Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!

duniani kuna mambo ya ajabu sana
[MENTION]
Edward Teller[/MENTION]..................ya ajabu haswa.........wakati vijana wanasema hawana nguvu wamechoka ajuza yeye ndiyo amechangamka vibaya sana.........
 
Kyaiyembe Mkuu, kama nimemfahamu vizuri Ruta, yeye hapingi umri wala uwezo, anawauliza tu vijana wanaojipelekwa kwa bibi zao kwa tamaa ya pesa.

Ninakubaliana na wewe hapo juu kuwa umri ni nambari tu, kuna vijana (Ke+Me) wanabwaga manyanga mapema na kuna vizee vinakufa mchi (Me) na mche (Ke) vimesimama, tafauti na ile dhana kuwa ukifika umri fulani unapaswa kutundika madaluga.

MAMMAMIA you are spot on..............
 
Last edited by a moderator:
Mkwanja kwanza hayo mengine ni ya ziada kaka! Tunawaona vijana ambao wanalelewa mwisho wa siku wanazidi kukonda!

webondo mbona wanitisha............weye ni mkwanja tu mengineyo yatajaza..................Am speechless
 
Last edited by a moderator:
Umemsahau yule msanii aliyetoka na single ya "KAKUPENDA BIBI KIZEE, NAKUPENDA KIKONGWE"
kuna mistari mle ukiusikiliza vizuri ule wimbo utagundua kuwa hawafumbi macho mkuu!.

Blaki Womani.....ipo kazi hapo kwa hizi simulizi za Kyaiyembe yaelekea mie nawe bado tuko usingizini.......
 
Last edited by a moderator:
ummu kulthum leo umetoa mpya wasema hakina expiry date.....lol.............akifa kuna wakukitamani kweli zadi ya kukitanguliza kwenye madongo na kiwe mlo wa funza..................
rutashumbanyuma ma bro,kila kilichozaliwa hufa na kuoza.Bibi still alive kwanini asikitumie kitu yake ipasavyo untill she die.
 
Mimi bwana hapana, niacheni tu nashida yangu. Nikifikiria tu ile migozi iliyozeeka (loose skin) over my body hamu ya kufanya nae mapenzi kwishney
 
MadameX........ni maamuzi ya busara bora kijana mwenzio akunanii hata kama hana chapaa kulikoni babu na chapaa yake huku anakunanii nawe umenuna..............lol, yaani haifai hata kidogo.......
 
Last edited by a moderator:
rutashumbanyuma ma bro,kila kilichozaliwa hufa na kuoza.Bibi still alive kwanini asikitumie kitu yake ipasavyo untill she die.

ummu kulthum.....................sikatai akitumie lakini na watoto wake?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom