Biashara ya internet

Mwenye kuelewa jinsi ya kufanya mchakato wa kuanzisha hii biashara anitoe ujinga...
Nina computer sita, printer and location nimepata.

kuna uzi niliuweka humu jaribu kupekenyua unaeleza mchakato wa namna biashara hii inavyoweza kufanyika nashindwa kuweka link kwavile natumia simu
 
Hi Majuto, biashara hii ninayo kwa miaka minne sasa, hata hivyo ningeshauri kwamba ufikiri kuweka huduma zingine pia kama wengine walivyoshauri. Huduma kama Photocopy, scanning, lamination, binding ni za muhimu kwenda samabamba na internet cafe. wako wateja watakaohitaji kuscan document then waitume kwa email. wako watakaohitaji kuprint kitu kwa printer ya rangi na baadaye kutoa photocopy etc. Ukipata mtaji zaidi ni vizuri pia kuweka stationeries angalau za muhimu kulingana na ukubwa wa chumba chako.

Kwa kuwa tayari una computer na printer unatakiwa umpate mtu atakayekufanyia networking kwenye hicho chumba chako, vifaa na gharama nzima ya networking inaweza ikachukua mpaka laki moja na nusu then ukawaone TTCL wambie unataka kuanzisha internet cafe, watakuja kusurvey eneo lako ili waone watachukulia wapi nyaya zao. Gharama itategemea umbali wa wapi watachukulia nyaya zao ili kukufikia na hapa lazima shs zingine kama laki mbili zinaweza kukutoka ikiwa ni pamoja na malipo ya awali ya internet. Mie natumia TTCL na nalipa shs. 60,000 kwa mwezi kwa computer 5
 
Biashara ni vile utakavyofanya customer care. Ingia kwenye biashara upige pesa
 
mkuu mimi sikubaliani kabisa na wewe mtoa mada amesema ana computer 6 unamshauri afungue stationery hizo ni akili za wapi? unasema watu walipiga hela miaka ya 90 na wengine walifunga ni kweli teknolojia imekua kinachotakiwa ni mtoa mada kupata location nzuri na awe na ubunifu atapiga hela kuliko iyo miaka ya 90 na hao waliofunga unajua sababu? sasa computer 6 atatumia vip ktk stationery

I wish ningejua umli wako then nilinganishe na akili zako, any way the simple answer is anaweza fungua stationary either na computer hizo zote (Big stationary) sio lazima afanye biashara ya stationary ile iliyokichwani mwako ya Computer moja na printer moja. Mimi naongelea a big stationary itakayokua inamlipa zaidi. namna nyingine anaweza uza baadhi ya computer na kubaki na computer chache atakazohitaji pesa atakayoipata anunulie vifaa vingine vya stationary....THINK BIG Basat
 
Naona umebase kwenye stationery interest ya mtoa mada ni internet cafe kama anaweza afanye vyote kwa pamoja as vina-relate otherwise kila biashara hapo tatizo unafikiria hela za harakaharaka matokeo yake zikitokea challenge you can't face due to lack of creativity. I have been in this busness for 6 yrs wat can u tell me more.
 
Juzi nilikuwa ntakwenda kwenye Internet cafe ku scan ticket ili niitume kwa rafiki yangu,nilikutana na jamaa mmoja akaniambia hakuna haja ya Kwenda net maana alikuwa na Samsung s3,aliiscan na kuituma kwa simu,ni kweli teknolojia imepanuka sana demand ya Internet cafe si kubwa sana,ukilipia tsh 30000 airtel watakupa connection ya mwezi mzima kwenye simu,ipad au laptop yako,hivyo safari za Kwenda Internet cafe zinapungua
 
hahhaa i am doing a Network Marketing my brother go and search for it ningekua nataka pesa ya haraka kama wewe ningeanzisha biashara kama yako ya Internet cafe ambayo haina life span ya next 5 years kama unabisha utaona ifikapo 2018...mfano we mwenyewe hapo unatumia simu kupost hapa JF.....sasa unafikili mwenye cafe atapataje pesa kama kila mtu anasimu yenye uwezo wa kubrowse internet.... nilichofanya ni kutaka kumpanua kimawazo mtoa mada afikilie vikubwa zaidi
 
Juzi nilikuwa ntakwenda kwenye Internet cafe ku scan ticket ili niitume kwa rafiki yangu,nilikutana na jamaa mmoja akaniambia hakuna haja ya Kwenda net maana alikuwa na Samsung s3,aliiscan na kuituma kwa simu,ni kweli teknolojia imepanuka sana demand ya Internet cafe si kubwa sana,ukilipia tsh 30000 airtel watakupa connection ya mwezi mzima kwenye simu,ipad au laptop yako,hivyo safari za Kwenda Internet cafe zinapungua

that is my point Lucky ila jamaa anabisha (Basat) tu pasipo kuangalia hii dunia inakoenda....angalia leo kuna simu kama hizo kumbe hata stationary hazitakua na mpango tena ni swala la wakati tu....leo hii watu wana modem zao majumbani, wana min laptop ambazo anaweza beba popote aendapo, sasa kwa nini aende cafe pasipo na privacy?
 
