Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

Mafundisho mengi hapo yanaonyesha namna ya kuishi na watumwa na hayahalalishi utumwa au kuunga mkono.
Kuna vitu huko nyuma Mungu aliruhusu vifanyike japo havikumpendeza.Mfano Mungu aliruhusu ndoa za wake wengi japo halikuwa kusudi lake watu wawe na wake wengi. Huko zamani biblia ina maandiko kibao yanayoonekana kuunga mkono vita, kuchinja mateka lakini siyo makusudi ya Mungu.

Ni kwamba tu utumwa wa mtu mweusi umetokea karibuni na una ushahidi mwingi ambao bado upo. Ila kiukweli karibu jamii zote za wanadamu zimepitia utumwa.
 
nadhani hapa mkuu lazima utumwa tuutendee haki kulingana na vipindi husika.
Utumwa wakati wa agano la kale.
Utumwa wakati wa Roman empire inasadikiwa karibu nusu ya wakazi wa roman empire yaani millioni karibu sita walikuwa watumwa.
Utumwa amerika.
nimevutiwa na quote ya E.G.White maana mimi ni mdau wa maandishi yake.
nimeenda kutafuta nikaona pia ni vizuri kusoma subtopic ''the color line'' Page 213-219 testimony volume 9
Lakini Pamoja na wakristo wengi wa wakati wake kuwa pro-Slavery au kusema hiyo issue ni ya kikaisali zaidi yeye alisema wazi
'' SLAVERY IS A SIN OF DARKEST DYE''.
Pia Akasisitiza Muumini ambaye AMBAO WANATETEA UTUMWA HADHARANI WAFUTWE USHIRIKA WA KANISA.

Ellen G. White: Racist or Champion of Equality?
hapo kuna maelezo wanafafanua kuhusu muelekeo wake na utumwa pia. Unaweza kusoma na kuchambua pumba na chuya.

nukuu kadhaa
The black man’s name is written in the book of life beside the white man’s. All are one in Christ.

Our Duty to the Colored People, March 21, 1891

Christ died for the colored people as verily as He died for the white people. Through faith in Christ the colored people may attain unto eternal life as verily as may the white people. Review and Herald, November 26, 1895
 
watumwa wamekuwepo kipindi chote kama mfumo wa dunia kwa kipindi kirefu.
wakati wa Wana wa Israel wakitoka misri hadi wakati wa Uislam.
Kila mtu wa kila rangi sio mtu mweusi tu amewahi kuwa mtumwa wa mwenzake.
Mtumwa kwa kipindi cha agano la Kale hasa wakati wa wana wa Israel alikiwa ni kama mfanyakazi wa ndani au houseboy tu.
na ilikiwa ni makosa kumnyanyasa. Na siku akimaliza Muda wake wa kukutumikia anaweza kuamua kwa hiyari yake mwenyeww kuendelea kukutumikia kwa kula kiapo maalumu.

Utuwamwakati wa Roman empire ulikuwa mbaya sana na watumwa walinyanyaswa kama mbwa koko, hauna tofauti na ule wa waafrika. Mfano inasadikiwa kaisali augustus aliwaua watumwa wake karibu elfu tatu. Watumwa walikuwa ni wengi mno karibu nusu ya population yote. Hivyo ukiona Paulo anasema watumwa wawatii mambwana wao ila wasiasi inareflect uhalisia wa watumwa wa wakati huo na uwepo wa watumwa wengi waliokuwa wakristo.
mkristo awe mfungwa,mtumwa,tajiri,masikini,mtawala, mtawaliwa hali zote hazina uhusiano na Uzima wa Milele alioahidiwa iliwa atadumu kuwa muaminifu.
Ndio maana Paulo alimwambia Herode AGRIPA, Natamani na wewe Uwe Kama mimi (mkristo) Ila usiwe mfungwa kama mimi.
Kwa maana nyingine ufungwa wake hapo kaisalia hauna uhusiano na uzima alioandaliwa. Hata mfalme agripa, akimkubali Yesu anaweza Kwenda mbinguni akiwa mfalme kama ambavyo paulo mfungwa angeenda.
Pia Luka alijitolea kuwa mtumwa wa Paulo ili amsaidie kumuhudumia humo melini akielekea Rumi kwa Mujibu wa sheria za wakati huo.

maoni mkuu zitto junior ila wwngine wanawwza kueleza vizuri zaidi.
 
