Biashara ya salon za kiume na kike

Ukizungumzua barbershop iyo m2 ni ela ya viti viwili tu

Na kama ni spiriti pamba ela iyo inweza kuyeyuka kwenye kodi ya fremu

Hakuna mtu anaweza kuja kwenye saloon ya m2 kufanya scrub kwani itakuwa baada ya kumuosha unamchafua kwa ushauri ni pm

Saloon ni kazi yangu. Yeyote mwenye wazo kama ilo anicheck ntamsaidia

Naku-PM soon juu ya hili swala mkuu.
 
Ndugu wana jamvi la JF, naitaji kufanya biashara ya saluni za kiume na kike. Mwenye ujuzi/utaalamu na makadirio ya gharama za kuanzisha ukiondoa gharama za kodi ya chumba anisaidie. Niko Manispaa mojawapo huku Nyanda za juu Kusini.

Niko pembeni nasubiria ushauri wako mpendwa.
Mungu awabariki wote.
 
Makadirio kwa salon ya kawaida ya kike dryer 2pcs@ 150000, steamer dryer 1pc@ 250000, washing beseni 120000, viti vya plastic 6@ 12000, rollers za 100000 zinatosha kuanzia nunua size tofauti, mataulo 50000 nenda mitumbani utapata biashara ikikua utanunua special za salon, vitana/chanuo 20000, madawa ya nywele/mafuta/shampoo /steaming/wanja/powder etc 200000 jumla kama 1.3 lakini tembelea maduka mbalimbali bei inaweza pungua/ongezeka .Hiyo bei ni kwa madryer ya stand sio ukutani. Salon ya kiume sijui
 
Mimi pia nahitaji kufungua saluni ya kike eneo gani ni zuri kwa mkoa wa dar es salaam?

Wadau Msaada?
 
Salon ya kiume Andaa 2.5M
Naanzaa na hair cutting @ 1 120000
Salon chair vya kawaida kabisa @1 350000
Viooo vya Ukutani andaaa jumlaa ya tsh laki 500000
Kama utaweka mlango wa kioo mlangoni ni 450000
Madawa Pamoja na vifaa vitambaa sijui chana n.k ni 200000
Kama unataka Ac ni 500000 jeshini
Kama utaweka feni ni @1 45000-100000 inategemea na Aina
Makabati ya salon kama utaweka andaaa 250000
Kama unataka tengeneza kochi ni 200000
Yaaani kwa ufupi sana ndio vitu kama hivyo.....Nina salon yangu ya kiume...ni PM namba yako nitakucheki tuongeew vizuri piaa nikuelekeze wapi ukanunue....
Location ya salon yako ni muhimu sana.....Inlipaa sana ukitengeneza ya kisasa sababu ndani ya miezi 4 ila yako inarudi na unaanzaa kulaa faida....

#Utajiri ni upo mikononi mwetu
 
Attachments

  • 1407257411972.jpg
    1407257411972.jpg
    60.8 KB · Views: 834
  • 1407257460178.jpg
    1407257460178.jpg
    51.4 KB · Views: 861
Salon ya kiume Andaa 2.5M
Naanzaa na hair cutting @ 1 120000
Salon chair vya kawaida kabisa @1 350000
Viooo vya Ukutani andaaa jumlaa ya tsh laki 500000
Kama utaweka mlango wa kioo mlangoni ni 450000
Madawa Pamoja na vifaa vitambaa sijui chana n.k ni 200000
Kama unataka Ac ni 500000 jeshini
Kama utaweka feni ni @1 45000-100000 inategemea na Aina
Makabati ya salon kama utaweka andaaa 250000
Kama unataka tengeneza kochi ni 200000
Yaaani kwa ufupi sana ndio vitu kama hivyo.....Nina salon yangu ya kiume...ni PM namba yako nitakucheki tuongeew vizuri piaa nikuelekeze wapi ukanunue....
Location ya salon yako ni muhimu sana.....Inlipaa sana ukitengeneza ya kisasa sababu ndani ya miezi 4 ila yako inarudi na unaanzaa kulaa faida....

#Utajiri ni upo mikononi mwetu

Asante sana kwa details zako ndugu, nitakutafuta.
 
Makadirio kwa salon ya kawaida ya kike dryer 2pcs@ 150000, steamer dryer 1pc@ 250000, washing beseni 120000, viti vya plastic 6@ 12000, rollers za 100000 zinatosha kuanzia nunua size tofauti, mataulo 50000 nenda mitumbani utapata biashara ikikua utanunua special za salon, vitana/chanuo 20000, madawa ya nywele/mafuta/shampoo /steaming/wanja/powder etc 200000 jumla kama 1.3 lakini tembelea maduka mbalimbali bei inaweza pungua/ongezeka .Hiyo bei ni kwa madryer ya stand sio ukutani. Salon ya kiume sijui

Asante sana kwa kunipa mwanga ndugu
 
Nilifanya utafiti.
Kwa kutegemea na eneo, idadi ya viti na malengo, saloni ya kisasa haipungui mtaji wa 12M.
Saloni ya kawaida ambayo haina viti vya kisasa, haina kiyoyozi haipungui 5M.
NB; Hii hutegemea na kodi, ubora wa vifaa nk.
Otherwise kiasi chochote waweza anzisha saluni
 
Samahani hivi ni namna gani mtu anatengeneza faida kupitia saloon?
Na mapato yake yako vipi?
 
Habari za mchana wandugu,

nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.

Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani

Shukrani za dhati.

Usikubali hata siku moja kuwakabidhi vinyozi salon yako wataKuharibia .
Hasa vinyozi wa dar..ni wasumbufu sana.na wanaf mmtamaaaa. ..waaajiri
 
Back
Top Bottom