Nakuunga mkono mtanzania ,mambo yamebadilika sana,nakumbuka wakati ule tunapanga foleni kusubiria compuer kwenye Internet cafe,mambo Yale hayapo tena,ni story tu Kama zile za kusubiria mwezi mzima ili usome gazeti la uhuru Kama ulikuwa mkazi wa Kanda ya ziwa.
 
Juzi nilikuwa ntakwenda kwenye Internet cafe ku scan ticket ili niitume kwa rafiki yangu,nilikutana na jamaa mmoja akaniambia hakuna haja ya Kwenda net maana alikuwa na Samsung s3,aliiscan na kuituma kwa simu,ni kweli teknolojia imepanuka sana demand ya Internet cafe si kubwa sana,ukilipia tsh 30000 airtel watakupa connection ya mwezi mzima kwenye simu,ipad au laptop yako,hivyo safari za Kwenda Internet cafe zinapungua

Mkuu unajua kuwa hata ulaya internet cafe zipo? je ni watanzania wangapi wanaweza kumiliki iyo samsung s3? na kutokana ukuaji wa teknolojia hizo ndio challenge za iyo biashara na hata kama una laptop na modem ya 30000 utakuwa mteja wa msimu ktk cafe ndio maana kutokana na hizo challenge biashara hii inabidi iwe sehemu yenye watu wengi me natumia simu kupost lakini features nyingi hazionekani natumia tu due to its portability but i dont enjoy at all. muanzisha uzi haonekani biashara yoyote ni upatikanaji wa wateja tu tusipotoshane.
 
Ongea unavyotaka ukweli unabaki pale pale,soko lake limeshuka sana,ulaya kitu gani???mwuliza swali yupo TABATA
 
Habari za siku nyingi wana jamii.
Naomba ushauri na mawazo yenu kuhusu mada hiyo hapo juu.
Jamaa wangu wa karibu aliyopo nyumbani Tanzania amewasiliana nami juu ya idea ya kuazisha internet cafe nyumbani na amenitaka ni invest katika mradi huo. Suali la uaminifu juu ya jamaa huyu ni zaidi ya 100% mwaminifu na sina shaka nae hata siku moja. Tatizo langu ni kuwa huko nyuma nilisoma kwenye internet kuwa huu mradi umeshuka sana hasa hasa katika nchi za afrika kwa sababu ya matumizi makubwa ya mobiles internet pamoja na matumizi ya internet za bure maofisini.

suali langu kwenu ni jee ni kweli idadi ya internet cafee Tanzania imeshuka? Je ni wangapi hapa wanaotumia na kutegemea internet cafe kuliko mobile internet na internet za bure makazini? Jee huu mradi bado una market nyumbani?

Thanks
 
Honestly kwa mawazo yangu biashara ya intenet cafe hailipi sijui kwa wengine, faida ya kupuliza sana. Siku hz gharama za internet ziko chini sana hapa TZ + internet bure za office (employees) + vifurushi vya extreme kuna free megabytes mteja anapewa. Why bother lookin for cafe's ?? Kwanza utatumia capital kubwa kuanzisha hyo business na returns ni ndogo i.e computer za kununua, rent ya hyo cafe spot, electricity, supervision costs etc. HAILIPI !! Internet siku hzi ni cheap sana sio kama zamani. Unless unambie ufungue na stationary kwa ujumla. Kidogo afadhali ingawa location nayo ina matter sana (yenye watu wengi, maeneo ya vyuo/shule au kando kando na barabara ya lami) Note: Setup Costs nazo zinaongezeka. E.g. Kufungua stationary & internet cafe in town ni tofauti na kufungua in sinza,makumbusho etc. Nafkiri naeleweka. Kwa ushauri wangu fikiria kitu kingine e.g Kufungua vibanda vya chips & a small restaurant (kama mazingira ni safi utapata wateja mwenyewe utashangaa, viazi vinaliwa sana mjini hapa ) na kama mtaji unao mkubwa hata Car wash pata eneo zuri utashangaa kimasihara unajenga kwa biashara ya car wash nina mifano hai. Hio biashara ya internet cafe itakuumiza sana kichwa !! #Mtazamo Tu #Goodluck
 
Baada ya biashara yangu ya Internet Kuona imepata wateja wengi na wakudumu nimeanza kuwa na mawazo yakutengeneza server zangu mwenyewe ambazo watu watakuwa wanazitumia ku acces Internet kupitia DNS
Lkn kitu mpaka sasa kinachonikwamisha ni mtaji wakuwa na server yangu na watu wakuzi monitor

Ndungu zangu wana uchumi nisaidieni watu wanaotoa mikopo

ref:Unlimited Internet
 
Back
Top Bottom