Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!

si kimeumbwa kitumike na hakuna expiry date so sioni tatizo bb enjoy mitama

ummu kulthum leo umetoa mpya wasema hakina expiry date.....lol.............akifa kuna wakukitamani kweli zadi ya kukitanguliza kwenye madongo na kiwe mlo wa funza..................
 
Last edited by a moderator:

Ms Judith you sound very wise and i feel am blessed already through your concerted prayers towards....me..............my cup is runs over from now onwards till the end of the ages................

haha, mpendwa Ruta,

hujalala bado??

mimi ni mjakazi wa Bwana na nitendewe kama ulivyosema!!

haleluyah!!

ubarikiwe sana mpendwa,

Glory to God!
 
huyu bibi kule Kenya anapenda vijana wadogo wadogo wa kiume wampige mtama wa uhakika na huwalipa vizuri sana kama kazi yao imemridhisha
Sijui ndio ninazeeka na hizi lugha za siku hizi au vipi! Mimi ninafahamu kumpiga mtu mtama maana yake ni kumuangusha kwa kumtegua miguu na mara nyingi huambatana na ugomvi. Sasa kuiona inaambatana na ashki za huyo ajuza....imenichanganya.
:focus:Nahisi hakuna tatizo ikiwa tu tendo lenyewe ni la makubaliano. Wanaokwenda kwa mabadilishano ya huduma kwa pesa hawana sababu ya kulalamika pale bibi atakapokuwa hapati "ugoro wake" ipasavyo.
Yote 9, la 10 mimi kwa kutunza heshima yangu na maadili, po simo!
 
Hivi GAZETI ukimpata Bi Kizee wa kukumwagia minoti utampapatikia au utainiga mitini?
Funny_Face_Old_Woman.jpg
 
Ruta, human behaviour can not be predicted so easily. Hakuna anayeweza kujua atafanyaje atakapomkamata ugoni mkewe/mumewe. Huo ni mfano mmoja tu.

Kuna watz wengi ambao ugumu wa maisha unawafanya waamini ni bora wangezaliwa Mbwa au paka Europe and Japan kuliko kula msoto Tanzania. Kuna wanaume wengi tu wanalaani kwa nini hawakuzaliwa wanawake ili wapate favors na maraha ambayo baadhi ya wanawake wana enjoy! Wewe na mimi tunaweza kusema hivyo? Hata siku moja.

Nadhani hadi hapo umenipata!

Ila niokoe kwenye makombola ya akina Lizzy!!!!!
 
kwa kweli habari ndio hiyo!dah siamini nilichokiona na kusoma, hii ndio dunia bwana, haya Ruba tupe la moyoni!
[MENTION]
Mamzalendo[/MENTION] la moyoni tayari unalijua lol
 
Ruta, human behaviour can not be predicted so easily. Hakuna anayeweza kujua atafanyaje atakapomkamata ugoni mkewe/mumewe. Huo ni mfano mmoja tu.

Kuna watz wengi ambao ugumu wa maisha unawafanya waamini ni bora wangezaliwa Mbwa au paka Europe and Japan kuliko kula msoto Tanzania. Kuna wanaume wengi tu wanalaani kwa nini hawakuzaliwa wanawake ili wapate favors na maraha ambayo baadhi ya wanawake wana enjoy! Wewe na mimi tunaweza kusema hivyo? Hata siku moja.

Nadhani hadi hapo umenipata!

Ila niokoe kwenye makombola ya akina Lizzy!!!!!

Okada hivi tangia lini Lizzy naye ana makombora ambayo yanahitaji uwokovu wangu? She looks genuinely a peaceful gal 2 me, at least.........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom