Biashara ya mikopo kwa wanafunzi wa chuo

Domi1919

New Member
Jul 19, 2022
2
3
Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha.

Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo.

Sasa baada y kumaliza nimeona naweza kupata 2m nikafanya BIASHARA ya mikopo Kwa wanachuo ambapo wanaleta dhamana yenye thamani mara 2 au zaidi ya mkopo anaotaka then atapewa mkopo na kurudishiwa dhamana yake baada ya kulipa mkopo aliochukua na mkopo nitoe Kwa mwezi maximum.

Nipo Dar mnanishaurije wakuu. Naombeni ushauri na changamoto katika wazo langu. Nawasilisha.
 
Nawaza kuifanya kama kikundi yan maana nlipokua nasoma chuo lipo group flan lilikua linafanya io kitu na naona walikua wanafanya vizuri tu
 
Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha.

Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo.

Sasa baada y kumaliza nimeona naweza kupata 2m nikafanya BIASHARA ya mikopo Kwa wanachuo ambapo wanaleta dhamana yenye thamani mara 2 au zaidi ya mkopo anaotaka then atapewa mkopo na kurudishiwa dhamana yake baada ya kulipa mkopo aliochukua na mkopo nitoe Kwa mwezi maximum.

Nipo Dar mnanishaurije wakuu. Naombeni ushauri na changamoto katika wazo langu. Nawasilisha.
Ila inatakiwa uwe na moyo sana kudhulumiwa nje nje.
 
Back
Top Bottom