Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Kwa kawaida nyama ya binadamu siyo rahisi sana kuliwa na mtu yeyote bila sababu, kwenye ulimwengu usioonekana wachawi wanazo bucha zao wanauziana wao kwa wao nyama za binadamu kwa kutumia pesa za kuzimu, pesa za kuzimu ni tofauti kabisa na pesa tunazotumia. Mathalani bei ya maini ya binadamu kwa sasa wanauziana kwa pesa 3,000.00
Karibu vyakula vyote na maji yanayouzwa mitaani au kando ya barabara siyo halisi. Epuka kufanya manunuzi ya chakula kinachotembezwa mitaani kikiwa ndani ya ndoo. Wengi wamekuwa wakidhani wanauziwa wali, lakini mingi siyo wali kwa asilimia zote. Pia epuka kununua vitambaa vya mkononi vinavyouzwa kando kando ya barabara.
Kama kuna kitu kinaumiza watu wengi hasa wasichana na akina mama ni manunuzi ya hereni, bangili, shanga na pete zinatotembezwa mitaani. Nyuma ya vitu hivyo vingi vimebemba roho za mauti.
Kwa ufupi usinunue chakula, maji au mapambo kwa mtu asiyekuwa na makao, kwa maana kwamba hana eneo lake la kufanyia biashara ni mtu wa kuhama eneo moja kwenda eneo lingine na eneo alilofanyia mauzo ya bidhaa zake za mauzauza hutoweka kwa muda hata mwezi au zaidi bila ya kurudi eneo hilo tena.
Naomba kuuliza nimesoma sana hadithi zinao husian na vampire. Hivi vampire nikweli wapo? Au ni hadidhi tuu. Pleas naomben jib
Si kweli, wewe nunua tu labda kama unahofu ya kiafya.SASA nimeisha pata kwamba tusinunue vitu vyovyote barabarani
Naomba kuuliza nimesoma sana hadithi zinao husian na vampire. Hivi vampire nikweli wapo? Au ni hadidhi tuu. Pleas naomben jib
Uchawi ndio sijajibiwa ni nini?
Hata hivyo hizo juhudi na maarifa inaweza kua ndio uchawi wenyewe.
Sijui unakusudiwa ugagula ndio hayo?
ikijulikana maana ya uchawi ni rahisi kueleweka!
Wewe ni mchawi nin? Maana mtu akiwa wa dizaini hiyo huwa hataki hata kusikia hilo neno mchawi! Atajibalaguza kama vile hajui hiyo issue!
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Viongozi ni wateja wazuri, lakini idadi yao siyo kubwa
kigoma ilikua zamani kuna kijiji nliambiwa kinaitwa Makere-ushingo-wilaya ya Kibondo. .... unanunua radi na majaribio wayafanya hapo hapo....
sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini tanzania, shule moja ipo temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.
Ukimaliza temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.
Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.
Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende mombasa nchini kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.