Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

mpk kwenye management nako ufundishwe mkuu?

yani usipojua cha kufanya ili usipoteze pesa bora uachane na biashara
Ni hivi mkuu kwa kifupi sijwahi fanya biashara ndio maana naomba ushauri mfano labda kuajiri mtu au kukomaa mwenyewe nk kwa kifupi sijawahi fanya biashara nikeona nifanye biashara hii kwani nipo home mwaka wa pili sasa tangu nimalize chuo lakini mtaani hapaeleweki ndio kujichanga nkapata huu mtaji lakini sijui nianzie wapi ndio maana naomba ushauri.
 
u sound politely and humble.

iko hivi

Nimekushauri ufungue ofisi 3 kwasababu mtaji wako unaruhusu na pia biashara yoyote haina stable income so kwa kutambua hilo lazima tujiongeze sana sana.

sasa ili uone faida ni lazima ujumlishe 1+ 4+ 2 = 7 hizo namba ni faida ya kila ofisi, ukiwa na ofisi moja hata kama ukiweka mtaji wote wa 1.5m sehemu 1 fahamu kuwa kama mauzo yako yalikua 20,000 per day yatabaki vile vile hata kama ukiweka magunia 40.

ila yann kuwa na magunia mengi halafu faida n ile ile? ndio mana nikashauri uweke vijana ofisi zingine ile kwako ukiuza 20k kule akauza 10k na yule mwingine akauza 5k jumla per day umeingiza 35,000.

Kuna biashara za kukomaa mwenyewe na kuna biashara hazina risk ndio mana umeona nimekimbilia kukushauri ufungue magoli tofauti kama kweli unataka kushika hela angali damu inachemka.

ila kama hauna haraka na maisha unaweza nunua magunia ya 1.5m ukayarundika sehemu 1 then ukakomaa kuyauza mdogo mdoogo mpk yaishe nayo pia si mbaya "inawezekana"
 
Sasa boss ukitawanya vijiwe gharama za uendeshaji si zitakuwa kubwa!!! Mathalani hizo sehemu tatu za biashara kuna kodi ya mwezi na malipo ya wauzaji.Mi naona bora upate sehemu moja iliyochangamka ukomae.
 
Kila ofisi itajiendesha yenyewe kwa maana ya kulipa gharama zote za uendeshaji labda risk hapa ni kuibiwa kwa maana muuzaji anaweza kujumua na kuuza bila wewe kujua so ishu ni usimamizi ila inawezekana tena sana. Kingine anaweza kuweka mkaa wake kwenye maduka au magenge ya watu na wakagawana faida wakati huo yeye yupo kwenye ofisi yake moja
 
Sasa boss ukitawanya vijiwe gharama za uendeshaji si zitakuwa kubwa!!! Mathalani hizo sehemu tatu za biashara kuna kodi ya mwezi na malipo ya wauzaji.Mi naona bora upate sehemu moja iliyochangamka ukomae.
kila kijiwe kinajiendesha chenyewe hata gharama zikiwa kubwa YES kila ofisi itajiendesha yenyewe,kodi ya eneo sehemu zote utatozwa so kwenye malipo ofisi A italipia kodi yake, ofisi B itajilipia yenyewe kadhalika na ofisi C.

si kwamba ofisi tatu then kodi matumizi ya kila ofisi yatoke ofisi A hapana biashara haipo hivyo,kadhalika kwenye biashara yeyote ile kama una duka kubwa lina vitu mbali mbali ni lazima ujifunze kutenga pesa za kila unachouza ili uweze kutambua unafanya biashara au unacheza makida makida.

kwenye duka mtaji wa vocha utajitegemea ni marufuku faida ya sukari ikanunue Vocha,ni marufuku faida ya Vinywaji ikanunue sabuni hivyo hivyo kwenye hizo ofisi zako 3 ni lazima zote zijiendeshe na ukiona ofisi B inashndwa jiendesha maana yake umekosea location,badilisha au hama hilo eneo.

Sijui kama kuna ka kitu umekapata hapo.
 
Naomba kujua mzigo huo utakua unaishia wapi ,kwani ukishakata vibali nirukusa kuchukua mkaa popote Tz iribradi halmashauri husika(utakapopata huo mkaa wawe wameruhusu uchomwaji wamkaa mfano iringa vijiji sehemu inaitwa makombe(wasa) unaingilia ifunda na tabora sana na nk)....upatikanaji rahisi sana kibali kinapatika 261000,leseni unapata kule unakoishia mzigo kwani ndipo utakapokua nahalmashauri inayokupa eneo hivyo gharama ya leseni itaendana na mtaji ulionao....kama mzigo unapenda uupelekeni kinondoni ndipo mwisho wasagati nenda pale halmshauri utaulizia idara yamisitu ,watakupa kilakitu karibusana nipo kwenye hii game mwaka wa 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto yake bwana ushuru waserikali kuu..wao wanalipwa kwakilo nakilo ni 2400 huu mkaa mti pori .Mimi niliaza nagunia 100,unaweza gonga hisabati hapo gunia moja lilikua na kilo 100...,changamoto pili ni ilikua kutotembea usiku hilo limeruhusiwa kwasasa....tatu ,ukikamatwa umezidisha mzigo tofauti naulioandika kwenye TP(transport pass lazima ufilisiwe.mengineyo utakayo ingia pm

Mkuu fafanua vizuri iyo 2400 kwa kilo ni ushuru? Sasa 2400×100=24000. Gharama za ununuzi na usafirishaji wa ilo gunia inakuaje? Siutajikuta gunia mmoja limefika dar kwa 40k+ sasa hapo kuna profit kweli?

Ama sijaelewa
 
Naomba kujua mzigo huo utakua unaishia wapi ,kwani ukishakata vibali nirukusa kuchukua mkaa popote Tz iribradi halmashauri husika(utakapopata huo mkaa wawe wameruhusu uchomwaji wamkaa mfano iringa vijiji sehemu inaitwa makombe(wasa) unaingilia ifunda na tabora sana na nk)....upatikanaji rahisi sana kibali kinapatika 261000,leseni unapata kule unakoishia mzigo kwani ndipo utakapokua nahalmashauri inayokupa eneo hivyo gharama ya leseni itaendana na mtaji ulionao....kama mzigo unapenda uupelekeni kinondoni ndipo mwisho wasagati nenda pale halmshauri utaulizia idara yamisitu ,watakupa kilakitu karibusana nipo kwenye hii game mwaka wa 12

Sent using Jamii Forums mobile app
Maliasili huwa wanajiridhishaje? kama kweli huo mkaa umetoka kwenye vijiji husika ambavyo wameviruhusu vichome mkaa.

Na hapo vijijini ni lazima ununue kwa watu ambao wameidhinishwa maliasili? Au waweza okoteleza kwa mwana kijiji yoyote
 
Changamoto yake bwana ushuru waserikali kuu..wao wanalipwa kwakilo nakilo ni 2400 huu mkaa mti pori .Mimi niliaza nagunia 100,unaweza gonga hisabati hapo gunia moja lilikua na kilo 100...,changamoto pili ni ilikua kutotembea usiku hilo limeruhusiwa kwasasa....tatu ,ukikamatwa umezidisha mzigo tofauti naulioandika kwenye TP(transport pass lazima ufilisiwe.mengineyo utakayo ingia pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Nine Ku PM
 
Habari zenu wapendwa,
Nina townhiace mpya inahitaji kazi ya kusafirisha mkaa. Kama kuna mtu ana kibali na hana njia ya kusafirisha, basi tuwasiliane kupitia 0711331131 tupige kazi. Asanteni sana
 
Back
Top Bottom