Nimekuelewa vyema mkuu
Asante kwa somo
Hongera kwa kufikilia kwa kina japo majibu yanaweza yakawa wazi au yasiwe wazi kutokana na uelewa wa kila mmoja wetu kwa kadri alivyopata kuelewa ..

Kwanza kabsaa naomba nikuhakikishie kuwa utumwa unaozungumziwa kwenye biblia sio wa ngozi nyeusi tu,bali mtumwa anayezungumzwa mule ni mtu ambaye hajawa na concious awareness ya kusynchronise mental ambility yake na universe(The giver of everything) ambaye ndo controller wa yote..
Mtumwa anayezungumziwa kwenye biblia siyo mwafrica wala mzungu ,ni mtu yeyote asiyeelewa chochote kinaendelea katika mfumo unaoendelea kushikilia vitu katika ulimwengu huu..

View attachment 871700

Mwanzoni kabisa tangu mwanadamu kuingiliana na beings( viumbe toka dunia za mbali) mojawapo ya makubaliano yaliyofanywa ni kuuficha ukweli ni wapi power,knowlege,Intelligence pamoja na inspiration zinatoka..

Kwa hiyo Makubaliano yaliyofikiwa ni kutoruhusu mwanadamu atakayeendelea kuzaliana kutojua ile iliyo kweli inayoshikilia nguvu yote jinsi mambo yalivyo ,..

kwa hiyo ajenda ya kwanza ilikuwa ni kutafuta kundi kubwa la watu bila kuangalia ni jamii ipi ili kuficha ukweli na kuruhusu kundi kubwa litakalobaki liwe sample space kwa kazi maalumu ambaye imepangwa kufanyika katika dunia tunayoishi..

Basi mataifa mengi Ulaya,Asia ,South America yalielewa ule mpango mapema sana hivyo yakaanza kuelimishana juu ya mpango kabambe unaoenda kuipumbaza akili ya mwanadamu juu ya imani inayoenda kuelezewa juu ya nguvu iliyopo..
yanichampishwa majarida vikiwemo vitabu vitakatifu ili hali kumpoteza mwanadamu asigundue kuwa tayari ana uwezo wa kufree mind yake na kutoka kwenye utumwa wa akili potofu juu ya utengemezi wa kitu chochote toka kwenye nguvu isiyoonekana..

View attachment 871702

Mwanzoni kabsaa nchi chache kama Ugeruman zilielewa juu ya umuhimu wa free will ambayo ndo msingi pekee wa kuiunganisha mind ya mwanadamu na Nguvu kubwa basi ilipelekea kuwaelimishwa watu wake na kuanza kuwateka watu baki kama mataifa mengine mpaka pale elimu hiyo ilianza kutolewa kwa nchi nyingi za wenzetu ambapo kila mtu alipata kufahamu juu ya nguvu ambayo kapewa ndani yake na inaweza ikamfanya akasynchronize na higher beings na kumfanya aadvance katika kila civilization aliyokuwa anaitaka..

Ndo mana nchi nyingi za ulaya zilianza kuwa watumwa wao kwa wao (wenyewe) kabla ya kuja huku Africa make utamdanganya nani juu ya ukweli make kila mtu alikuwa tayari kashafree mind yake na kumfanya apate conciousness ya hali ya juu sana na wengi walijikuta wanaamsha pyschic powers za hali ya juu ,tena kama nchi za china huko ndo zimekuja kuidominate hiyo elimu mpaka sasa maendeleo yao ni makubwa sana na ikumbukwe kuwa unampomfundisha nguvu hii mtu mwingime akikuzidi ni shida kwani atakuwa na uwezo wa kusynchronize na universe ambayo kimsingi ndo mtoa wa kila kitu..

kwa hiyo ilipelekea nchi nyingi kupata elimu hiyo japo ilikuwa siyo kwa wote ila idadi kubwa iliapata kulewa ukweli wa kila kitu huku idadi ndogo ikiachwa iliniendelee kufanya physical work ..
View attachment 871708

kwa hiyo hayo machapisho na majarida yaliyokuwa yanaelezea au kusapoti slave ni mpango wa kuficha ukweli juu ya free will determination ambayo ndo msingi pekee wa mwanadamu katika kuraise na kushunt back negative awareness ambayo inakufanya uwe mbali wa nguvu inayoshikilia kila kitu..

Nguvu inayoshukilia kila kitu haina upendeleo kwa anayejua kuitumia,ni kitendo cha kuiamuru fanya hiki kwa kufuata sheria na taratibu ( Universal laws) ambazo ndo zinaruhusu flow pathway ya nguvu hizo..

Kwa hiyo mataifa mengi Ulaya yalipeana elimu hii na chimbuko lake ni wapi na ni kwa jinsi gani unaweza unganisha mind ya mwanadamu na universe energy field kuwa kitu kimoja kinachofanya kazi kupitia human mind power..kwa sababu kila mtu hapa duniani yuko connected na universal grid kias cha kuifanya iruhusu flow ya knowlege kwako na kuitumia utakavyo..

Tunaposema kuwa kila mind ya kiumbe yoyote yule ipo indirectly connected na universal energy field( super concious mind) ambayo haina upendeleo na mtu yoyote, just kuiset mind yako( free your mind to get complete access to universal power).
View attachment 871709

Kwa hiyo mwanadamu ulipaswa kufahamu hili jambo tangu zamani lakini wachache wamekuzika ndani ya shimo refu kisha kukutia moshi wenye ukungu mweusi kiasi kwamba ni nguvu kujifahamu mwenyewe..

View attachment 871710

Ndo mana unaambiwa ufalme wa Mbingu upo katika ufahamu wako Luke 17:21.( The kingdom of God is within you) hapa akimanisha uwezo wa kuicontrol dunia kw akuiamuru ifanye jambo lolotr upo ndani yako wewe,ndo mana tunaona nchi zilizoendelea zikiishi maisha yanayostahiki..
change your mind,be connected to the source ,forget about keeping playing and seeking help from others,you are the slave to the knower..

tuendeleeee sasa...........

Baada ya mataifa mengi ulaya kugundua kuwa uwezo wote upo katika akili ya mwanadamu ila kinachohitajika ni meditation na kufunuliwa ukweli wote juu ya wapi tumetoka na tupo hapa kwa lengo gani ,basi elimu ya kufree mind iliendelea kutolewa kwa usiri mkubwa sanaambapo tayari mwanadamu alikuwa na uwezo wa kuconnect mind yake na universal energy ( hapa tunaongelea nguvu au source ya kukuweka wewe hapa duniani..) hivyo nchi nyingi ziliamua kuachana na habari za kutesana kifikra na hatimaye kaunza kuelimishana katika viunga ( Shule maalumu) .
..
Katika kipindi cha kutoa elimu hiyo kwa siri iliwafanya waanze kutafuta mataifa mengine ambayo yangepelekwa nchini kwao kwa ajili ya kuendeleza kufanya kazi ngumu ambazo zilikosa mtu wa kuzifanya make kila mtu alikuwa bize anafundishwa elimu tambuzi ya siri juu ya jinsi akili( mind) ya mwanadamu inavyoweza kufanya mambo mazito kama itakuwa connected katika high concious field area..

Hivyo kukapelekea Bara la Africa kuchukuliwa kama sehemu ya kupata labour power( utumwa) kwani ndo sehemu pekee ambapo watu wake walichelewa kupata elimu tambuzi..

Hivyo watu wengi walipelekwa south America( Brazil), North America( U.S.A) na baadhi wakipelekwa Uarabuni ..

Kumbuka mtumwa wa kwanza ni yule aliyekuwa karibu na yule anayekuwa amefahamu mapema elimu tambuzi,na ukiangalia kweli Mwarabu alikuwa mtu wa kwanza kupata taabu sanaa, kwani ndo mtu pekee ambaye alichukuliwa akafanye kazi ngumu huko Ulaya huku wazungu wakiendelea kupewa elimu tamu yenye mambo mazito kwa siri sana.

,Ndo mana ilikuwa ni marufuku kwa mzungu kusogeleana na mwarabu na ukionekana umesogeleana ulikuwa unapewa sumu au kupigwa risasi kwani ilikuwa ni siri kubwa sana kumhuruhusu mwarabu ajue ..

Hali hiyo iliendelea mpaka pale mwarabu alipopata ufahamu zaidi juu ya kinachoendelea na kuanza mbinu za kuibia mafundisho yale mpka pale aliposamehewa kwa sharti moja tu la kutakiwa awe agent wa kutafuta ndezi wengine ili wakamliplace huko ulaya ,,.
Ndipo alipoanza kumkamata Mwafrica na kumpeleka huko kwenye soko za Watumwa..

Biashara hii iliendelea kunoga kwani nchi nyingi zilikuwa bize kupeana elimu tambuzi huku Mwafrica akigeuka kuwa mashine mbadala huku wazungu wakiendelea kupata elimu tosha mpaka mpale transition period ilipoisha ambapo sasa kila ngozi nyeupe ilikuwa tayari ishapata mwanga mwingi juu ya kutengenezea mashine ambazo zitaenda kumsaidia mwanadamu kazi( Replacement of human power) ..

Lakini kipindi hiki kilienda sambamba na Industrial revolution ( Mapinduzi ya viwanda) ,kwani baada ya mzungu kujifungia akila elimu tosha ndipo group dogo la wazungu lilikuwa linabadilisha elimu ile aiu linaifanyia kazi elimu ile kwa kuunda mashine kisa kuifanyia kazi kwa kumtumia yule yule mwafrica kama source ya Kuandaaa maligafin (raw materiol)..

Uhuru kamili wa mwafrica umekuja kupatikana baada ya super industrial revolution with machine to machine replacement ) uliokuja kumruhusu mwanadamu hasa ngozi nyeusi isiendelee kufanya kazi ngumu kwani tayari mashine zilikuwa na uwezo wa kuandaaa na kuprocess kila kitu bila msaada wa binadamu..

Conclusion........

Nahitimisha kwa kusema kuwa Bible,quran na majarida mengine yalichochea utumwa wa kifikra wa mwanadamu lakini utumwa uliokuwa unaelezewa ni free mind knowlege kwa wote lakini kutokana na upendo waliokuwa nao wenzetu walipeana elimu bila kufichana kuliko sisi ambao mpaka leo ukimwambia mtu kuwa Dini ni man made scriptures kwa lengo maalumu anakataa..

Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..

Karibuni na wengine muendele..
 
Utumwa upo na hauna mwisho.
Paul amefundsha Hekima Namna ya kuishi.
Mf: Mimi Ni nimeajiriwa..
.tayar hapa Mimi Ni mtumwa napaswa kutii.......je; viip Paul angesema watumwa wasiwanyenyekee matajir wao?? Nafikir leo maada ingehusu mengne.......uzuri wake Paul hakuishia hapo akawashaur na matajir kuwa wafanyien haki....je! Vipi hapa Paul angesema msiwafanyie haki? Nafir pia ukristo usingekuwa na maana yeyote.

Umasikini upo na utazdi kuepo milele na milele.
Ndio maana Bible inasema Tuwasaidie.
Je! Biblia ingesema tusiwasaidie kisa Ni masikini ..Bible ingekua na maana gani?

Ni mhimu kufikiria maana ya utumwa. Na kwann kuweko na utumwa?

Kama ww umechukua mtumwa yeye akakutii (kama yasemavyo maandiko) afu wee ukashindwa kumfanyia haki( Ni nani hapa kavunja Agizo na wajibu!?)

Bible haijaruhusu biashara ya utumwa hyo ieleweke ivo.....hata hao waliotumia Bible kumfundsha mtumwa jinsi ya kutii ....na wao kushindwa kumfanyia haki mtumwa (basi yeye ahusika katk hyo dhambi)
 
Teeh teeh teeh.
 
Mkuu zitto junior agano la kale limeandikwa kwa lugha tofauti sana, na waliyoandika team Paulo, kwa Akili zangu za kidini naamini Biblia ilimaanisha mtumishi, Paulo na team yake wakatafsiri mtumwa kwa faida za watu Fulani, Ukipata muda jaribu kututafutia historia ya Paulo nje ya yale maelezo ya kwenye Biblia.

Waislam wanamuonaga tofauti sana ila hamkatai Yohana Yuda wala Luka wala matayo shida ni Paulo tu.
 
Naww Ni muislamu tu bila shaka.

Mohammed na Paulo nani hapa Ni mtume wa kweli? Hayo ndio yakufnyia uchunguzi sio kuhukumu tu
 
Mimi nimkristo na hata mpango wa kuhama dini sina, na nimepokea kipaimara usharika Fulani dayosisi ya kati, ninachojaribu kuongelea hapa ni wazi Paulo alijitolea kulishauri kanisa LA kristo ila hakuwa mtume, mtume gani hana ujumbe mpya zaidi ya kurefusha maelezo waliyoeleza watangulizi wake kwa ufupi?? Paulo ni mshauri sio mtume, je kila ushauri unafaa kufatwa??? Mtume anajihami kama adui kwanini?? Hii ni wazi aliandika kwa Akili ya kibinadamu na ndio maana alikuwa muoga anawafungia watu kuhoji utume wake aisee

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Ili kujifunza biblia vizuri inahitaji ufunuo kutoka kwa Mungu akufunulie.Ukisoma ufunuo 4:anazungumzia kanisa la Laodikia kanisa lililo vuguvugu.Mungu ameahidi kulitapika kwa sababu si moto wala so baridi.pia ameeleza kuwa nyakati za mwisho mafundisho ya uongo yatapata nafasi kubwa na roho ya udanganyifu itatawala.
Hivyo basi katika watu wa kipindi hiki mafundisho mengi ya uongo kwa kuwa watu wanatafsiri biblia kwa akili zao.
Kipindi cha utumwa kilikuwepo hata kabla ya kristo labda tu mfumo ndo ulikuwa tofauti.Lakin je,Yesu watumwa aliowazungumzia ndio hawa weusi sawa na Wamarekani wanavyoonesha?Jibu ni si kweli. Mfano kama umeajiriwa wewe ni mfano wa mtumwa.Timiza majukumubya boss(bwana)wako kwa ufasaha na utii.pia baadhi ya maeneo bibilia inasema waovu ni watumwa wa dhambi,watumwa wa shetani.Mungu atusaidie kutambua roho za uongo zinazojinasibu kumtukuza Mungu kumbe ni wapingakristo.Mungu atusaidie .Amen
 
Hongera kwa kufikilia kwa kina japo majibu yanaweza yakawa wazi au yasiwe wazi kutokana na uelewa wa kila mmoja wetu kwa kadri alivyopata kuelewa ..

Kwanza kabsaa naomba nikuhakikishie kuwa utumwa unaozungumziwa kwenye biblia sio wa ngozi nyeusi tu,bali mtumwa anayezungumzwa mule ni mtu ambaye hajawa na concious awareness ya kusynchronise mental ambility yake na universe(The giver of everything) ambaye ndo controller wa yote..
Mtumwa anayezungumziwa kwenye biblia siyo mwafrica wala mzungu ,ni mtu yeyote asiyeelewa chochote kinaendelea katika mfumo unaoendelea kushikilia vitu katika ulimwengu huu..

View attachment 871700

Mwanzoni kabisa tangu mwanadamu kuingiliana na beings( viumbe toka dunia za mbali) mojawapo ya makubaliano yaliyofanywa ni kuuficha ukweli ni wapi power,knowlege,Intelligence pamoja na inspiration zinatoka..

Kwa hiyo Makubaliano yaliyofikiwa ni kutoruhusu mwanadamu atakayeendelea kuzaliana kutojua ile iliyo kweli inayoshikilia nguvu yote jinsi mambo yalivyo ,..

kwa hiyo ajenda ya kwanza ilikuwa ni kutafuta kundi kubwa la watu bila kuangalia ni jamii ipi ili kuficha ukweli na kuruhusu kundi kubwa litakalobaki liwe sample space kwa kazi maalumu ambaye imepangwa kufanyika katika dunia tunayoishi..

Basi mataifa mengi Ulaya,Asia ,South America yalielewa ule mpango mapema sana hivyo yakaanza kuelimishana juu ya mpango kabambe unaoenda kuipumbaza akili ya mwanadamu juu ya imani inayoenda kuelezewa juu ya nguvu iliyopo..
yanichampishwa majarida vikiwemo vitabu vitakatifu ili hali kumpoteza mwanadamu asigundue kuwa tayari ana uwezo wa kufree mind yake na kutoka kwenye utumwa wa akili potofu juu ya utengemezi wa kitu chochote toka kwenye nguvu isiyoonekana..

