Biashara ya visimu vidogo na phone accessories

Streptokinase

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
268
422
Wakuu, nipo hapa kupata mawazo kuhusu hii biashara kwa watu ambao washawahi kuifanya au ambao wanaijua vizuri.

Kuna dogo yupo yupo tu hapa nyumbani kwaio nataka nimpe kazi kwa kufungua hili duka ili yeye awe analisimamia. Nataka kuanza kidogo kwa kufunga mzigo hapa hapa nchini, kwaio mtaji wangu ni kama millioni 5.

Naomba kujua changamoto ya hii biashara na maelezo mengine yoyote ya ziada kama yapo.

Natanguliza shukrani.
 
Sahv Kuna simu za Bei rahisi Toka China ila zina brand za Europe na zinauzwa 14,000- 25,000 k'koo, Akiingia mkenge wa tamaa akafunga mzigo kwa pupa, atajikuta ana Simu ila hazisomi laini yoyote ya nchini na betri zake Ni mbovu
 
Wakuu, nipo hapa kupata mawazo kuhusu hii biashara kwa watu ambao washawahi kuifanya au ambao wanaijua vizuri.

Kuna dogo yupo yupo tu hapa nyumbani kwaio nataka nimpe kazi kwa kufungua hili duka ili yeye awe analisimamia. Nataka kuanza kidogo kwa kufunga mzigo hapa hapa nchini, kwaio mtaji wangu ni kama millioni 5.

Naomba kujua changamoto ya hii biashara na maelezo mengine yoyote ya ziada kama yapo.

Natanguliza shukrani.
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Unaeza agiza simu na accesorios janja kutoka china na kuuza bongo dar. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
 
Back
Top Bottom