inno89
Member
- Jun 26, 2016
- 90
- 75
Asante sana nduguNenda MALIASILI WATAKUPA UTARATIBU
Asante sana nduguNenda MALIASILI WATAKUPA UTARATIBU
Aiseeeee hunijui jamaa so usidhani nakurupuka na hii kitu, kama mtu mwenye akili timamu, tunafanya kwa kuangalia kitu inaitwa analysis of cost and benefits. Pia kila mtu ana strategy zake za kibiashara,so kama ulifeli ww sio kwangu erooooHiyo biashara huwez kutjirika.
Rudia kusoma title hujaelewa nilichokuuliza bwashee,hyo biashara utafaidisha tanroad tu tafuta biashara ingne ndg
Kama ni mtihani umeuelewa na kuufaulu Vyema.asante kwa kuelimishaHamjaambiwa mtoe ushauri kuhusu biashara, bali jinsi ya kupata kibali, kweli 61% inahusu wengi!!!
Ni nini hicho!Uza charcoal briquettes hamna stress
mkuu unapiga hela nini mana hii kitu wabongo hawaijui hahahahaaaa!!Uza charcoal briquettes hamna stress
Mambo ua inbox ya nini?kwan mnatapeliana? weka hapa tufaidike wengi probably ukapata na wateja wengineNitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa
Ukiweka hapa itasaidia wengi na wateja kwako pia kama ni mfanyabiashara wa hiyo kitu mkuu.Nitafute in box 0784247080 usitazame sana mkaa uliouzoea Fanya utafit Sik hizi kuna mkaa aina nyingi . mkaa Wa msituni sio dill tena fikiria mkaa Wa Wa kiwandani pia unalipa