View attachment 871702

Mwanzoni kabsaa nchi chache kama Ugeruman zilielewa juu ya umuhimu wa free will ambayo ndo msingi pekee wa kuiunganisha mind ya mwanadamu na Nguvu kubwa basi ilipelekea kuwaelimishwa watu wake na kuanza kuwateka watu baki kama mataifa mengine mpaka pale elimu hiyo ilianza kutolewa kwa nchi nyingi za wenzetu ambapo kila mtu alipata kufahamu juu ya nguvu ambayo kapewa ndani yake na inaweza ikamfanya akasynchronize na higher beings na kumfanya aadvance katika kila civilization aliyokuwa anaitaka..

Ndo mana nchi nyingi za ulaya zilianza kuwa watumwa wao kwa wao (wenyewe) kabla ya kuja huku Africa make utamdanganya nani juu ya ukweli make kila mtu alikuwa tayari kashafree mind yake na kumfanya apate conciousness ya hali ya juu sana na wengi walijikuta wanaamsha pyschic powers za hali ya juu ,tena kama nchi za china huko ndo zimekuja kuidominate hiyo elimu mpaka sasa maendeleo yao ni makubwa sana na ikumbukwe kuwa unampomfundisha nguvu hii mtu mwingime akikuzidi ni shida kwani atakuwa na uwezo wa kusynchronize na universe ambayo kimsingi ndo mtoa wa kila kitu..

kwa hiyo ilipelekea nchi nyingi kupata elimu hiyo japo ilikuwa siyo kwa wote ila idadi kubwa iliapata kulewa ukweli wa kila kitu huku idadi ndogo ikiachwa iliniendelee kufanya physical work ..
View attachment 871708

kwa hiyo hayo machapisho na majarida yaliyokuwa yanaelezea au kusapoti slave ni mpango wa kuficha ukweli juu ya free will determination ambayo ndo msingi pekee wa mwanadamu katika kuraise na kushunt back negative awareness ambayo inakufanya uwe mbali wa nguvu inayoshikilia kila kitu..

Nguvu inayoshukilia kila kitu haina upendeleo kwa anayejua kuitumia,ni kitendo cha kuiamuru fanya hiki kwa kufuata sheria na taratibu ( Universal laws) ambazo ndo zinaruhusu flow pathway ya nguvu hizo..

Kwa hiyo mataifa mengi Ulaya yalipeana elimu hii na chimbuko lake ni wapi na ni kwa jinsi gani unaweza unganisha mind ya mwanadamu na universe energy field kuwa kitu kimoja kinachofanya kazi kupitia human mind power..kwa sababu kila mtu hapa duniani yuko connected na universal grid kias cha kuifanya iruhusu flow ya knowlege kwako na kuitumia utakavyo..

Tunaposema kuwa kila mind ya kiumbe yoyote yule ipo indirectly connected na universal energy field( super concious mind) ambayo haina upendeleo na mtu yoyote, just kuiset mind yako( free your mind to get complete access to universal power).
View attachment 871709

Kwa hiyo mwanadamu ulipaswa kufahamu hili jambo tangu zamani lakini wachache wamekuzika ndani ya shimo refu kisha kukutia moshi wenye ukungu mweusi kiasi kwamba ni nguvu kujifahamu mwenyewe..

View attachment 871710

Ndo mana unaambiwa ufalme wa Mbingu upo katika ufahamu wako Luke 17:21.( The kingdom of God is within you) hapa akimanisha uwezo wa kuicontrol dunia kw akuiamuru ifanye jambo lolotr upo ndani yako wewe,ndo mana tunaona nchi zilizoendelea zikiishi maisha yanayostahiki..
change your mind,be connected to the source ,forget about keeping playing and seeking help from others,you are the slave to the knower..

tuendeleeee sasa...........

