Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Hiyo biashara huwez kutjirika.
Aiseeeee hunijui jamaa so usidhani nakurupuka na hii kitu, kama mtu mwenye akili timamu, tunafanya kwa kuangalia kitu inaitwa analysis of cost and benefits. Pia kila mtu ana strategy zake za kibiashara,so kama ulifeli ww sio kwangu eroooo
 
Heri ya Mwaka Mpya wajasiriamali..!
Kwa yeyote mwenye uzoefu kuhusiana na Biashara ya kuuza mkaa tafadhali naomba anisaidie yafuatayo;

~Namna ya kupata vibali
Hapa naomba kuelekezwa ni wapi naweza pata vibali ambavyo naweza pata vibali vya kuendeaha biashara hii.

~Sehemu ambako unapatikana mkaa kwa wingi
Kwa sasa nipo Dar es salaam huku maeneo ya Mji Mwema-Kigamboni, pamoja na kuongezeka kwa natumizi ya gesi hapa Dar lakini kaya nyingi za uswahilini zinatumia nishati ya mkaa. Hivyo ni mkoa upi tofauti na pwani ambapo mkaa unapatikana kwa wingi na ni bei rahisi, Pia naweza kusafirisha mpaka Dar.

~Namna ya kusafirisha
Ukiachilia mbali vibali vya kuuzia mkaa katika eneo husika, Je hivi vibali vya kusafirishia bidhaa kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine ina gharimu sh ngap kwa lori la tani 4..? Na sehemu gani naweza pata vibali..?

~Mwisho kwa mtaji wa milioni moja mpaka mbili naweza kuanza Biashara mpaka ikasimama na kuanza kuuza mkaa..?
Karibuni sana kwenye mjadala kwa michango mbalimbali
 
Nitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa
 
Nitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa
Mambo ua inbox ya nini?kwan mnatapeliana? weka hapa tufaidike wengi probably ukapata na wateja wengine
 
Nitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa
Ukiweka hapa itasaidia wengi na wateja kwako pia kama ni mfanyabiashara wa hiyo kitu mkuu.
 
Back
Top Bottom