Ulimwengu uliotushiklia) umetoa agizo dhahili kuwa mwenye mamlaka juu yako wew ni yule aijuaye kweli na hiyo kweli itampa maarifa mengi juu ya kitu chochota anachotaka ..

Once you are synchronized with the universal pattern of nature,there is no cursing for you only to your slaves..

Kwa hiyo usilaumu anayekutesa,laaumu juu ya ujinga wako kutokuielewa iliyo kweli juu ya maisha ya hapa duniani nawe utakuwa huru..

..............
 
mkuu nadhani hujamsoma ellen G White vizuri katika vitabu vyake vya unabii, nakushauri kama huna uhakika na unachokiandika ni afadhali kukaa kimya kuliko kupotosha uma na habari za kujiokoteza mtandaoni ili uonekane genius kumbe hamna kitu...soma kwanza vitabu vyake acha kujiokoteza vipicha toka mtandaoni then unatungia mada
kama huna kazi ya kufanya, nenda kalime
 
Mkuu kwani kipi ambacho nimepotosha hapo?? Je hizo reference nilizoweka hazipo??

Nimesoma hivyo vitabu wala sijasubiri kichambuliwe mitandaoni na nimeattach PDF hapo chini soma kuanzia section 6 hasa chapter 24 na 22 alafu naomba unionyeshe wapi Hellen White hajasema haya niliyoweka hapa.....

Kiufupi tu Hellen alikuwa anaogopa kupinga ukoloni waziwazi kisa ingeharibu maslahi ya SDA sasa je kama Yesu kristo au Mtume Muhammad SAW naye angekuwa muoga kupinga baadhi ya makosa ya watawala wa wakati huo tungefika kweli??

Anyway naomba unisaidie hizo chapter 23,24 na 22 je Hellen alimaanisha nini kusema watu weusi wasitake kuwa level moja na wazungu??

Pia alimaanisha nini kupinga intermarriage za wazungu na weusi?

Kwanini pia alikuwa anainsist weusi wasali wao kwa wao tu na sio mtu mweusi kusali au kuwa kiongozi wa wazungu makanisani

Nasubiri unieleweshe mkuu
Screenshot_2018-09-21-17-41-40.png
 
Attachments

  • Testimonies for the Church, vol. 9.pdf
    762.7 KB · Views: 33
Mkuu kwani kipi ambacho nimepotosha hapo?? Je hizo reference nilizoweka hazipo??

Nimesoma hivyo vitabu wala sijasubiri kichambuliwe mitandaoni na nimeattach PDF hapo chini soma kuanzia section 6 hasa chapter 24 na 22 alafu naomba unionyeshe wapi Hellen White hajasema haya niliyoweka hapa.....

Kiufupi tu Hellen alikuwa anaogopa kupinga ukoloni waziwazi kisa ingeharibu maslahi ya SDA sasa je kama Yesu kristo au Mtume Muhammad SAW naye angekuwa muoga kupinga baadhi ya makosa ya watawala wa wakati huo tungefika kweli??

Anyway naomba unisaidie hizo chapter 23,24 na 22 je Hellen alimaanisha nini kusema watu weusi wasitake kuwa level moja na wazungu??

Pia alimaanisha nini kupinga intermarriage za wazungu na weusi?

Kwanini pia alikuwa anainsist weusi wasali wao kwa wao tu na sio mtu mweusi kusali au kuwa kiongozi wa wazungu makanisani

Nasubiri unieleweshe mkuu
View attachment 873554
soma hiz documentary then utajua alikuwa anamaana gani katika kipindi kile kwani system na mtindo wa maisha ulikuwa tofauti sana, lugha iliyotumika ilikuwa ya wakati ule iliyoelezea maisha na matukio ya wakati ule wa elen white
Ellen G. White and Church Race Relations
 
Back
Top Bottom