Baada ya mataifa mengi ulaya kugundua kuwa uwezo wote upo katika akili ya mwanadamu ila kinachohitajika ni meditation na kufunuliwa ukweli wote juu ya wapi tumetoka na tupo hapa kwa lengo gani ,basi elimu ya kufree mind iliendelea kutolewa kwa usiri mkubwa sanaambapo tayari mwanadamu alikuwa na uwezo wa kuconnect mind yake na universal energy ( hapa tunaongelea nguvu au source ya kukuweka wewe hapa duniani..) hivyo nchi nyingi ziliamua kuachana na habari za kutesana kifikra na hatimaye kaunza kuelimishana katika viunga ( Shule maalumu) .
..
Katika kipindi cha kutoa elimu hiyo kwa siri iliwafanya waanze kutafuta mataifa mengine ambayo yangepelekwa nchini kwao kwa ajili ya kuendeleza kufanya kazi ngumu ambazo zilikosa mtu wa kuzifanya make kila mtu alikuwa bize anafundishwa elimu tambuzi ya siri juu ya jinsi akili( mind) ya mwanadamu inavyoweza kufanya mambo mazito kama itakuwa connected katika high concious field area..

Hivyo kukapelekea Bara la Africa kuchukuliwa kama sehemu ya kupata labour power( utumwa) kwani ndo sehemu pekee ambapo watu wake walichelewa kupata elimu tambuzi..

Hivyo watu wengi walipelekwa south America( Brazil), North America( U.S.A) na baadhi wakipelekwa Uarabuni ..

Kumbuka mtumwa wa kwanza ni yule aliyekuwa karibu na yule anayekuwa amefahamu mapema elimu tambuzi,na ukiangalia kweli Mwarabu alikuwa mtu wa kwanza kupata taabu sanaa, kwani ndo mtu pekee ambaye alichukuliwa akafanye kazi ngumu huko Ulaya huku wazungu wakiendelea kupewa elimu tamu yenye mambo mazito kwa siri sana.

,Ndo mana ilikuwa ni marufuku kwa mzungu kusogeleana na mwarabu na ukionekana umesogeleana ulikuwa unapewa sumu au kupigwa risasi kwani ilikuwa ni siri kubwa sana kumhuruhusu mwarabu ajue ..

Hali hiyo iliendelea mpaka pale mwarabu alipopata ufahamu zaidi juu ya kinachoendelea na kuanza mbinu za kuibia mafundisho yale mpka pale aliposamehewa kwa sharti moja tu la kutakiwa awe agent wa kutafuta ndezi wengine ili wakamliplace huko ulaya ,,.
Ndipo alipoanza kumkamata Mwafrica na kumpeleka huko kwenye soko za Watumwa..

Biashara hii iliendelea kunoga kwani nchi nyingi zilikuwa bize kupeana elimu tambuzi huku Mwafrica akigeuka kuwa mashine mbadala huku wazungu wakiendelea kupata elimu tosha mpaka mpale transition period ilipoisha ambapo sasa kila ngozi nyeupe ilikuwa tayari ishapata mwanga mwingi juu ya kutengenezea mashine ambazo zitaenda kumsaidia mwanadamu kazi( Replacement of human power) ..

Lakini kipindi hiki kilienda sambamba na Industrial revolution ( Mapinduzi ya viwanda) ,kwani baada ya mzungu kujifungia akila elimu tosha ndipo group dogo la wazungu lilikuwa linabadilisha elimu ile aiu linaifanyia kazi elimu ile kwa kuunda mashine kisa kuifanyia kazi kwa kumtumia yule yule mwafrica kama source ya Kuandaaa maligafin (raw materiol)..

Uhuru kamili wa mwafrica umekuja kupatikana baada ya super industrial revolution with machine to machine replacement ) uliokuja kumruhusu mwanadamu hasa ngozi nyeusi isiendelee kufanya kazi ngumu kwani tayari mashine zilikuwa na uwezo wa kuandaaa na kuprocess kila kitu bila msaada wa binadamu..

Conclusion........

Nahitimisha kwa kusema kuwa Bible,quran na majarida mengine yalichochea utumwa wa kifikra wa mwanadamu lakini utumwa uliokuwa unaelezewa ni free mind knowlege kwa wote lakini kutokana na upendo waliokuwa nao wenzetu walipeana elimu bila kufichana kuliko sisi ambao mpaka leo ukimwambia mtu kuwa Dini ni man made scriptures kwa lengo maalumu anakataa..

Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..

Karibuni na wengine muendele..
Tupo pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom